mama mkwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maleven

    Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live

    Huwa nahofia sana kufanya confrontation hasa na mtu wa karibu ila kwa hatua ilipofikia, nataka nimvae mama mkwe wazi wazi, yani nimpe majibu makavu. Yeye anataka ku impose sheria zake na kumfundisha mtoto mambo ya ajabu, anakiburi sana na pia ananichukulia ananiweza. Sababu kubwa ni kua...
  2. BICHWA KOMWE -

    Sura yangu imesagika na kusawajika kwa kichapo cha mama mkwe

    Mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri. Tangu nilipoolewa, nimekuwa nikiishi kwa furaha na mume wangu kwenye ndoa yetu takatifu ya kikatoliki. Sikuwahi kupata changamoto yoyote. Furaha yangu ilibadilika na kugeuka machungu baada ya mume wangu kwenda masomoni nchini Uingereza kisha mama...
  3. Kijana LOGICS

    Mama mkwe mtarajiwa hataki binti yake aolewe na Kabila langu

    Mimi ni Mwanaume 28yrs mkurya nilivyofika Dar nilikutana n'a bint mmoja nikamtongoza akakubali. Huyu binti (21yrs) ni mgeni Dar from mkoa X nyanda za juu kusini anaishi kwa shangazi yake Dar Hakuwahi kuniuliza Kabila nahisi alijua mimi ni from dar /pwan kwasababu Mimi Sina ukabila...
  4. Pleasepast

    Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Habarini za usiku wapendwa Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke...
  5. M

    Ananiongelea vizuri kwa Mama Mkwe

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana, sijawahi kufikiria kumuoa kutokana na tabia yake ya kunipiga vizinga. Juzi wakati nipo mahali nilikutana na Mpangaji anaeishi kwenye nyumba ya Mama mkwe, yule Dada akawa akaniambia kuwa Mpenzi wangu amekuwa...
  6. BICHWA KOMWE -

    Mama mkwe wangu ananitandika na kunitesa vikali

    Kiukweli huyu Mama Mkwe ni mwisho wa reli. Ananibamiza haswa. Kabla ya ujio wake, nyumbani kwangu palikuwa swalama waswalamanta. Lakini tangu aje hapa pamegeuka kibiti, ananinyuka kama kifaranga. Ana gubu kali, ukikohoa anasema unamcheka, anakubutua na mwiko. Nimevimba kila mahali, uso wangu...
  7. Guru Guja

    Nilimpunja mama mkwe mahari. Jumamosi nimemuongezea nyingine

    Niliamua kuoa. Mwanamke ni mzuri sana. Anajua sana kukata kiuno na kunijali mimi vizuri, nimefurahia sana sasa, naenjoi sana ndoa. Nikawona kweli nililipa mahali kidogo sana ni dhambi kufanya hivyo. Ni kama miezi miwili nikagundua ile mahari milioni 5.7 ilikuwa dogo sana, nafaidi sana kwa...
  8. Dasizo

    Je una lolote la kumwambia mama mkwe kuhusu mtoto wake?

    Tuliopo kwenye ndoa! Je una lolote la kumwambia mama mkwe kuhusu mtoto wake?
  9. O

    Mtuhumiwa mauaji ya mke amtumia sms mama mkwe

    Moshi. Ni matukio nadra kutokea katika jamii, baada ya mtuhumiwa anayesakwa kwa udi na uvumba na polisi kwa tuhuma za mauaji ya mkewe, kumwandikia mama mkwe ujumbe mfupi (SMS), kuelezea ushiriki wake katika tukio hilo. Mtuhumiwa anadaiwa kutuma ujumbe huo wakati polisi wakiwa tayari wamechukua...
  10. Nyendo

    Mke ashirikiana na mume wake kumuua mama yake

    Jeshi la Polisi mkoa wa Geita linawashikilia Joyce Julius na Juma Charles (wanandoa), kwa tuhuma za kumuua mama mkwe wao Butamo Igionzela (70) ambaye ni mama mzazi wa Joyce mkazi wa Bungezi kata ya Ihanamilo wilayani Geita wakimtuhumu kumuua mtoto wao kwa njia ya kishirikina. Akiongea na...
  11. the Villag Story

    SHIDA NI MAMA MKWE

    SEHEMU YA 2 MWANDISHI: INNOCENT ile nafungua mlango tu, nilihisi joto kubwa ndani ya mwili, huku nikihisi kama nashindwa kupumua na yote haya ni taharuki niliyoipata ndani ya moyo wangu baada kuona aliyekua mlangoni ni mama mkwe wangu. Hakua peke yake aliyekua na mwanamke mwingine ambae...
  12. the Villag Story

    Shida ni Mama Mkwe

    MWANDISHI: INNOCENT Tulianza mapenzi yetu tangu tukiwa secondary na hatukuishia hapo penzi letu lilifanikiwa kufika mpaka chuo kikuu pale mzumbe tawi la mkoa wa Mbeya mungu mwema na hatimae tukaoana. Lakini kama ningevizingatia vijitabia flani vidogo vidogo alivonionesha mume wangu Terry enzi...
  13. C

    Hii ndiyo Tuhuma aliyokutwa nayo Mfanyabiashara Katili Cherehani huku akiwaponza Mama Mkwe na Mkewe aliye Mjamzito

    Baada ya Kukamatwa Jana huko Mbagala alikojificha kwa Kosa la Kujeruhi kwa Ukatili kwa Kumkata Mgoni wake Sikio na Kidole cha Kati hii ndiyo Tuhuma inayomkabili Mfanyabiashara wa Mihogo Soko la Kawe Bwana Cherehani. KOSA lake / TUHUMA yake ni KUTAKA KUUA KWA KUKUSUDIA. Na tayari ORDER...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nahisi mama mkwe wangu ni vampire

    Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki. Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia. Kuna kitu kiko very weird nimekiona...
  15. Mabula Msirikale

    Mama Mkwe anataka majina yangu matatu

    Habari ya weekend JF. Mpenzi wangu nimempa ujauzito. Nipo mbioni kupeleka posa kwao ili nifunge nae ndoa Takatifu. Wazazi wake bado sijakutana nao, binti yao ameshampa taarifa mama yake kuhusu hali yake ya ujauzito, mama yake akamuuliza kama kama anatunzwa akajibu ndiyo. Sasa leo asubuhi...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Nilipoteza fahamu kuzinduka nikajikuta nipo kwa mganga wa Kienyeji

    NILIPOTEZA FAHAMU, KUZINDUKA NIKAJIKUTA KWA MGANGA WAKIENYEJI Anaandika, Robert Heriel Loveboy Muhimu: Asome mwenye kuanzia miaka 18! Kipanga hukwapua vifaranga lakini Mimi kazi yangu ilikuwa kukwapua Pisikali, vitoto nyolinyoli vitamu kama Asali. Ilikuwa Kama dozi ya ARV kila siku kubwia...
  17. Prakatatumba abaabaabaa

    Je, ni sahihi kumpa hela Mama mkwe ambaye bado hujamuoa mtoto wake?

    Naomba nijibiwe kwa hekima kidogo. Ni binti naweza sema ni mchumba wangu japo kwetu hajulikani, yeye anakaa na mama yake ni mtumishi. Tunafahamiana na mama yake tu hatujawahi kuonana japo jambo lililofanya nijuane na mama yake kwa kipindi hicho ni kibaya sana na hatua aliyochukua ni mbaya...
  18. Beesmom

    Mna kheri wenye mama mkwe mzee

    Hakika mna kheri.Ma mkwe vijana imekuwa shida Sana,zamani walishindikana Kwa mdomo but now wameshindikana Kwa vyote...game wanataka wale na watoto wao... Masimango na kuchagulia waume au wake watoto wao(huyu simtaki,huyu Hana Hela,huyu mfupi Sana mbegu mbaya🙄),na kuachanisha ndoa ndo wamekuwa...
  19. D

    Ndoa yavunjika kwa kusikiliza maneno ya mama mkwe, binti aanza kuhaha

    Nachelea kusema ukiona ndoa inaendeshwa na ushauri wa watu toka nje ya ndoa basi hiyo ndoa haina safari ndefu, itakufa kifo cha mende. Kuna rafiki yangu alioa miaka miwili imepita kwa harusi kubwa ya kifahari lakini ndoa yake imevunjika, khaaa!! Kwa ninachoweza kusema ile ndoa imevunjwa kwa...
Back
Top Bottom