asiende

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kwanini Mwamposa asiende kwenye mahosiptali kuombea wagonjwa na tukaona wanapona?

    Hili ndio swali ninalojiuliza kama kweli huyu ni mchungaji wa ukweli. Kwa mfano, kwanini tusimuone Mwamposa akiwa Ocean Road hospitali anaombea wagonjwa wa kansa na tukaona wananyanyuka vitandani au madaktari wakathibitisha kupona kwa hao wagonjwa? Uhuru wa kuabudu umegeuka mtaji kwa wajanja...
  2. Sildenafil Citrate

    Chalinze: Mtoto ajinyonga baada ya kukatazwa na mama yake asiende kwenye Kigodoro

    Mtoto aliyejulikana kwa jina la Dotto mwenye miaka 10 mkazi wa kijiji cha Chalinze Mzee wilaya ya Chalinze amekutwa amejinyonga usiku wa kuamkia leo. Imeelezwa kuwa amejinyonga baada ya kukatazwa na mama yake mzazi asiende kwenye muziki (kigodoro). Chanzo: EATV
  3. Poppy Hatonn

    Ina maana Ruto alikuja Tanzania ili asiende Uganda?

    Kwa sababu Ruto alikuwa amealikwa kwenye sherehe za Uhuru Uganda October 9, badala yake akaja Tanzania. Hii ni baada ya Muhoozi ku tweet "Ndugu zangu wa Kenya, mimi sitakuja huko kulikung'uta Jeshi la Kenya, kwa sababu baba yangu amenikataza. "
  4. JokaKuu

    Zitto Kabwe adai nyumba yake ilichomwa moto ili kumzuia asiende kumuona Lissu hospitali Nairobi

    ..Zitto anadai alitaarifiwa nyumba yake inaungua akiwa airport akielekea kumtembelea Lissu hospitali Nairobi. ..anadai moto haukutokana na hitilafu ya umeme bali ilikuwa ni hujuma iliyofanywa na watu fulani. ..Zitto anadai waliotumwa kuchoma moto nyumba yake wamemu-approach na kumuomba radhi.
  5. Erythrocyte

    Paul Makonda ashindwa kufika Mahakamani katika kesi inayomkabili. Kesi yaahirishwa hadi 08 Feb 2022

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni,imeahirisha kesi ya jinai namba 1/2022, dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda,hadi Februari 8. Kuahirishwa kwa kesi hiyo kunatokana na mahakimu kuwa na majukumu mengine ya Kimahakama eneo la Segerea. Hii ndio Taarifa iliyopatikana...
  6. Chaliifrancisco

    Govi Lamuokoa Asiende Jela

    Butongwa John vs Republic (Criminal Appeal No.450 of 2017) [2021] TZCA 415; (26 August 2021) Binti wa umri wa miaka 17, anasema siku moja alitumwa dukani na baba yake ili akanunue madaftari ya shule, akiwa njiani kurudi nyumbani Binti akakutana na Bwana Butongwa ambaye alipora daftari zake...
  7. Roving Journalist

    Achukua rushwa ili Mwanafunzi asiende Shule

    DODOMA - JULAI 19, 2021 TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI ACHUKUA RUSHWA ILI MWANAFUNZI ASIENDE SHULE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma leo Julai 19, 2021 inatarajia kumfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma Bw. Maliselo Kapampa Saveli (29) na...
Back
Top Bottom