Msemaji wa Jeshi la Burundi, Brig. Gen. Gaspard Baratuza amekanusha taarifa kwamba wanajeshi wa Tanzania waliingia Burundi wakiwa wamevalia sare za kijeshi za Burundi ili kusaidia katika mapigano nchini DRC.
Amesema eti Jeshi la Burundi lipo nchini DRC kihalali, hivyo hakuna sababu ya kuwaficha...
Mzozo kati ya majirani umeibua mjadala kuhusu haki, mipaka na namna tunavyoshughulikia migogoro katika maeneo tunayoishi.
Mwanamke mmoja amesimulia jinsi alivyokasirishwa baada ya jirani yake kudaiwa kutupa duvet yake mara kwa mara. Badala ya suala hilo kumalizika kwa mazungumzo, hali ilizidi...
Mamlaka nchini Rwanda zimetangaza marufuku ya uvaaji wa mavazi mafupi kupindukia na yasiyo na staha katika maeneo ya umma pamoja na hafla mbalimbali nchini humo.
Hatua hiyo imechukuliwa hivi karibuni na serikali kwa lengo la kulinda, kudumisha, na kuheshimu misingi ya utamaduni na maadili ya...
Biashara ya kukodisha nguo za maharusi inaweza kuwa na fursa kubwa kwa sababu harusi, send-off na sherehe mbalimbali zinaendelea kufanyika kila siku. Lakini kuwa na nguo nzuri pekee hakutoshi kukufanya ufanikiwe.
Unahitaji kuielewa biashara yako na kuisimamia kwa mfumo.
1. 🎀 Chagua nguo...
Wakuu,
Kidume kizima unakuwa na nguo maalumu za kulalia? Yaani ukitoka kwenye mihangaiko yako ya kimaisha.
Baada ya kupata dinner unaoga kisha unavaa nguo maalumu za kulalia ili iweje?
Je! Nguo maalumu za kulalia zina nini cha ziada tofauti na hizi za kawaida Kwa kidume?
Kwa mtoto wa kike...
Kuna watu wanahangaika sana kuwavalisha watu wanaowatumia kuishambulia CHADEMA kwa kuwavalisha nguo zenye nembo ya CHADEMA ili kuthibitisha "uchadema" wao.
Mtu kuzungumza kama mwanachadema kuko kikatiba kwa kufuata Katiba ya CHADEMA na siyo kwa kuvaa nguo yenye nembo ya CHADEMA.
Maana ili uwe...
Kuna baadhi ya mafundi nguo wanakwaza sana, unampelekea mshono vizuri anatazama anasema anaweza kushona anataja bei mnakubaliana, unalipia gharamaza awali, akija kukukabidhi hyo nguo bora ungevaa gunia tu kuliko kuvaa hiyo nguo anayokuwa kakushonea.
Sasa kuliko kuharibu nguo ya mtu ambaye...
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amesema; “CCM sio Chama cha siasa bali ni Dola iliyojivisha nguo za Kijani, CHADEMA ndio Chama cha siasa kwakuwa huko field hatukutani na CCM bali vyombo vya Usalama”
Video: Clouds Media Digital
Leo watu wengi wanaanza biashara ya nguo kupitia WhatsApp Status, Instagram, Facebook au TikTok. Unaweza kuanza ukiwa na nguo chache, ukapata wateja wa kwanza na kuanza kupata faida.
Lakini swali ni: Je, unataka kubaki muuzaji wa nguo au kujenga BRAND yako mwenyewe?
Safari ya kujenga biashara...
Kwa nini wanajeshi hawajawahi onekana wamevaa camo za khaki kama zile za CHADEMA? Kweli zile baka baka za kijani zinafaa misituni. Lakini kiangazi nchi na karibu ukanda huu wote huwa wa khakhi. Ni kama camo za khakhi Pia zingefaa ziwepo kama ambavyo unakuta nchi za baridi wanagwanda za msituni...
BINTI ATOKA KIGOMA ADAI KUVULIWA NGUO NA KUCHOMWA PASI YA MOTO NA MWAJIRI WAKE ARUSHA
Binti anayetokea mkoani Kigoma amedai kufanyiwa ukatili mkubwa na mwajiri wake, Nema Mushi, mkazi wa Moshono jijini Arusha, akisema alivuliwa nguo, akaachwa akiwa uchi na kisha kuchomwa kwa pasi ya moto...
Wakuu anayetaka hii nguo aje hapa kigogo aichukue.
Nilinunua visiwanI kule Kizimkazi,
ila hapa mjini lazima nikutane na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia, Siyo wanaume tu, mpaka baadhi nakutana na wanawake wameivaa 🤔.
Nilitaka nikaibebee zege ila nimeona si jambo zuri maana...
Huyu ni kiongozi wa CHAUMA kavaa nguo za Chadema na kujifanya yeye ni Katibu wa Bavicha Mkoa wa Katavi, kaitisha press na kuanza kuishambulia Chadema na Makamu Mkiti John Heche.
Nafikiri wanasheria wa Chadema waanze kuwachukulia hatua za kisheria watu kama hawa wanaojipachika vyeo bandia...
Sasa ni muda Yanga atupishe kidogo, na wengine nao waonje utamu wa ubingwa. 😄
Mkakati ni rahisi tu. Kila Yanga akicheza na Simba, Azam, Coastal Union au timu nyingine, pawe na tetesi za "dawa" dressing room au kama vipi wawekewe kabisa hizo dawa. Lengo liwe ni kuwafanya wasiingie vyumbani
Si...
Hello wapendwa
Nataka nihamie Kahama sasa nataka kujua kama Biashara gani iko poa kwa Kahama
Mimi nina uzoefu wa nguo za kike na watoto ndio nayoifanya kwa sasa hapa Dar es Salaam ila sasa malengo yangu sio kuuza nguo ni kuuza home decor na vitu vidogovidogo vya matumizi ya nyumbani sijajua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.