man

A man is an adult male human. Prior to adulthood, a male human is referred to as a boy.
Like most other male mammals, a man's genome typically inherits an X chromosome from his mother and a Y chromosome from his father. The male fetus generally produces larger amounts of androgens and smaller amounts of estrogens than a female fetus. This difference in the relative amounts of these sex steroids is largely responsible for the physiological differences that distinguish men from women. During puberty, hormones which stimulate androgen production result in the development of secondary sexual characteristics, thus exhibiting greater differences between the sexes. However, there are exceptions to the above for some transgender and intersex men.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Polisi yamshikilia Staa wa Man. City, atuhumiwa kukwapua simu ya shabiki

    Kiungo wa Manchester City, Matheus Nunes anashikiliwa na Polisi akituhumiwa kukwapua simu ya shabiki ambaye alitaka kumpiga picha wakati alipokuwa msalani kwenye ukumbi wa starehe usiku. Licha ya taarifa hizo kujulikana leo Oktoba 2, 2024, Nunes (26) raia wa Ureno ambaye alisajiliwa na City kwa...
  2. A

    40-49 yrs Christian man

    Habari nahitaji Mume mwenye umri 40 Hadi 49 Kwa ajili ya ndoa halali ya kanisani Mchapkazi na anayejua Majukumu yake sio wakulelewa Mkristo hasa mpetekoste NB alietayari ku asili mtoto Awe mkoa WA manyara kilimanjaro ,Tanga au Dar
  3. milele amina

    2 Samweli 2:26: Samia na Free Man Mbowe: "Msigombane Njiani" katika Muktadha wa Kisasa,

    Katika historia ya siasa za Tanzania, viongozi wawili, Samia Suluhu Hassan na Freem Mbowe, wamekuwa katika mazingira ya kisiasa yenye changamoto na mabadiliko. Mstari wa Biblia, 2 Samweli 2:26, unaongelea umuhimu wa umoja na ushirikiano, ambapo Abner anasema, "Msigombane njiani." Huu ni mwito wa...
  4. JanguKamaJangu

    Ole Gunnar Solskjaer asema yupo tayari kurejea Man United

    Ole Gunnar Solskjaer piles pressure on Erik ten Hag by opening the door for sensational Man United return three years after Old Trafford sacking Ole Gunnar Solskjaer has given his verdict on if he would ever return to Manchester United. After initially making his name as a player at Old...
  5. THE FIRST BORN

    NBC, Hio Man of the Match Kwa Camara imetolewa Kwa kigezo Gani?

    Good morning. Naona mnaanza kutengeneza attention ya kushindanisha kati ya Diarra na Camara ila ki uhalisia Jana Camara hakustahili kua Man of the Match. Hivi unampa Man of the Match mtu kapigiwa Shoot Moja la kulenga goli!!! NBC hamfai kabisa...angefanya save hata 10 sasa si mngempa golikipa...
  6. Nasdaq

    The Richest Man In Babylon

    Tips: Start thy purse to fattening (Pay yourself first using the skills you already have) Control thy expenditures (Keep your expenses low) Make thy gold multiply (Invest what you save) Guard thy treasures from loss (Protect your investments from loss) Own thy own home (Invest in a home) Insure...
  7. W

    Miley Cyrus ashitakiwa kuiba wimbo wa Bruno Mars 'When I was your Man'

    Malalamiko dhidi ya Miley Cyrus yanadai kwamba wimbo 'Flowers' usingekuwepo bila wimbo wa 'When I was Your Man' wa Bruno Mars na kutaka uzalishaji na usambazaji wa wimbo huo Aidha, kesi hii imewataja Miley, waandishi wasaaidizi wake Sony Music Publishing na kampuni ya Apple bila ya Bruno Mars...
  8. Pdidy

    HUYU NDIO MAN OF THE MATCH LIBYA

    Kama ulisikia mwingine huyo wa mchongo kwangu mie huyu mwamba ndio man of the match Ikowezekana apewe tktk na ukaribisho wa kupanda mlima kilimanjaro bure akimaliza apelekwe ngorongoro crater
  9. Mwl.RCT

    Redefining "Real Man": A Guide to Healthy Masculinity

    Redefining "Real Man": A Guide to Healthy Masculinity I. Introduction: Challenging the Status Quo Picture this: a lively room buzzing with conversation about masculinity. Laughter mixes with serious debate until a voice cuts through, declaring, “Toxic masculinity is just a buzzword." A loaded...
  10. J

    Ten Hag ana mechi mbili tu Man United

    Mchezaji wa zamani wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Alan Shearer amesema kocha wa Manchester United, Erik ten Hag ana michezo miwili pekee ya kuokoa kibarua chake. Man United ambayo kwa sasa inashika nafasi ya 14, katika mechi tatu za mwanzo za EPL imeshinda moja na kupoteza...
  11. uhurumoja

    George Mpole kupewa man of the match NBC wamevurunda

    Hii mechi Nakibinge au Yona Amos walipaswa mmoja wao kuwa man of the match Mpole kaingia kipindi cha pili kakosa magoli ya wazi mengi kabisa Anyway pamba waendelee kupambana sio wabaya
  12. BARD AI

    Mtuhumiwa wa Ubakaji amwambia Mwandishi wa Habari “Afu we Camera man nikimaliza kesi ntakutafuta”

    Watuhumiwa wanne wa kesi ya Ubakaji na ulawiti ambao ni Askari wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) MT 140105 Clinton Damas maarufu Nyundo, Amini Lema maarufu Kindamba, Nickson Jackson maarufu Machuche na Askari wa Jeshi la Magereza C 1693 Praygod Mushi wakiondolewa mahakamani jioni hii kurudishwa...
  13. JanguKamaJangu

    Premier League imerejea, Man United vs Fulham mzigoni

    Msimu wa 2024/25 katika Ligi Kuu ya England “Premier League” unatarajiwa kuanza leo Agosti 16, 2024 ambapo utaendelea hadi Mei 25, 2025, bingwa mtetezi akiwa ni Manchester City. Timu ya Manchester United inafungua pazia kwenye Uwanja wa Old Trafford kwa kuikaribisha Fulham, huku mechi nyingine...
  14. J

    Owen aitabiria Arsenal ubingwa EPL akiitosa Man United top four

    Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United, Michael Owen ametabiri Arsenal kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya England (EPL) msimu ujao wa 2024/2025 huku akishindwa kuiweka Man United katika orodha ya timu nne zitakazomaliza katioka nafasi nne za juu kwenye msimamo wa ligi hiyo. Owen ambaye pia...
  15. Mributz

    Klabu ya West Ham yachukua mchezaji MAN UTD

    Klabu ya West Ham imekamilisha usajili wa beki wa kulia, Aaron Wan-Bissaka kutoka klabu ya Manchester United kwa mkataba hadi Juni 2029. Aaron Wan-Bissaka mwenye umri wa miaka 26 alijiunga na klabu ya Manchester United Juni mwaka 2019 akitokea klabu ya Crystal Palace. Alicheza mechi yake ya...
  16. M

    Man united kujenga uwanja mpya kwa euro Bilioni 2.4

    Klabu ya manchester united nchini England imepitisha mpango wa kujenga uwanja mpya wa mpira utakaokua na manufaa zaidi kuliko kukarabati ule uliopo [old trafford], uwanja huo utakaobeba mashabiki 100,000 unakadiriwa kugharimu euro bilioni 2.4. Mpango huu umetokana na kuvuja kwa uwanja wa zamani...
  17. TheForgotten Genious

    A Man can love without marry you

    A man can love you and not marry you. A man can have $ex with you for years without marrying you. But immediately he finds someone who brings stability in his life, he marries her. Men are visionaries when they think about marriage, they do not think about wedding dresses, bridesmaids...
  18. JanguKamaJangu

    Kocha Pep Guardiola asema Kevin De Bruyne anabaki Man City

    Kevin De Bruyne is STAYING at Man City this season, insists Pep Guardiola, despite reports claiming Saudi club Al-Ittihad had agreed terms with the veteran star Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amesema kiungo wat imu yake, Kevin De Bruyne hana mpango wa kuhamia Saudi Arabia kama...
  19. naziri massawe

    As a man it's important to learn early the dignity of manhood

    Our generation is filled with women who are date pool bounty hunters. We have many women who let themselves go in their prime, sleep around with different men for the dollar bill, to keep head above water and live the lifestyle of their fantasies while dismissing the young, sincere, hardworking...
Back
Top Bottom