nyuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi ShesRise_1 mwadada mwenye nyuzi fikirishi na amazing

    Ni masiku machache sasa hajaonekana hewani mwanadada huyu,sio kwenye Comments wala kutoa nyuzi zake zenye kuchangamsha bongo zetu Na si kawaida yake kukaa kimya muda mrefu namna hii Wale tunao fuatilia nyuzi zake hapana shaka yoyote huwa tunapata chemsha bongo,elimu na maarifa,kutokana na...
  2. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Onyo kwa mods: Komeni mara moja kufuta nyuzi zenye mafundisho

    Leo secretarybird ameachia uzi wenye mafundisho murua juu ya baba wa kambo . Lakini kama kawaida mmekua wenye kiherehere na kihoro cha kufuta Kila mara nyuzi zenye mafundisho maridhawa zinaporindima hapa jukwaani. Sasa napenda niwaonye huku nikiwapa muda wa kujitafakari. Tusipangiane vya...
  3. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliokuwa wanatunga nyuzi za "nakupenda cocastic" "nakupenda bichwa komwe" leo mko wapi?

    Na hakuna option ya ku-delete nyuzi😁😁
  4. min -me

    JamiiForums Tanzania Jukwaa chit-chat mnataka nyuzi za aina gani ?

    Bila hata matusi , stara ya kiwango cha lami mnafuta nyuzi za humu🤔 Kuna nini humu ndani ? Ni sharia ipi imebadilika ambayo wana zengo tunashindwa kuifahamu?
  5. min -me

    JamiiForums Tanzania Zile nyuzi za wakubwa kipindi kile kwa jf zimeenda wapi?

    Ebu fanyeni kurudisha jukwaa la wakubwa ili mambo yaende sawa hapa jf bwashee 🤔 Hili jukwaaa tumeliomba kwa mda mrefu sijui kwanini mnatubania bila sababu za msingi asee 🤔
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa uongozi wa Jamii forums. Wekeni utaratibu mtu ukimuignore asiweze kuona nyuzi zako au comment zako

    Mijitu mipumbavu ambayo inatumia makalio kufikiri . Mijitu inayodandia mada hata kama hizo mada haziwahusu. Inatakiwa ukiiblock isiweze kuona nyuzi au comment zako.
  7. Funny boe

    JamiiForums Tanzania Swali kwa mods; nyuzi ni nyingi na comments zinaongezeka, Je siku JF servers zikijaa itakuaje? Ni mwisho wa JamiiForums?

    kwa hii hali ya sasa nyuzi zinavyoanzishwa kwa fujo halafu bila mpangilio na maana yoyote halafu nyuzi zenyewe za hovyo nyingi zikiwa ni za wanafunzi walioko likizo na vijana wanaokaa kwa dada zao hali inayopelekea comments kuwa nyingi pia. hii hali si itapelekea siku moja servers za JF zijae...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nyuzi zipi zina wachangiaji wengi?

    Jamii forum ndo jukwaa lenye mchanganyiko wa watu mbalimbali wakiwemo wasomi na watu wenye vitengo mbalimbali n.k. Hivyo wingi wa uchangiaji kwenye mada fulani unaweza kusaidia kuiona sura ya taifa. Je wachangiaji wengi wapo kwenye nyuzi za siasa, michezo, vita, uchumi, harakati za maisha...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Warembo wa JF msichukulie poa nyuzi mnazoanzishiwa wengine tuko seriously

    Nashqngazwa na hawa warembo wa Jf, wanamashauzi kinoma ujue mpaka mtu amekufungulia ni kwamba kavutiwa kutoka moyoni kwasababu "The true love come from unknown" Ebu fikiria yaani Jf yote hii mtu kakuchagua wewe tu huoni hiyo ni bahati ya mtende. Sasa basi kuanzia leo tukiwaandikia nyuzi hapa...
  10. Zemanda

    JamiiForums Tanzania Mbona sina access ya nyuzi zangu, nikitaka kuziona nazipatia wapi kwenye App?

    Nimejaribu kutafuta threads zangu sizioni sasa najiuliza hii app ya JF imezipeleka wapi maana sina access nazo wala siwezi kuziona. Nikiingia kwenye "your contents" nakutana replies zangu kwenye nyuzi za watu wengine ila sioni nyuzi zangu.
  11. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Hivi nyuzi za maana humu jeiefu ni ZIPI?

    Kwanza kabisa nakubali kwamba nikweli mimi mwehu ndama ubongo wangu umecheza mahala fulani..Na nyuzi zangu nyingi humu jukwaani nikweli zinaashiria upungufu wangu wa akili sababu bado nakula majani. Lakini kumekua na wimbi kubwa la wenye hekima na akili tele humu jeiefu kuzisema Kila nyuzi...
  12. Room 28

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna nyuzi nimezuiluwa kuchangia?? Nini jf inakiogopa ni haya madini yangu😀😀

    Kuna uzi nimuuona unahusu Nchi ya Rwanda imeendelea kuliko Kagera” Nikajaribu kupitia nikaona analysis iliyofanyika ni yakitoto! Wakati nimeandaa madini yangu kumuelimisha huyu jamaa nikaambiwa SIRUHUSIWI KUCHANGIA” kuna shida kidogo Nikalog out nika log in kurudi ishu ile ile Kuufuatilia...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Najitolea kuwa Mentor

    kama unataka kuwa na personal development, au unatafuta mtu wa kukuelekeza kwenye mambo mbalimbali kupitia falsafa. basi mimi ninajitolea kua mentor nitawaongoza watu wawili kwa mwaka mzima mentor wangu Mr Rohn alisema don't wish for less challenges, wish for more skills. don't wish for less...
  14. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Tuheshimianeni humu ndani, nyuzi zangu hazina muendelezo leo nikisema mimi polisi, kesho kutwa mganga.. nisiulizwe

    Hamjambo nyie waja Binafs sitaki niulizwe, yaani ukute leo nimetoa uzi mimi mwizi, kesho kutwa mimi askofu au sheikh sitaki niulizwe au nikumbushiwe Uwa nawa replesent watu wangu wa karibu, sasa mkiniuliza mimi nilikuwa mlevi vipi leo naswalisha sitak maswali ya hivyo Humu kuna watu...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Andekeni nyuzi nzuri ila punguzeni mahaba ndani yake

    Wadogo zetu wa kiume mnawapa shida sana na post zenyu🤪 Wakizisoma wako magetoni pekeyao na upweke na hii hali ya hewa halafu vichelema vimewachosha.. Kuna hisia fulani amazing wanazipata Kwa umri wao hata maandishi yanaweza kuwapa ashiki maana wanayafanyia transformation kwenye sauti na kuvuta...
  16. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Hawa wanaume wanaoleta nyuzi za kulia lia ifike mahali wadhibitiwe

    Habari everyone. We're too weary... you did it long enough, no more chance for that. haipiti week mwanaume analeta uzi analia sijui kaachwa, mara sijui anaitwa bahili na vitu kadha wa kadha... binafsi nakwazika sana na nadhani wapo wengi wanakwazika kama mimi. MMU kuwa jukwaa la mahusiano...
  17. adriz

    JamiiForums Tanzania Ramadhani imeshaingia zile nyuzi zimeshaanza

    Moja kwa Moja.. Leo nimeingia Jf now , nilijua tu haiwezi Ramadhani kuanza kinyonge bila kukuta zile nyuzi nikasema ngoja nichungulie HMM , page ya mwanzo tu nikakuta nyuzi zimeongozana ya kwanza hii 👇👇 halafu hii nyuzi kila Ramadhani lazima ianzishwe ndio uzi ambao unaingia kwenye rekodi ya...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Hakuna bunge pale acheni kuleta nyuzi zake hapa JF kujaza server.

    GT Nawashangaa sana ninyi mnaojaza server za JF kwa habari za wahuni wamekaa kumsifia Samuya. Hiyo ndo.kazi ya mbunge? Hilo bunge siyo halali hawatakiwa kupewa airtime hata kidogo.. Maana hakuna hata mbunge mmoja aliyajutia mauaji ya M029 hao ni kuku kabisa achaaneni nao.
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama jf ni great thinkers, kunakuwaje na nyuzi za kizwazwa?

    Kuna nyuzi nyingine zinazokingana na sifa ya jf. Mfano, mtu anauliza eti ni faida gani ulipata kwa mwanamke! Kamuulize mama yako ndo utajua faida ya mwanamke. Mwingine mara usipinge dini fulani na mengine mengi. Kwani hizo dini zenu hazipingwi? Huwa nashangaa kwanini kuna nyuzi nyingi za...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mimi sio nabii ila kesho utaona nyuzi za yesu alikuwa ni mpalestina na christmas ni sherehe ya majini

    Anaesema hivyo yeye mwenyewe anasubiria mto wa mvinyo na wanawake 90 huko peponi 😂😂
Back
Top Bottom