Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Dudubaya, amezua gumzo kwenye Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva lililofanyika Arusha baada ya kuzimiwa kipaza sauti (Mic) akiwa stejini.
Tukio hilo limetokea muda mfupi baada ya Dudubaya kuhoji sababu za msanii Ommy Dimpoz kualikwa kwenye tamasha hilo, huku...
Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa Nchini, mezee Warioba akiongea ameanguka jukwaani akitoa mada kuhusu katiba na Muungano.
Haijulikani sababu.ya kuanguka. Yupo Serena Hotel.Maombi yenu wadau.
Iteni ambulance apelekwe hospital, ninyi hamna uwezo wa kupa huduma.
Tayari...
Ni baada ya ule uchaguzi tukala yamini kuwa serikali hii imeingia madarakani bila ridhaa ya wananchi na tukasema kuwa hii serikali si halali na hatuitambui hiki kitendo cha kumuona mng'atukaji wa serikali batili kuwa ni malaika ni usaliti
Ndugu zangu katika umoja mnikaribishe humu ukumbini. Najua nipo sehemu sahihi. Nahitaji ushirikiano wenu, hasa katika eneo langu la ushauri na nasaha. Focus yangu vijana na wanandoa. Nimejiunga mahususi kwa habari ya ujumbe wa upendo. Tutakutana humo ndani ya kumbi za jukwaa, asanteni
Yaani Kuna watu wamekoshwa au wameopendezwa na msimamio au maelezo ya kiongozi fulani wakisiasa, Wakaona ngoja wamwekee mafuta kwenye gari yake na wampe na hela ya kula njiani yeye na wenzake ili na wenzao kutoka sehemu nyingine wapate huo ujumbe je juzitumia hizo fedha ni ufisadi?
Kumbuka...
Tumeona kwenye tamasha la bongo fleva Mlimani City jinsi ambavyo wahudhuriaji walivyokataa mambo wasiyoyataka. Tumeona naibu waziri wa utamaduni akizomewa kwa kutaka kuingiza siasa kwenye burudani. Pia tumeona hayo hayo yakimtokea Dully Sykes kwa kumtaja tu Makonda. Haya yanatufundisha nini...
Ciao,
Kuna baadhi ya watu humu jukwaani wamevurugwa na maisha kwa iyo wasikusumbue akili.
Utawajua kwa hizi komenti 👇
"Jiandae urudi shule"
"Kwan shule zimefungwa?"
"Hama apo kwa shemeji yako 😁"
"Unahitaji kumeza dawa zako"
"Tafuta hela"
"Njoo pm"
"Mwanaume mzima unawaza mapenzi?"...
Haya hapa ni maana ya emoji zilizopo kwenye picha sc.jpeg, zikiwa zimepangwa mstari kwa mstari kuanzia kushoto kwenda kulia:
Mstari wa Kwanza (Juu)
👍 Kidole gumba juu (Thumbs Up): Inamaanisha kukubali, kuafiki, au kuonyesha kuwa kitu ni sawa/kizuri.
👎 Kidole gumba chini (Thumbs Down)...
Kwanza kabisa kama kuna WanaCCM ambao hawana ushawishi ila wapo madarakani kwa upendeleo au labda kwa kutumia matunguri ni Ally Hapi.
Uwezo wake wa kushawishi watu ni mdogo na hoja za msingi. Anadhania Tanzania ya sasa ni ya kufanya siasa za Chipukizi wa CCM na kuwanunulia akina mama Kanga na...
Wanahisi wamekuwa neglected katika jamii inayowazunguka ambayo imekataa ku-prioritize afya ya akili.
Sasa ndani ya JF with hidden identity anaona ndio pahala sahihi pa ku-shout out🗣🗣makunyazi yake, sio kwamba apunguze stress ila bila kujua ana jihukumu kwa namna alivyo kwa kuyasema mambo mazito...
Siku chache nilipomuonya LEMA aache Siasa za kuhalalisha Serikali ya CCM.
Sista Nyahozi anakuja kusema 'Mbona LEMA Kaongea vizuri tu , Mbona Bon Yai Kaongea vizuri " na sijaongea neno.
Ila anapoongea HECHE , Sista Nyahozi anakuja kubweka kama Mbwa !!!.
Heche shikilia hapo hapo, na huo ndo...
Member humu jukwaani wana hisia mseto hivyo kuruhusu emoji 14 tu, kwenye member wenye hisia na mtazamo mseto ni ku minya uwezo wa ufikiri na reaction za baadae.
baada ya kuwa na emoji 14 tu mtu analazimika kutumia emoji moja wapo kati ya hizo itakayo fanania na wazo lake ili iwe m-badala
je...
(i) Tanzania sio nchi ya KILOKOLE
Mnapopita kila nyumba kuhamasisha watu waje kanisani kwenu mna maana gani?? Yani unakuja unagonga unafunguliwa, tunasalimiana, bila hata kuuliza mimi dini gani unaanzA kunikaribisba kanisani kwenu, hiyo ipo sawa?? Kwamba nyie akili zenu zinawatuma kila mtu ni...
“Uranium haiwezi kuwa na umuhimu kwa watu ambao hawajui afya zao zitarejeshwaje wakiugua. Watoto wao wanasoma mazingira ya duni.......”
Mfano hoja ya “wanaomezea mate madini ya uranium”. Kulikuwa na haja gani ya kuizungumza jukwaani wakati hao wanaomsikiliza wanashida ya maji toka dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.