Stories of Change 2021

Stories of Change 2021 special forum

ASBESTOS NI NINI? Asbestos ni madini yanayochimbwa ardhini kama madini mengine. Kwa miaka iyoyopita asbsestos ilikuwa na bei nzuri katika soko la dunia kwa sababu ilikuwa na matumizi mengi katika...
43 Reactions
56 Replies
8K Views
KIFO NI KIBAYA SANA..NI BORA UFE WEWE KULIKO ATANGULIE YULE ULIMPENDA NA KUMZOEA. Habari wakuu,poleni na majukumu Najua kila mtu ameshawahi kusikia neno KIFO..ndio ni neno fupi lenye herufi...
15 Reactions
57 Replies
8K Views
Ni hakika kwamba, kwa miaka ya karibuni, kila Mtanzania mwenye akili timamu na ukamilifu wa kujitegemea, kama siyo mfanyakazi wa kuajiriwa au mfanyabiashara, lazima aisumbue akili yake ili kujua...
14 Reactions
32 Replies
5K Views
Utangulizi: Ulevi wa pombe limekuwa ni janga linaloitafuna sana jamii yetu kutokana na kusababisha matatizo mengine mengi zaidi ikiwemo umaskini, migogoro kwenye ndoa, ugomvi na hata mauwaji...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wanajukwaa la Story of change. Katika uzi huu nataka kuelezea ulazima wa kujifunza lugha ya kiingereza kwa mtanzania hata asie na elimu kubwa. Hili suala huwa haliongelewi kabisa na...
13 Reactions
28 Replies
4K Views
Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam. Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye...
40 Reactions
179 Replies
15K Views
Habari yako, Kwa wakazi wa Bongo, neno Shivaz sio geni masikioni mwenu! Manka Mushi mie, mtoto wa kichaga huko na Mrina ndiyo yalikuwa machimbo yangu ya kujidai. Kiufupi nimeumbika, shepu...
44 Reactions
48 Replies
14K Views
Habari wana JF Leo nina mada fupi juu ya utofauti wa kazi za hawa watu watatu tajwa hapo juu kwenye kichwa cha habari katika sekta ya TEHAMA (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano) . Mada hii...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni siku nyingine tena mpndwa nafasi nyingine ya kushukuru Mungu kwa uzima tuliopewa pamoja na kwamba tupo katika shindano lakini kipaumbele ni kusaidia jamii zetu zinazo kumbwa na matatizo...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Maisha ya mwanadamu kiujumla yanatengenezwa na muonekano wa kila siku anaojitahidi kuutengeneza katika mazingira yanayomzunguka. Je, muonekano ni nini? Uwezekano ni nini? Kanuni hii ni siri kubwa...
421 Reactions
365 Replies
31K Views
WOSIA SIKU YA NDOA YANGU KWA MWANAMKE NITAKAYEMUOA Picha: www.wikipedia.com Mwandishi: Emmanuel P. Peter Jr. Mob/WhatsApp: +255 788000273 Email: emmapeter759@gmail.com Instagram: emmapetertz...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari JF, Tanzania kama zilivyo nchi nyingine tatizo la ajira limekua sugu kwa vijana . Takwimu zinaonyesha kundi la vijana linaongezeka; kutakuwa na ongezeko la vijana kufikia million 15...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Pamoja na uwepo wa utitiri wa ndoa sasa lakini bado katika ulimwengu wa sasa kuna vijana wanaogopa kuoa. Kwanza kijana acha uoga kila kijana akiamua anaweza kuoa na kumudu familia hata kama ana...
24 Reactions
73 Replies
9K Views
HITAJI LA MATUMAINI LINAMEA Mwaka 2010 aliyekuwa Askofu mstaafu wa kanisa la kilutheri Tanzania (ELCT), marehemu Ambilikile Mwasapile alitangaza kuwepo kwa dawa inayotibu magonjwa yote ikiwamo...
9 Reactions
7 Replies
2K Views
MAHUSIANO YANAVYOATHIRIWA NA MAGONJWA YA HAIBA (PERSONALITY DISORDERS AND RELATIONSHIP) Habari zenu JamiiForums, hususani jukwaa hili la stories of change. Ni tumaini langu nyote ni wazima...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanasaikologia mpo wapi? Na kama mpo mnafanya nini? Jamii inahitaji msaada kutoka kwenu. Wanasaikolojia ni watu ambao ni muhimu sana katika afya ya kila mtu na hapa nchini huwa tunapokea wahitimu...
31 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari. Hii ni kwavijana na wapambanaji wenzangu. Hizo picha happy juu Ni safari ya mafanikio ya maisha yangu. Mimi Ni kijana niliye zaliwa kwenye familia masikini, nikasoma katika shule za...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Huu uzi yawezekana ukawa mrefu kuusoma, ila naamini kuna mtu utamsaidia sana endapo atausoma mpaka mwisho. Kabla sijashare nanyi kusudio langu la huu uzi. Naomba niwape story ndogo kuhusiana na...
34 Reactions
36 Replies
10K Views
Tatizo la takangumu ni kubwa na lenye changamoto nyingi katika miji yetu... Manispaa nyingi hujaribu kwa kila namna kupambana na hili tatizo lakini juhudi bado hazijakidhi ukubwa wa tatizo.. Zipo...
24 Reactions
96 Replies
6K Views
Nawasalimu ndugu zangu wanajukwaa. Kutokana na changamoto za upatikanaji wa Ajira Tanzania na Duniani kwa ujumla wake kama Taifa tunatakiwa tuwe na Mawazo, mipango na ubunifu mbalimbali ili...
41 Reactions
85 Replies
8K Views
Back
Top Bottom