igp sirro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Benaya-

    IGP Sirro, hali ya usalama barabarani inatisha. Chukua hatua haraka!

    Kwako Afande IGP Sirro. Kwanza naomba nikupongeze kwa jitihada zako nyingi unazozifanya kwa ajili ya kuhakikisha kuwa Watanzania wanakuwa salama pamoja na mali zao. Najua kipindi hiki ni kigumu sana hasa tukizingatia wimbi jipya la mauaji ya kikatili yaliyoibuka hivi karibuni ambapo kumekuwa...
  2. J

    IGP Sirro awaagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavyoelekezwa na Serikali

    IGP Sirro ameagiza Wananchi wa Loliondo kutowasikiliza wanasiasa na badala yake watekeleze wanavhoelekezwa na serikali Sirro amesema hali ya usalama Ngorongoro ni shwari kabisa ----- PICHA: IGP Sirro akiongea na wakazi wa Tarafa Loliondo Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Simon Sirro amesema zoezi...
  3. JanguKamaJangu

    IGP Sirro: Kina dada kuweni makini si kila mwanaume ni bora wa kuishi naye

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro ameendelea kukemea na kulaani vitendo vya mauaji vinavyotokana na wivu wa mapenzi ambavyo vimekuwa vikitekelezwa na baadhi ya watu kwenye jamii, jambo ambalo ni kinyume na sheria za nchi. “Ukiona mwanamke amekuzingua si unaachanana naye tu, kina...
  4. J

    Je, IGP Sirro amepandishwa cheo? Naona nyota moja imeongezeka begani

    Leo nimeona ongezeko la nyota Moja mabegani kwa IGP Sirro. Je amepandishwa cheo au kumefanyika mabadiliko ya ndani ya cheo anachopaswa kuvaa IGP?
  5. Kichwamoto

    IGP Sirro kichuguu kinatema soon mchuma janga hula na wa kwao na waliomtuma

    Amang'ana, habari ja muhi, msinda vihi wana JF! Nimtazamo wangu ya kwamba Sirro amefika mwisho wa cheo chake, hata mwezi june hafiki, anaebisha tukutane june mosi. Maisha ni haya haya lichuguu limekwaa tobo
  6. RWANDES

    IGP Sirro afanya mabadiliko: ACP Wankyo Nyigesa arudishwa Makao Makuu kupisha Uchunguzi, ACP Mwampakale awa RPC Kagera

    Taarifa zilizopo ni kwamba RPC KAGERA ambaye ametoka Pwani na kupelekwa mkoa Kagera ndugu Wankyo nadhani kauli ya jana ya kuhitaji ukuu wa Jeshi la Polisi imemuungiza matatani hii imeonesha hana nidhamu ya hali ya juu ndani ya jeshi hivyo basi staff officer aliyepo mkoa wa Rukwa ameteuliwa kuwa...
  7. kALEnga kidamali

    Wankyo Nyigesa, RPC Kagera: Natamani kuwa IGP, aliyepo hajafanya makosa lakini mimi nitafanya mazuri zaidi

    "Nilikuwa najiandaa kuwa DCI lakini nafasi ikachukuliwa, sasa najiandaa kuwa IGP, ninaamini Rais Samia maombi yangu anayasikia, siku moja niteua kuwa IGP, najua IGP aliyopo hajafanya makosa anafanya mazuri ila nitafanya mazuri zaidi"——RPC Kagera, Wankyo
  8. sifi leo

    Naumia, nalia, nasononeka kila nikiliona kaburi la Akwilina Akwilin. Serikali ilipe fidia familia yake; marehemu alipanga kuwajengea wazazi wake

    Nimeona kabla ya kufika tarehe 1/04/2022 niwakumbushe Wana JF ya kuwa hilo hapo ni kaburi la kijana wetu mtoto wetu Akwilina Akwilin aliyefariki kwa kupigwa risasi Na Askari polisi aliye kuwa anazuia maandamano ya Chadema. Polisi alifyatua risasi na kuua mwananfunI ambaye hakuwa hata kwnye...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Video: Afande IGP Sirro anamjibu nani hapa?!

    Najaribu kuwaza, hapa Afande IGP anamjibu nani? Nikifiria zaidi nahisi kama anamjibu mama. Msikilize mama hapa 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/nikisema-jeshi-la-polisi-halifanyi-kazi-vizuri-najibiwa.1967071/
  10. BigTall

    Hivi IGP Sirro kwa kauli hii ya Mbowe, Rais Samia, CCM na yote yanayotokea bado haujishtukii tu?

    Hii kauli ya Freeman Mbowe kuhusu kushangaa kuwa IGP Simon Sirro mpaka leo yupo ofisini na anashangaa mpaka leo bado yupo ofisini unadhani ni sahihi muda huu mkuu huyo wa Jeshi la Polisi anatakiwa akuwa ameshajiuzulu? Mbowe ameelezea mambo kadhaa Machi 18, 2022, jinsi ambavyo Jeshi la Polisi...
  11. Nyankurungu2020

    Kamati kuu ya CCM ilipaswa kupendekeza IGP Sirro aondolewe, sio kutathmini mwenendo wa Tanpol. Ukiukwaji wa haki za binadamu umekithiri hapa nchini

    Kila kukicha ni malalamiko ya wananchi juu ya ndugu zao kuumizwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa jeshi la polisi. Mbaya zaidi hakuna hatua zinazochukuliwa ili kuwashitaki wanaofanya haya matendo maovu. Rais Samia alishakiri hadharani kuwa kuna nguvu ya ziada inayotumika na inaleta madhara kwa...
  12. nyboma

    Kwa kilichotokea leo kwenye kesi ya Mbowe na wenzake watatu ni vyema IGP Sirro akajiuzulu mapema sana

    Kwa ufupi tu ni kwamba Kesi ya Mh. Mbowe tangu ianze kuunguruma hadi leo hii kitu nilichojifunza kwa Jeshi letu la polisi linaongozwa kihuni,kikatili na ubabe usio na ulazima kwa maagizo ya IGP NYAKORO SIRRO. Pia jeshi la polisi limejaa askari wajinga, bumbumbu wa sheria na hata ufahamu wa...
  13. John Haramba

    Waporaji wa bodaboda 'Vishandu' wampeleka IGP Sirro ghafla Vituo vya Stakishari, Kawe, Tabata

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro, mapema leo amefanya ukaguzi wa ghafla kwenye Kituo vya Polisi cha Stakishari, Tabata na Kawe jijini Dar es Salaam. IGP Sirro amebaini changamoto ya uhalifu wa uporaji kwa kutumia pikipiki pamoja na makosa ya uvunjaji. “Nimekuwa nikipata...
  14. dubu

    IGP Sirro, angalia Polisi wako wa Arusha Wanavyo lazimisha Rushwa kwa Kushirikiana na Mgambo

    TUKIO LA WAANDISHI WA HABARI KUKAMATWA NA KUPEWA KESI YA MCHONGO ARUSHA. Waandishi wa Habari wawili wa vyombo vya Habari tofauti mmoja Korumba Victor Moshi na Wa Global Tv na Alphonce Kusaga Wa Tripal A Redio wote wa Mkaoni Arusha walikamatwa na jeshi la polisi mkoani Arusha wakiwa wanafatilia...
  15. Suley2019

    IGP Sirro afunguka sakata la Mtwara

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro amesema haikuwa kazi rahisi kuchunguza, kuwakamata na kufikishwa kortini maofisa saba wa jeshi hilo mkoani Mtwara kwa tuhuma za kumuua mfanyabiashara wa madini na kumpora mamilioni ya fedha. Alisema ugumu wa suala hilo ulitokana na kuwahusisha...
  16. John Haramba

    TANZIA Ex. SACP. Jacob Massawe Mwaruanda afariki Dunia

    IGP Simon Nyakoro Sirro ametangaza msiba wa Ex. SACP. Jacob Mwaruanda uliotokea jana Februari 15, 2022 katika Hositali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu. Sirro ameeleza taratibu za mazishi za marehemu ambaye aliwahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa zinaendelea kwa...
  17. OKW BOBAN SUNZU

    IGP Sirro: Ni aibu sana kuruhusu jambazi kutawala nchi yetu

    My Take 1 Sirro anapenda sana kuita-ita neno gaidi. Naona anarahisisha sana mziki wa magaidi. My Take 2 Sirro kama hawezi kuondoka mwenyewe aondolewe kwa nguvu. Kashfa ya askari wake kufanya ujambazi haisafishiki ====== Kamanda Sirro: Ni viongozi ambao tunawategemea kwenda kuwasaidia...
  18. JanguKamaJangu

    IGP Sirro, yanayoendelea kwa Jeshi la Polisi siyo dalili nzuri kwako na kwa taifa

    Matukio makubwa yanayoendelea hapa nchini Tanzania ni kuhusu mauaji, wapo wanaowaua wengine na wengine wanajiua, daa! Bongo hali mbaya. Lakini upande wa pili kuna kesi na taarifa kadhaa kuhusu askari polisi kuua raia na wengine kuuana wao kwa wao. Mtwara kule kuna kesi ya askari kuua...
  19. Mystery

    Hizi ni siku za mwisho mwisho za IGP Sirro kuendelea kushika wadhifa wake?

    Huna sababu ya kuwa mtabiri au kwa jina lingine anaitwa mnajimu, kujua hatma ya yatakayomkuta IGP Sirro Katika siku za karibuni. Hilo jambo ni dhahiri, aidha atajiuzulu kwa aibu au atafutwa Kazi na mteule wake! Hatua ya Mheshimiwa Rais kuunda Tume yake huru kwa ajili ya kuchunguza Mauaji ya...
Back
Top Bottom