Nomia Rosemary Ndlovu; Askari aliyeua Ndugu Pamoja na Mpenzi wake ili Kujipatia Fedha za Bima (Insurance)

Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
23,499
70,300
Nchini Afrika Kusini kumekuwa na kesi iliyoteka hisia za watu huku macho na masikio ya watu wengi wakiifuatilia kesi hiyo iliyoanza kusikilizwa katikati ya mwezi Septemba.

Kesi hiyo inamhusisha askari wa zamani ajulikanae kama Nomia Rosemary Ndlovu anaekabiliwa na mashitaka ya mauaji, kula njama na ulaghai.

images (18).jpeg

Kati ya mwaka 2012 mpaka 2017 inasemekana ndugu zake watano na mchumba wake walikutwa wakiwa wameuwawa aidha kwa kunyongwa, kupigwa na kitu kizoto au kupigwa risasi.

images (17).jpeg

Ndlovu ndie mshutumiwa namba moja katika mauaji ya watu hao huku akikabiliwa na mshtaka ya kuwakatia watu hao bima za maisha na za mazishi kisha kuwauwa (kula njama za kuwaua) na baadae kutaka kulipwa na makampuni ya bima baada ya vifo vya ndugu hao.

Inasemekana Ndlovu aliweza kujikusanyia kiasi cha rand millioni 1.4 sawa na zaidi ya shilingi million 216 za Kitanzania kutoka katika makampuni ya bima alizokuwa amewakatia ndugu hao pamoja ya mpenzi wake.

Pia Ndlovu anahusishwa kutaka pia kumuua mama yake na tayari alishaagiza utekelezaji wa mauaji hayo kabla ya kitiwa mbaroni mwaka 2018.

Nomia Rosemary Ndlovu was born in South Africa. By profession, she is a former police officer on trial for allegedly murdering and plotting to kill relatives to cash in life insurance policies. She appeared in court facing six counts of murder, four counts of fraud, obstruction of justice, and eights counts of conspiracy to commit murder.

Nomia Rosemary Ndlovu was arrested in 2019. Ndlovu was arrested by an undercover police officer in Bushbuckridge shortly after she pointed out her sister’s house to the men.
 

Attachments

  • VID-20210927-WA0014.mp4
    5.1 MB
Duuh nilikiona mahali fulani hiki kisa mkuu.
Watu wanaroho ngumu kwenye kutafuta pesa.
Imagine ndugu zako watano halafu ni mdada.
 
Duuh nilikiona mahali fulani hiki kisa mkuu.
Watu wanaroho ngumu kwenye kutafuta pesa.
Imagine ndugu zako watano halafu ni mdada.
Dah kweli pesa mwanaharamu asee. Huyo mpaka mama yake alitaka kumuondoa duh.
 
Ona anachosema mahakamani. Huyo anakula mvua kubwa sana.

“The court can say whatever it wants to say, but I know nothing,” said Ndlovu when state prosecutor Riana Williams told her she was behind the killing of her lover, Maurice Mabasa.

“The last time I saw Maurice was on the morning of October 13 2015, when he left for work. I then received a call from Constable Mugwari [a police officer] asking me where I was and I said, 'I am on my way to Olifantsfontein police station.' That’s when I found out that Maurice was dead.

“But if the court feels that I am the one that killed Maurice, then I don’t know. Where is the proof? It surprises me, but if they say so, then so be it,” she said, signalling the end of a trial which has shocked the nation.
 
Back
Top Bottom