Wakati mwingine huwa siwaelewi CCM wanaposema maandamano ni jambo baya. Au hawajui maandamano ni kitu gani!
Kuandamana ni mfuatano wa watu mmoja akimfuata mwingine. Sasa ubaya wa CHADEMA kuandamana unatokana na nini?
Kwa siku mbili mfululizo mashabiki wa Simba na Yanga wamekuwa wakifanya...
Klabu ya Yanga imepigwa faini ya Shilingi milioni 100 na Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Tanzania Football Federation kufuatia ukiukwaji wa kanuni za NBC Premier League katika mchezo namba 233 wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania FC uliomalizika kwa Yanga kushinda mabao 3-0.
Adhabu hiyo...
Aliyekuwa mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Prince Dube amejiunga na klabu ya Hardrock FC ya nchini kwao Zimbabwe.
Baada ya kuondoka kwa Dube sasa Yanga watalazimika Kuingia Sokoni kutafuta mbadala wake kuelekea msimu mpya 2026/27.
Yanga wamebeba tena ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa mara 5 mfululizo
Ambapo msimu huu wa 2025/ 2026 ilionekana kama kutobeba ubingwa huu lakini wameonyesha ubabe wao tena
#####
Vinara wa ligi kuu bara au mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu ya Tanzania bara Young African sport club Leo watakuwa...
Hii ni kauli ya kiongozi wa Simba baada ya mechi Yao
MENEJA PATRICK REYEMAMU 🚨
"Kuna namna sisi kama Simba matokeo yetu tunavyoyapata, sidhani kama kuna timu hapa nchini ingeweza kuyapata kwa magumu haya. Kuna timu kama zingekuwa zinafanyiwa hivi, sasa zingekuwa daraja la pili huko...
Yanga Bingwa. Tena na Tena. Leo tunawachapa hawa mashupaa... Maana si mashujaa...
Tunazidi kukaa kileleni. Tunaamua wenyewe tuwachape baos ngapi. Mbwa hawa.
Miaka minne iliyopita, Siku ya Jumatano, Juni 6, 2022 akiwa anahojiwa katika Kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM, Injinia Hersi Said baada ya kupitishwa kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Urais katika Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said alitoa ahadi ya kujenga uwanja wa klabu wenye siti 20,000...
Itakuwa aibu kubwa kwa Simba kuendelea kushuhudia Yanga wakibeba kombe mara ya tano mfululizo. Simba wanapaswa kufanya kila linalowezekana nje ya uwanja kulinda heshima yao.
Kama ni kuwavuruga Yanga kisaikolojia, kuongeza motisha kwa timu zinazocheza nao, kununua marefa, kuwashawishi baadhi ya...
Goal la Chama kwa kweli linatutesa sana. Kocha na viongozi wamekuwa wakitusisitizia kuwa lazima tulipe. Jambo ambalo katika matches 4 sasa tunajjtahidi sana.
Jana Max Zingel kidogo alipe. Shida ikawa goal keeper alijisahau akaharibu move. Kwa kweli Chama amekuwa akitunyima raha toka siku ile...
Bila ya kujali msimamo wa ligi ulivyo hivi sasa, mechi sita za mwisho za ligi kuu Tanganyika, ndizo zitakazoamua nani atakuwa bingwa Kwa msimu wa mwaka 2025/2026.
Wakati Simba itaanza na Dodoma Jiji (24/05/2026) Yanga wao siku inayofuata itakutana na Namungo. Mechi ngumu kwa Simba, Yanga mechi...
Nimeona video ya mwandishi Meena Ally akimtaka maoni Rio kuhusu goli la Chama
Nimeona Rio akikiri kwamba ni goli bora lenye hadhi ya kuwa goli bora la dunia
Nimeona malalamiko ya viongozi wa Yanga wakilalamikia hilo.
Ninakiri kwamba viongozi wa Yanga sio watu smart vichwani kuanzia uongozi wa...
Simba hii ya Baker inainyesha kutisha kweli kweli; Yanga tujiandae kisaikolojia, Yanga hii tumekuwa butu sana kwenye kushambulia goli la mpinzani na vile vile tumekuwa lege lege sana kwenye kilinda goli let. Simba inaonekana kuwa imara sana kulinda goli lao na vile vile wana makali ya...
1. Mimi ni shabiki wa Yanga.
2. Uwanja ni hatua kubwa kwa maendeleo ya club, na ikitokea Yanga ikakamilisha uwanje wake wakati Simba hajachukua bado NBC, basi inawezekana mikataba ya NBC ikaisha Simba hajachukua huu ubingwa. Uwanja ni tool muhimu kwenye ushindi.
3. Haya ni mawazo yangu, mawazo...
Klabu ya Yanga leo imesaini mkataba na Mfadhili na Mdhamini wao Ghalib Said Mohamed wa ujenzi wa uwanja wao wa mpira
Uwanja huo wa Yanga utamilikiwa kwa 50% na klabu ya Yanga na 50% na GSM Tanzania Limited
Ujenzi wa uwanja huo upo kwenye mfumo wa partnership ambapo Yanga wamechangia ardhi na...
Ni mara yatatu ama siyo ya nne namuona golikipa.wa yanga akisharuhusu TU goli bas kwake hapo mech imeisha kwa upande wake atajivunja na na golikipa mwingne kuingia
Nadhan huyu yupo kwa ajil ya kaz Moja TU yanga hasa kwa hz timu za madaraja ya Kati kwake kuruhusu gol kwake n kama n dhambi...
Kuna hujuma za chinichini Yanga anafanyiwa ili kusudi asibebe kombe msimu huu maana walishaona ligi imepoteza mvuto mapato yanayopatikana ni hafifu hivyo wanaihujumu Yanga kimakusudi angalau mashabiki wa Simba nao wapate nguvu ya kuingia uwanjani kuongeza mapato.
Soma Pia: Hatimaye Yanga yapata...
Young Africans Sports Club (Yanga) imetangaza rasmi kumfuta kazi kocha mkuu wa kikosi cha kwanza, Pedro Gonçalves.
Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Mei 6, 2026, uongozi wa klabu hiyo umeeleza umechukua uamuzi huo kama sehemu ya mabadiliko ndani ya timu, bila kueleza sababu za kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.