Wanachama na wapenzi wa Yanga hawatawaelewa kabisa.
Kwanza Simba, Tff na Bodi ya ligi watakuwa wanawacheka na kuwapiga vijembe kuwa ndio maana mlikuwa mnaogopa kucheza.
wakati huo wachambuzi wa mrengo wa Simba kina Jemedari Saidi, Ngereza na wengine watakuwa wanaichambua Yanga kwa...
Viongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby
Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max 😅😂 na beki wao ndo Che maloni na Chamou na Tshabalala.
Hapana kwakweli laZima tucheze ili tuwafunge Simba na TFF yake
TFF wametafuta njia...
Kwanza mpaka sasa Yanga ndo wanaongoza ligi. Wasiwasi wa nini?. Kwa timu ya Yanga ilivyo sasa hivi kamwe hawawezi kufungwa na Simba iwe jua au mvua. Ninajua Bodi ya Ligi mpaka sasa hawajatoa sababu ya kuhairishwa kwa Dabi ya tarehe 8.3.2025. Naomba tuwasamehe.
Yanga ni timu kubwa kamwe kwa...
Sasa sina lawama na Simba. Kwa hili jambo lazima tufikie hatua tutumie akili na ufahamu. Hii nafasi waliyoshika Simba si ya kawaida kwa budget yao. Hawapaswi kuwa hapo. Inashangaza wanawezaje kushika nafasi hiyo.
Sisi Yanga tunabaki na majungu, unafiq na wivu. Hapa Simba tuwasifu kwa kweli.
Hii ni hazina nyingine ya Dar Young Africans inayoenda kuushangaza ulimwengu.
Hajawahi kuisahau Yanga.
Kama alivyokuwa yule mwingine shabaan nonda Papii Yanga imempeleka Striker hatari ulimwenguni.
Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo.
Mchezo huo utachezwa Mjini Kigali, Rwanda.
Kukubali mwaliko huo kwa Yanga kunathibitisha dhamira yao ya kukataa...
Klabu ya Yanga SC ya Tanzania inatarajia kucheza mechi ya Kimataifa ya kirafiki dhidi ya Rayon Sports Juni 15, 2025 mchezo huo ukiwa unalenga kujenga uhusiano mzuri na klabu hiyo.
Mchezo huo utachezwa Mjini Kigali, Rwanda.
Kukubali mwaliko huo kwa Yanga kunathibitisha dhamira yao ya kukataa...
Naomba uongozi wa Yanga , wafanye juu chini mechi ya Derby tusicheze Kwa mkapa kwakuwa uwanja ule unamatatizo ya pitch lakini pia ,inasemekana Simba Kuna vidubwana wameweka chini Ya Ardhi.
Pia na sisi mechi hii kwakuwa sisi ni wenyeji ,lazima tufanye ubaya ubwela kweli kweli, kwanza Simba kama...
Napingana na baadhi ya mashabiki na wachambuzi wanaotafuta kichaka cha kujifichia kwamba Simba ratiba yao imekuwa ngumu ndio maana wachezaji wamechoka na wakafungwa hili jambo sio kweli ata kidogo!
Maana ya kikosi kipana sio kuwa na rundo la wachezaji tu ni kuwa na wachezaji wanaolingana ubora...
Nina taarifa za uhakika kabisa kuwa Yanga SC ATACHEZA hiyo Mechi ila wanatumia Mbinu Kuu mbili za SAIKOLOJIA na PROPAGANDA ili tu KUIDHOOFISHA Simba SC hivyo NAWAONYA kwa mara nyingine Simba SC kuwa kamwe TUSIBWETEKE na WASITUDANGANYE bali ukweli ni kwamba Mechi ipo na hiyo tarehe 15 mwezi Juni...
Huwa naona mashabiki na wasemaji wa pande zote wa hizi timu mbili za Simba na Yanga wakiwa wanalalamika kwa uchungu sana kuhusu upande mwingine kuwahujumu, wakati mwingine huwa naona kama ni utani tu ila wakati mwingi huwa naona wako serious sana hadi mishipa na jasho vinawatoka na wengine...
Ukweli ni kwamba Simba Sc wanatamani tusicheze ili wajichukulie kombe kwa ushindi wa mezani. Tukiendelea kukataa kwenda uwanjani hawa jamaa watapewa ushindi wa mezani. Hatutashushwa daraja wala kuporwa points (busara itatumika) lakini Simba atapewa point tatu na hivyo kuwafanya wawe mabingwa...
Kuelekea mechi ya watani yanga nikama wanataka kuanza kushinda nje ya uwanja , drama wanazofanya kwa vyovyote vile zinadhoofisha maandalizi ya Simba , wanataka kuwin kwa simba kuchukulia mchezo wa watani kama mechi ya kawaida. Simba tubatakiwa kujipanga sana ili kupata walau alama kwenye huo...
"Inawezekanaje mechi inachezwa kati ya Simba na Yanga alafu refa ni Haji Manara? Yaani mtu atachezewa faulo katikati yeye atapeleka kwenye penati wakati hata hakuchezewa kwenye box. Au mshika kibendera ni Ahmed Ally, offside zote atasema ni magoli. CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi...
Wachezaji wazawa wengi chipukizi wanawaza kujulikana kupitia simba na yanga.
Ndoto za vipaji vya watu vikikosa kucheza simba na yanga ndio basi.
Siasa nayo imekuwa kwenye simba na yanga mpaka bungeni na raisi.
Hakuna la maana kwa wachezaji simba na yanga ni bora wazeeke simba na yanga wala...
Naishauri timu yangu sio kwa ubaya, mabeki wetu wa kati Chamou Karabou, Che Malone Fondoh na Abdulrazack Hamza na yule Hussein Kaze ni mtihani na presha tupu, Che Malone amepungukiwa sana uwezo, Sasa hivi hana Tena maajabu, Chamou ni mzito na kama ningekuwa karibu naye ningemshauri ageukie...
Uongozi wa Klabu ya Young Africans umetoa taarifa ya kulaani vikali vitendo vya kupigwa, kuchaniwa jezi na kufukuzwa uwanjani kwa baadhi ya mashabiki wake katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika uliofanyika Mei 25, 2025 katika Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Kupitia taarifa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.