Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said amesema klabu hiyo imekuwa ikichukua hatua mbalimbali za kuimarisha uendeshaji wake, ikiwemo kutoa fursa kwa baadhi ya wachezaji kujiunga na klabu nyingine kupitia mfumo wa uhamisho wa wachezaji.
Hersi amesema miongoni mwa wachezaji hao ni Juma Abushiri ambaye...
Mchezo wa marudiano kati ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, na Nigeria umemalizika kwa sare ya bila kufungana katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Mchezo huo ulikuwa wa raundi ya pili, baada ya timu hizo kukutana katika mchezo wa kwanza nchini Nigeria, ambapo Taifa Stars...
Waziri wa habari utamaduni sanaa na michezo Paul Makonda, ameeleza kuangazia uwezekano wa kuzileta klabu kubwa za soka duniani Real Madrid na Barcelona nchini, katika mpango utakaowezesha timu hizo kucheza mechi za nyumbani na ugeni hapa nchini.
Katika mpango huo unaopendekezwa, Real Madrid...
Mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) umepitisha bajeti ya Sh32 bilioni kwa ajili ya kuendesha mashindano ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2026/2027.
Kwa mujibu wa Mtunza Hazina wa TPLB, Ibrahim Mwayela, kati ya fedha hizo, Sh29 bilioni zitatumika katika uendeshaji wa ligi, huku...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, ameahidi kupambana na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) ili kuongeza idadi ya mashabiki wanaoruhusiwa kuingia Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kutoka 6,000 hadi kufikia 10,015 kabla ya Novemba 27, 2026.
Akizungumza jijini Dar...
Kufuatia klabu ya Young Africans kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kumtangaza kocha wake, Fadlu Davids, kuzungumza na kueleza mambo mbalimbali majira ya saa moja , wadau na mashabiki wa soka wameanza kujiuliza nini hasa atakachokizungumzia.
Hii inakuja wakati kukiwa na mijadala kuhusu...
Uongozi wa klabu ya Singida Black Stars umetangaza kufikia makubaliano ya kuvunja mikataba na wachezaji wake wanne, ikiwa ni sehemu ya tathmini ya kikosi inayolenga kukiboresha na kukifanya kiendane na mahitaji ya kiufundi na mipango ya klabu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Idara ya...
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika.
Simba SC na...
Tangu Wallace Karia achaguliwe kuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), mashabiki na wadau wa soka wamekuwa na matarajio makubwa ya kuona mabadiliko ya kweli, hasa katika kuimarisha miundombinu ya soka nchini. Hata hivyo, kwa uhalisia wa mambo, bado kuna maswali mazito kuhusu msimamo na...
Hapo vip!!
Mpira ni mchezo wa wazi na uzuri watu wengi sasa hivi wanajua mpira hauwezi kuwadananya.
Jana kila mtu ameona yanga akipewa goli la offside tena bila aibu na Arajiga.
Nafikiri pia ilikuwa nimpango mkakati wa kusihukuru yanga kwa kuchangia chama na kwa upande mwingine ilikuwa ni...
TANGA; RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amemteua tena Athumani Nyamlani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa shirikisho hilo.
-
Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Rais anateua wajumbe wanne wa Kamati ya Utendaji ambao wanathibitishwa na Mkutano Mkuu wa TFF na miongoni mwa...
Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football
Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana
Leo tazama wachezaji maingizo mapya
1. Mohamed Doumbia
Huyu jamaa ni kama Pacome au zaidi ana akili ya mpira ameziba vyema pengo la Aziz ki
2. Andy Boyeli
Striker...
Serikali ikianza kukwepa majukumu yake na kukimbilia vitu vya kisiasa visivyo na maana mtu masikini hugeuka kuwa kama mpira wa kona.
Mwl Nyerere alishaonya kwenye moja ya hotuba zake za mwaka 1995 kuwa serikali ikiwa corrupt ( serikali ya wala rushwa) watu masikini hawanaa kitu kabisa kwenye...
Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini.
Karia ndiyo chanzo cha tatizo.
Karia ndiyo chanzo cha tatizo sababu amelewa sifa na kiburi.
Hataki kusikiliza au kukosolewa akikosea pale anapokosea...
Hiki mlichofanya Leo ni aibu. Mkisoma barua yenu mnapata chochote cha maana Kwa nini mmeahirisha Mechi?
Mnasema Simba hawajulisha Mamlaka yoyote kwamba wanakwenda uwanjani muda Fulani kufanya mazoezi.
Nyie hao hao kwenye barua hiyo hiyo mnasema Simba walizuiwa na mabaunsa wanajulikana ni wa...
Wakuu habari,
Ukitafakari kwa umakini kabisa utaona kati yabHersi au GSM kuna mmoja wapo atagombea ubunge mwaka 2025, Sifa ya kwanza ya kuwa mbunge hapa bongo ni kuwa karibubu na viongozi wa CCM, kuwa maarufu, kuwa na mtaji wa watu.
Hivi karibuni timu yetu imekuwa ikicheza na akili za...
Wakuu
Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa!
==
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.