Biashara ya Bar ina changamoto sio poa
Hii biashara unaweza kukufirisi unalia
Faida sio kivile ila changamoto ni nyingi mno
1. Unahitaji uwekezekajo sio kinyonge, mzigo, Mziki, viti, jiko n.k
2. Ushindani ni mkubwa, unaweza ukawa umewekeza ukadhani umemaliza, ***** akatokea mhuni akaweka bar...