Kama kuna tukio moja kubwa linalowakutanisha watanzania wengi kwa mara moja, basi tukio hilo ni Derby ya Kariakoo.
Hizi klabu mbili zinawaunganisha watanzania nje ya mipaka ya itikadi, dini, kabila, jinsia, rika n.k. My fair assessment is, hizi timu zinamchango mkubwa mno kujenga umoja wa...
Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao.
Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi .
Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
Haiwezekani timu ambayo imechukua ubingwa miaka 5 mfululizo inazidiwa promo na Simba ambayo haikua na kombe lolote,kitengo hicho kinapaswa kuongezewa pro active mmoja ambae pia ni muongeaji na mchambaji ili kusukuma agenda flani flani.
Kilele cha mwananchi kesho ipo kama haipo,jezi zinatoka...
Jeshi la Polisi Mkoani Geita limejipanga kikamilifu kuhakikisha amani na usalama vinatawala kuelekea msururu wa matukio makubwa ya kimichezo na kijamii yaliyopangwa kufanyika leo, Agosti 4, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe.
Akizungumza na waandishi wa habari, Msemaji wa Jeshi la Polisi...
Katika historia ya harakati za ukombozi wa Tanganyika, kabla ya TANU kupewa mamlaka ya kuongoza nchi na baadaye kubadilika kuwa CCM, chama hicho kilikuwa kinapigania ukombozi dhidi ya wakoloni weupe.
utawala wa kikoloni ulitafsiri harakati hizo kama tishio kwa utulivu wa kisiasa na hivyo kuweka...
Sasa ni muda Yanga atupishe kidogo, na wengine nao waonje utamu wa ubingwa. 😄
Mkakati ni rahisi tu. Kila Yanga akicheza na Simba, Azam, Coastal Union au timu nyingine, pawe na tetesi za "dawa" dressing room au kama vipi wawekewe kabisa hizo dawa. Lengo liwe ni kuwafanya wasiingie vyumbani
Si...
Prisca Kishamba ni mwanamke pekee anaegombea ujumbe wa kamati ya utendaji wa timu ya Yanga. Kwa heshima ya Rais Samia, wanawake na timu ya wanawake ya Yanga tumchague huyu binti kuwa kwenye uongozi wa Yanga.
Wagombea wote ni wazuri sana lakini Kishamba anaweza kuongeza idadi ya wanawe kuwa...
ASANTE GSM, ASANTE BILIONEA! 💚💛
Straika bora Afrika, Peter Shalulile, sasa ni mali ya Wananchi.
Nguvu mpya safu ya ushambuliaji. Karibu nyumbani, Shalulile! 🔥⚽
============
Yanga SC imemtambulisha rasmi straika wa kimataifa wa Namibia, Peter Shalulile, kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo kuelekea...
LEO saa 5:00 usiku, Raisi wa Yanga SC, Hersi Said atazungumza na Wanachama na Mashabiki wa Yanga.
Shughuli hii itakuwa mubashara kupitia AzamSports1HD kuanzia saa 5:00 usiku.
Rais wa TFF, Wallace Karia amesema haogopi Simba wala Yanga, bali anaziheshimu kutokana na mchango na hadhi yake katika soka la Tanzania.
Mimi siogopi Simba wala Yanga. Nawaheshimu... Nje huko wananipa heshima hizi timu... kwa sababu gani? Mimi nikifika huko rais wa Tanzania ndio iko Simba na...
Wataitisha press ya pamoja, baada ya hapo Azam Media limited italalamika na kusitisha matangazo ya ligi kuu Tanzania bara kwa kigezo cha kuhofia hasara baada ya baadhi ya timukujitoa.
Samia anaharibu nchi, kaharibu na mpira.
Ni demokrasia kweli kwenye michezo, lakini timu inayoshinda kocha haipangui bila sababu za msingi.
Naogopa kuibadilisha safu ya uongozi wa Yanga uliotutelea makombe kwa miaka 5 mfululizo, maana present is known and secure.
Tusije tungaingiza migogoro ndani kwa mikono yetu wenyewe.
I salute you kinsmen
Nilikuwa kimya kwa muda mrefu maana niliona wazi dalili kwetu si nzuri sana
Kimsingi msimu huu ilitakiwa tubebe yote tena lakini kwa kuwa kuna sehemu tangu mwanzo tulishabugi basi ikawa kusubiri kudra tu.
Tulikosea kwenye usajili huo ndio ukweli kabisa.
Walioingia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam.
Akiwa hospitalini hapo Rais Dkt...
Wakuu, inakuwaje?
Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
Wakati mwingine huwa siwaelewi CCM wanaposema maandamano ni jambo baya. Au hawajui maandamano ni kitu gani!
Kuandamana ni mfuatano wa watu mmoja akimfuata mwingine. Sasa ubaya wa CHADEMA kuandamana unatokana na nini?
Kwa siku mbili mfululizo mashabiki wa Simba na Yanga wamekuwa wakifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.