ufugaji

 1. Kitabu

  Kunguru na Mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu

  Wakuu kunguru na mwewe wanashambulia sana vifaranga wangu wa kienyeji. Je kuna mbinu yeyote ya kudhibiti? Msaada tafadhali.
 2. X

  Maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada

  Salaam, Ningependa kuwahabarisha wafugaji ,wauzaji na wasambazaji wa bidhaa za nyama (red meat & white meat) kutakua na maonyesho ya nyama na ufugaji Toronto Canada tareh 4 mpk 6 February 2021 ambapo wafanya biashara na wawekezaji wakubwa kwa wadogo wa nyama na ufugaji watakutana kuonyesha...
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Ufuaji wa mseto wa samaki, wanyama na kilimo cha mazao ili kuongeza tija

  Source: TAFIRI - Makala UTANGULIZI Ufugaji mseto wa samaki ni ufugaji ambao bwawa la samaki linakuwa ndani ya shamba pamoja na shughuli nyingine za shamba aidha hapo hapo shambani au katika eneo lililo mbali kidogo na shamba. Shughuli za shamba zinazoenda sambamba na ufugaji wa samaki ni pamoja...
 4. M

  Ufugaji wa Samaki

  Nataka kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki hasa mkoa wa Dodoma. Najua kuna changamoto ya maji lakini naomba ushauri, maji yenye chumvi kidogo yanafaa kufuga samaki. Nataka kuchimbwa bwana pia, naomba minimum estimates za kutengeneza just a local pond kwa ajili ya samaki (Sato) 1,000 au kambale 500
 5. M

  Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

  Wadau, Poleni kwa kazi. Nina maswali mawili ambayo ninaomba mnisaidie 1. Nimekuwa nikijaribu kufuatilia kanuni za ufugaji bora wa Sungura katika maeneo ya joto kama DSM. Nimevutiwa sana na ufugaji huu, ila kuna jambo moja ambalo bado sijalipatia ufumbuzi. Hivi kwa hapa Tanzania soko la Sungura...
 6. T

  Teknolojia ya Vijidudu Vidogo Vidogo (Effective Microorganisms) Kwenye Kilimo, Ufugaji na Samaki

  Utangulizi EM.1®️ ni teknolojia iliyogunduliwa nchini Japan miaka ya 80. Imesajiliwa Tanzania na Kampuni ya Feedpro EMAx Limited mwaka 2018. EM ni kifupisho cha Effective microorganisms ambao ni mfumo wa vijidudu hai, salama kwa binadamu. Hii teknolojia inatumika kwenye nchi zaidi ya 110...
 7. Ronee

  Nahitaji piglets (watoto wa Nguruwe) kwa ajili ya ufugaji

  Wakuu mada tajwa hapo yahusika, Nahitaji kupata mbegu bora kwa ajili ya ufugaji, nikisema mbegu bora kwa mfugaji anaelewa. ingependeza hasa kwa alienao maeneo ya kanda ya Kati. Nipigie kwa 0689464641tufanye biashara.
 8. Steven Nguma

  Ufugaji wa Mbuzi

  Nawasalimuni kwa jina la Mungu. Naomba kuwashirikisha juu ya huu ufugaji wa Mbuzi naomba kuuliza maswali machache kwa amabae ameshawahi kufuga Mbuzi chanagamoto zake kubwa ni zipi? Na masoko yauuzaji wa Mbuzi yakoje? Mimi nipo kibamba kwa Mangi Dar.
 9. dump

  Ufugaji wa samaki

  Natanguliza shukurani,naomba hatua za kupitia kuhusu ufugaji wa samaki,naomba ushirikiano wenu ndugu zangu
 10. sabuwanka

  Mrejesho: Ufugaji wa nguruwe, kilimo cha matikiti maji na ufugaji ng'ombe wa maziwa

  Mwaka 2016 mfumo wa maisha ulibadilika baada ya Serikali mpya kuingia madarakani! Vijana wengi tulijikita katika kilimo na ufugaji baada ya motivational speaker kutuhakikishia tutapata utajiri bila kutoa jasho Nami nikaanza na nguruwe wenye mimba 3. Mwanzoni hakukuwa na changamoto sana ila...
 11. M

  Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

  Wana JF Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k. Samaki ni chanzo cha lishe, kipato na ajira...
 12. D

  Ufugaji samaki kibiashara

  Karibu tukuhudumie masuala yote yahusuyo ufugaji samaki ,kuanzia Elimu ya ufugaji samaki, mbegu Bora ya vifaranga wa samaki na chakula Bora cha samaki.karibu shambani kwetu kongowe-kibaha . Pia waweza tufollow kwenye page yetu ya Instagram @ufugaji_samaki_kibiashara.
 13. Tutor B

  Nimeanza ufugaji wa bata maji

  Safari yangu ya ufugaji wa bata imeanza kama ifuatavyo. Kwa kuwa nilishaambiwa kwamba chakula ndio changamoto, nimeandaa chakula cha miezi sita.
 14. alphonce.NET

  Vifaranga wa kuku chotara wa kuloiler

  Tunazalisha na kuuza vifaranga wa kuku chotara aina ya kuloiler Vifaranga wanapatikana mara mbili kila mwezi na wanakua wameshapatiwa chanjo ya Mareks Tupo Busweru, Mwanza tunasafirisha kwenda maeneo jirani kama Shinyanga, Nzega, Musoma, Geita, Sengerema, Magu nk Bei za vifaranga: Umri wa...
 15. Mlachake

  Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

  Hey JF Members. Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda vya chipss. Yeyote mwenye idea naomba msaada please! BAADHI YA MASWALI NA MAHITAJI YA WADAU ======...
 16. newmzalendo

  Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

  Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje. Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc. By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila natarajia kuongeza kuku within a week, projections ni kuwa na kuku 1,000, hapo ndio nianze kuuza...
Top Bottom