kilosa

Kilosa (Kilossa) is a city in the Morogoro Region of Tanzania, East Africa. It is the administrative seat for Kilosa District. As of 2002, the population of the town was 26,060.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Dc Shaka: Msitumie majeraha yenu kama biashara, pelekeni wahalifu mahakamani

    DC SHAKA: MSITUMIE MAJERAHA YENU KAMA BIASHARA, PELEKENI WAHALIFU MAHAKAMANI Na Mwandishi Wetu, Kilosa - Morogoro Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mheshimiwa Shaka Hamdu Shaka, amewataka wakulima wa Kata ya Magole na maeneo jirani kuacha tabia ya kugeuza majeraha na ukatili wanaofanyiwa na wafugaji...
  2. M

    JamiiForums Tanzania DC Shaka awataka Wanakilosa usafi uwe utamaduni wao kuanzia majumbani, maeneo ya kazi, biashara mpaka maeneo ya Umma

    DC SHAKA AONGOZA ZOEZI LA USAFI STENDI KUU YA MABASI KILOSA ~ Wananchi Wajitokeza kwa Wingi, Wampongeza kwa Uongozi wa Vitendo Macho ya abiria na wafanyabiashara katika Stendi Kuu ya Mabasi Kilosa leo asubuhi yaligeuka ghafla kuona jambo ambalo hawakulitarajia. Sio basi jipya lililowasili...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali imetenga Sh. Bilioni 1.2 kujenga daraja la kisasa la chuma (Mita 30) katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya - Kilosa

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa daraja la kisasa la chuma lenye urefu wa Mita 30 katika Mto Nyameni, Kata ya Ulaya, mradi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Viongozi wa TANESCO, TAKUKURU, Osha, MCA wachunguze mradi wa umeme Dodoma – Kilosa, Wafanyakazi wanaonewa

    Mimi ni mfanyakazi wa mradi wa umeme (neg 2 lot 1b Dodoma to Kilosa ) mradi huu amepewa mkandarasi mkuu Tibea ltd (mchina) ambaye naye ameajiri Taasisi ya Tabono ltd ambayo ndio inahusika na mikataba ya wafanyakazi. Kero kubwa ni kwamba gharama za maisha zinazidi kupanda kila siku lakini cha...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakulima wa Mpunga Kilosa tunateseka na Mashamba, wakati wa mavuno Halmashauri wanakuja na ushuru unaotuumiza

    Halmashauri ya Kilosa kuchukua Sh 2,000 kwa kila gunia la mpunga kwa Wakulima wa mpunga katika Kata ya KIMAMBA A na KIMAMBA B Wilayani KILOSA mkoani MOROGORO, ni maumivu makali kwetu kwa kuwa ni kama hawatusaidii chochote kisha Wakulima wanaolima Bonde la Kimamba kwa sasa wanahangaika na...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wananchi wadai DC wa Kilosa anasababisha maafa na hafuati Sheria, mwenyewe asema si kweli

    Wakazi wa Kata ya Chanzulu, Wilaya ya Kilosa, wamekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kuingilia kati migogoro ya ardhi inayoendelea katika eneo hilo ili kupatikana suluhisho la kudumu. Ombi hilo limetolewa katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi, ulioandaliwa na...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania DC Kilosa: Kuna Diwani ameingia madarakani ataka kutapeli ardhi akiomba ushirikiano kwa DC

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amesema wapo baadhi ya Viongozi katika Wilaya hiyo wanatumia vibaya madaraka yao na kujimilikisha ardhi kinyume na utaratibu. DC Shaka amesema hayo katika muendelezo wa ziara yake kuzungumza na Wananchi na Viongozi ambapo amesema yupo Diwani baada ya...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Wilaya kwa Wilaya Sasa ilikuwa zamu ya Kilosa

  9. N

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kulima Wilaya ya Kilosa, Naombeni Ushauri Wa maeneo yasiyo na mafuriko

    Ushauri wadau... Nahitaji Kulima Wilaya ya Kilosa, Naombeni Ushauri Wa maeneo yasiyo na mafuriko Uzi tayari..
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Kilosa yawaonya wagombea kutojihusisha na vitendo vua rushwa

    Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kilosa kimetoa onyo kwa wagombea wa nafasi ya Udiwani na Ubunge ndani ya Chama hicho kutojihusisha na Vitendo vya rushwa kwani ni kosa kufanya hivyo. Wito huo umetolewa na Katibu wa CCM Wilaya hiyo Jonus Mfaume wakati akizungumza na wanahabari ofisini kwake.
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Kilosa Shaka afturisha nyumbani kwake

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka jana aliandaa Iftari maalum Nyumbani kwake ambayo Viongozi mbalimbali walialikwa katika hafla hiyo. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
  12. Inside10

    JamiiForums Tanzania Video: Kijana afunguka alivyofanyiwa ukatili wa kutisha na mwenyekiti wa kijiji Uleling'ombe, kilosa

    Tazama video inasikitisha sana... Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni! Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha kuhusu vijana wawili wanaodaiwa kufanyiwa ukatili wa kutisha na Mwenyekiti wa Kijiji cha Uleling'ombe...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wilaya ya Kilosa yaanzisha jitihada kufufua uwanja wa Ndege wa Tende

    Wilaya ya Kilosa imeanzisha jitihada za kufufua uwanja wa ndege wa Tende uliopo katika wilaya hiyo mkoani Morogoro, ambao ulipoteza umaarufu wake kwa kipindi cha miaka 30 kutokana na miundombinu isiyofaa. Mkuu wa Wilaya, Shaka Hamdu Shaka, amesema kwamba Serikali imetayarisha mradi huu ili...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kada ya Afya - Halmashauri ya Kilosa hatujalipwa fedha za kujikimu, tumeambiwa hadi hali ya fedha itakapotengemaa

    Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu tunayopewa yanatukatisha tamaa. Huu ni mwezi wa tatu sasa tunafuatulia malipo hayo, awali tuliambiwa...
  15. hmaloh

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la umeme wilaya ya Kilosa

    Hii sasa imekuwa too much wananzengo Yani katika wiki Moja kupata umeme wa uhakika labda ni siku tatu! "what a shame to authority" Jamani mnaohusika oneni aibu hii sio sawa kabisa mnazingua sana
  16. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Treni ya SGR kutoka Dar kwenda Dodoma yadaiwa kukwama tena baada ya Umeme kukatika Stesheni ya Kilosa

    Treni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imekwama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya Umeme kukatika, tuko hapa tunasubiri umeme urudi ndio safari iendelee, tumeambiwa Grid ya Taifa imezima.." Kabla hayajafika tulishauri haya Madude yaje na "Power bank" lakini Mfumgwa wetu...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 DED Kilosa: CHADEMA walikwamisha Uchaguzi Ruaha jana

    Wakuu, Imeelezwa kuwa sababu zilizopelekea kata ya Ruaha, jimbo la Mikumi, mkoani Morogoro yenye vijiji vinne (4) na vitongoji 21 kushindwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa hapo jana, Novemba 27.2024 badala yake kufanyika leo, Alhamisi Novemba 28.2024 ni kutokana na vurugu zilizoanzishwa...
  18. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 CHADEMA: Wagombea wa Vijiji 24, Vitongoji 118 na Wajumbe wa Halmashauri za vijiji 242 wameenguliwa Kilosa

    Waswahili wanasema ukiwa Muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu, Jana mkurugenzi wa halmashaurimya wilaya ya KILOSA Ndugu MICHAEL GWIMILE alisema hawajawaengua kabisa wagombea wa CHADEMA na kwamba kila kitu kinakwenda sawa na kufuata kanuni, sheria na taratibu za kiuchaguzi, sasa hizi ni namba za...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Morogoro: Msimamizi wa Uchaguzi Kilosa amjibu Joseph Haule (Prof. Jay) kuhusu Wagombea wa CHADEMA kuenguliwa

    Michael John Gwimile, Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Kilosa. Soma Pia: Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
  20. Gabeji

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka. Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika" Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo...
Back
Top Bottom