Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,900
- 944
Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini.
Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Dkt Samia Suluhu Hassan kutumia zaidi ya shilingi bilioni 900 kwa ajili ya ujenzi, uboreshaji na ukarabati wa miundombinu mbalimbali ya usafiri na usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Mwakiposa Kihenzile wakati alipotembelea miradi ya maendeleo inayosimamiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na miradi inayotekelezwa na Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma.
Attachments
-
406311590_18397463797030793_6555555300857619989_n.jpg50.1 KB · Views: 5
-
406275430_18397463851030793_3958921238898809998_n.jpg84.9 KB · Views: 4
-
405958358_18397463788030793_748524694220553000_n.jpg26.7 KB · Views: 5
-
406281640_18397463836030793_6206737328447175808_n.jpg42.6 KB · Views: 4
-
406313667_18397463806030793_2483918346751813951_n.jpg34.9 KB · Views: 2