Changamoto ya salary scale kwenye mashirika yanayofanya kazi sekta binafsi baadhi Yao wanalipa mshahara mdogo ambao hauendani na salary scale iliyowekwa na Serikali na ni ajira za mkataba.
Hata pale wanapohuisha mkataba mpya badala ya mshahara kuongezeka, unaweza ukabaki pale pale angali...
Anonymous
Thread
binafsi
changamoto
mshahara
sekta
sekta binafsi
serikali
viwangoviwango vya mshahara
Viwango vipya vya ubora wa klabu za Afrika (CAF Clubs' Ranking) msimu wa 2026/27 vinaonyesha Simba SC ikiwa nafasi ya 11 kwa alama 38, huku Yanga SC ikishika nafasi ya 12 kwa alama 35.
Azam FC ipo nafasi ya 39 ikiwa na alama 5, wakati Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini inaongoza orodha kwa...
Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA".
This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen.
Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akizungumza Aprili 23, 2026 baada ya tukio ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025 kuwasilisha na kukabidhi Ripoti yake kwa Rais Samia
Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?
Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa.
Simu: 0753786858
Email...
Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?
Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Karibu ujipatie huduma bora na zinazotegemewa.
Simu: 0753786858
Email...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa kiwango cha udumavu miongoni mwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano nchini kimeshuka kutoka asilimia 48 mwaka 1992 hadi asilimia 30 mwaka 2022.
Ameongeza kuwa, kiwango cha ukondefu miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano kimepungua...
Nimekaa hapa nafuatilia habari za siku katika channelinpendwa ya ITV.
Wenywe wanajiiter SUPER BRAND : EAST AFRICA.
ITV hawana usuper brand wowote, na sasa wana waandishi wa habari wameanza kuwa makanjanja.
Dunia ya leo waandishi wa ITV hawajui tofauti kati ya Engineer( mhandisi) na...
Daraja la Ngara.
Hili daraja limejengwa na wakala wa barabara za mijini na vijijini TARURA na limegharimu kiasi cha shilingi milioni 763 kupitia mpango wa serikali wa kupunguza vikwazo unofadhiliwa na Benki ya Dunia.
Nimejaribu kuangalia kasoro kadhaa ambazo zajionyesha wazi katika daraja hilo...
Cha kwanza wanafuta utashi asilia kichwani mwako alafu wanakubandikia ustadi mpya katika fikra yako, kinachofata unadhani unasimama katika uelevu na utimamu ila kuhakika ni utumwa wa kifikra.
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2024 imeonyesha kuwa kiwango cha njaa duniani kimepungua kwa mwaka wa tatu mfululizo, hasa kutokana na upatikanaji bora wa chakula nchini India na katika baadhi ya maeneo ya Amerika Kusini. Kwa mujibu wa ripoti hiyo iitwayo State of Food Security and...
Mwenye ulewa na hii taasisi ya TAWA(Tanzania Wildlife Management Authority))wanavyolipa, na posho zake zilivyo katika ngazi tofauti tofauti naomba atujuze.
Natanguliza shukran.
Mrisho Gambo anaamini katika zama hizi watu wa Arusha(mji mkubwa zaidi wa utalii nchini na Africa Mashariki) kufungiwa umeme ambao wanaolipia wenyewe kila kitu ni uongozi unaocha alama!
Hivi wastani wa IQ za mwafrika mweusi ni ngapi?
Wakati nipo zanzibar nilipoteza simu mara tatu ila nikaipata , jamii ya wazanzibar ipo Civilized kwa viwango fulani .
Mwaka 2018 , nilikuwa Zanzibar , nilipoteza simu zaidi ya Mara tatu katika maeneo tofauti Ila niliipata .
Hii issue ilinifanya kuwakubali hawa jamaa. Maana wizi unaboa Sana...
Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe
1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20)
2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10)
3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10)
4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10)
5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka...
Tanzania imeendelea kufanya vibaya kwenye masuala ya haki na uhuru wa kujieleza ikirudi nyuma kuoka point 35 mwaka 2014 hadi point-38 mwaka 2024.
Katika muongo uliopita, uhuru umepungua kwa kasi katika nchi nyingi duniani.
Viongozi wa kiimla wamepanua mamlaka yao kwa kubadili katiba...
TUNAMALIZIA KAZI YA UJENZI WA MSINGI KATIKA MOJA YA SITE YETU
KARIBU TUKUHUDUMIE OFISI ZETU ZINAPATIKANA SINZA DAR ES SALAM
CALL/WHATSAP +255624004650
INSTAGRAM mkuzibuilders
Kwenu BRT, sababu ya kampuni yenu kushuka viwango ni tabia ya kupakia idadi kubwa ya abiria inayozidi nafasi za viti vya kukalia (seats)
Tafadhali BRT rejeleeni muongozo wa waundaji wa basi zenu. Muongozo unasema abiria waketi katika seats na sio kusimama, vile vile eneo la milango na korido...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.