deogratius ndejembi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Makamu wa Rais mpya, Mhe. Deogratius Ndejembi - safari yako inaanza, haya ni maoni yangu

    Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais. Ndejembi...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Miongo ya uongozi, hatua mpya ya taifa ya Deogratius Ndejembi

    Kila safari ya uongozi huanza na hatua moja na kwa Deogratius John Ndejembi, hatua hiyo imejengwa kwa miaka ya uzoefu, utumishi na majukumu mbalimbali katika uongozi wa umma. Kutoka katika ngazi za Serikali za Mitaa, hadi uongozi wa Wilaya, Bunge na Serikali Kuu Ndejembi amepitia katika nafasi...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hamza Johari: Kikatiba, nafasi ya Nchimbi ilikoma baada ya kuvuliwa uanachama CCM

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali atoa ufafanuzi kuhusu nafasi ya Makamu wa Rais Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, ametoa ufafanuzi wa kisheria kuhusu lini nafasi ya Makamu wa Rais inakuwa wazi, akisema tarehe rasmi ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Makamu wa Rais ni Septemba 4, 2026, kwa mujibu...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shabiby: Ndejembi ni Mgogo, wanaoandika kwamba Deo katokea upande fulani, hawaelewi ni Kabila gani. Namfahamu kuanzia kwa babu yake

    Mbunge wa Jimbo la Gairo, Ahmed Shabiby, amesema taarifa zinazodai kuwa Deo Ndejembi anatoka upande fulani hazina msingi, akieleza kuwa Ndejembi ni Mgogo, huku mama yake akiwa anatoka Kilimanjaro. Amesema anamfahamu Ndejembi pamoja na familia yake kwa muda mrefu. Shabiby amesema anamfahamu...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bunge kumthibitisha Ndejembi leo Agosti 28, 2026 kuwa Makamu wa Rais

    Bunge la Tanzania leo Ijumaa, Agosti 28, 2026 litapokea na kumthibitisha uteuzi wa Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais. Kwa mujibu wa orodha za shughuli za Bunge leo, pamoja na mambo mengine, wabunge watapata fursa hiyo kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania. Jumatano ya Agosti 27, 2026...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Pongezi za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Pongezi za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Soma Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais 📍Bungeni-Dodoma 🗓️Agosti 27, 2026
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Rais Samia amekuwa na jicho la mwewe kumwona Ndejembi

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amempongeza Deogratius Ndejembi kwa kuonekana na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa msaidizi wake. Jana, Jumatano, Agosti 26, 2026, Ndejembi alipendekezwa na vikao vya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa Makamu wa Rais, kuchukua nafasi ya Dkt. Emmanuel Nchimbi...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Hongera kwa Deo. Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imependekeza na kupitisha jina la Waziri wa Nishati, Deogratius John Ndejembi, kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndejembi anapendekezwa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Dkt...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi: Mkandarasi wa Songea - Masasi amelipwa Bilioni 33 lakini kilichopo site hakiendani na fedha

    Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, ametoa onyo kwa Mkandarasi anayetekeleza Mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Songea hadi Masasi kupitia Tunduru kilovoti 220 na kumtaka Mkandarasi huyo kuongeza kasi ya utekelezaji wa Mradi ili kuhakikisha mradi huo unakamilika kwa wakati uliopangwa...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Si ungechangia, acha kunipotezea muda. Zungu ambana kwa Kanuni za Bunge

    Halima Mdee akichangia kwenye Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa malalamiko yake kwa Waziri Deogratius Ndejembi akisemea migogoro ya ardhi kwenye jimbo la Kawe.
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Serikali kuanzisha chombo cha kuwasimamia madalali

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amesema ukosefu wa chombo cha kuwasimamia Madalali katika sekta ya ardhi umekuwa ukisababisha ongezeko la migogoro mingi katika sekta hiyo. Ndejembi ameeleza hayo Ijumaa Mei 23, 2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza na...
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ndejembi aagiza kuundwa timu kushughulikia mgogoro wa ardhi kati ya wananchi na halmashauri

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga kupitia ofisi ya Kamishna wa ardhi nchini kuunda timu kushughulikia mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Kitongoji cha Luhafwe na...
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutekeleza programu ya kuendeleza maeneo yaliyochakaa katika majiji

    Serikali itaanza kutekekeza Programu ya kuendeleza miji iliyochakaa katika majiji sita ya Arusha, Dar es salaam, Dodoma, Mwanza Mbeya na Tanga. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi Aprili 04, 2025 katika mkutano wa hadhara na wananchi wa mtaa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi atatua Mgogoro wa Ardhi Njombe, Wananchi na KKKT

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi leo Aprili 3, 2025, amefanya ziara ya siku moja mkoani Njombe kwa lengo la kusikiliza na kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya wananchi wa eneo la Lunyanywi na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Waziri Deogratius Ndejembi: Bilioni 163 zimetengwa ili kutengeneza ramani mpya ya Tanzania, magari 70 kununuliwa

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi, amesema wakati wa uzinduzi wa Sera ya Ardhi ya mwaka 1995, toleo la 2023, jijini Dodoma katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, kuwa maelekezo ya Rais Samia kuhusu upangaji na upimaji wa ardhi yamefanikiwa kwa kiwango cha...
  16. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza kuundwa kamati kumaliza mgogoro wa ardhi Mwanza

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Mandeleo ya Makazi, Mhanidis Anthony Sanga kuunda kamati mara moja kwa ajili ya kushughulikia mgogoro wa ardhi wa kiwanja namba 01, Kitalu R kilichopo barabara ya Nyerere...
  17. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ndejembi akutana na viongozi wa jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania yenye lengo la kutafuta ufumbuzi wa changamoto mbalimbali zinazoikabili sekta ya ardhi nchini. Kikao hicho kimefanyika Januari 08...
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dodoma: Waziri Ndejembi ajitokeza kupiga kura, ahimiza Wananchi kujitokeza

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amewataka wananchi wa Chamwino kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi wao ambao watawasaidia katika kuwaletea maendeleo. Waziri Ndejembi ameyaeleza hayo leo Jumatano Novemba 27, 204 mara baada ya kushiriki zoezi la...
  19. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ndejembi aagiza kuwekwa wazi taratibu za kupata hati milki ofisi zote za ardhi

    Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ameagiza kuwekwa utaratibu ulio wazi wa kupatiwa Hati Milki za Ardhi katika ofisi zote za ardhi ili wananchi wazifahamu na kuepukana na usumbufu wa upatikanaji hati hizo kwa visingizio mbalimbali. Mhe. Ndejembi...
  20. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Hati mikili za Ardhi 310 zatolewa Jijini Mwanza, Waziri Ndejembi awafikia na kusikiliza wananchi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewahisi wananchi waliopokea hati miliki za maeneo yao kuzitunza kwa kuwa ardhi ni mtaji waitunzi ili iwatunze. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe...
Back
Top Bottom