TAZARA yapigiwa chapuo ifanyiwe ukarabati mkubwa na uendeshaji mpya

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,305
24,200
Beijing, China

RAIS HICHILEMA AIPIGIA CHAPUO TAZARA IKARABATIWE HARAKA

Shirika la Reli la Tanzania na Zambia TAZARA lawa agenda kubwa mezani wakati wa ziara ya rais wa Zambia.

Ambapo mbali ya kusaini mikataba kadhaa ya makubaliano ya MoU, suala la reli hii muhimu kwa bandari ya Dar es Salaam na usafirishaji mizigo toka bandarini Dar es Salaan kwenda Zambia na kutoka ukanda wa copper belt na dunia kupitia bandari ya Tanzania lilizungumzwa kwa uzito mkubwa kuwa mataifa ya Tanzania, Zambia na China yanakuja na mkakati thabiti mradi wa ukarabati na uendeshaji wa kisasa unaafikiwa na kuanza mara moja.
Source : ZNBC News

14 September 2023
Beijing, China

President HICHILEMA calls for TAZARA rehab.

President HAKAINDE HICHILEMA has called for the full rehabilitation and revival of Tanzania-Zambia Railway line -TAZARA-.President HICHILEMA says there is need to work on the integrity of the railway line to enhance speed and movement of people and goods.He says the revival of the TAZARA Railway will ensure Zambia is linked to markets, which is important for economic growth.

He says the revival of the TAZARA Railway will ensure Zambia is linked to markets, which is important for economic growth.President HICHILEMA was speaking when he held a meeting with the Group Chairman WANG JIANPING of China Railway Construction Company in Beijing China.

Source: ZNBC Today
 
watanzania ndio tulitakiwa kuwa wa kwanza kuliongea hili, wala sio wazambia. reli ya Tazara inatakiwa iwe ya umeme, itoke dsm hadi kaprimposhi, hapo tutakuwa tumeua kabisa bandari za south africa na beira kwasababu kama itakuwa ya umeme tutasafirisha mizigo kwa siku moja tu toka dsm hadi kaprimposhi zambia. kama barabara ya reli ipo, mahandaki yapo, ni kurekebisha tu reli iwe sgr na kusindika nguzo za umeme basi.
 
Umesoma nini hapo?:
Chagua Rais kufuatana na uwezo, merit. Siyo kwa kuiba kura au “politically correct” approach. Umeona presidential material, bombastic
 
Hii nchi ni kama imepata uhuru last week!
Mimi naendelea kumshangilia tu HICHILEMA.
Huenda huyu jamaa akawa ni kati ya viongozi wachache sana wa kiafrika waliopo madarakani sasa hivi mwenye kujua anachokifanya ni nini.
 
September 2023

Railways Reimagined: TAZARA's Commitment to Modernisation at the SARA Conference

View: https://m.youtube.com/watch?v=gksiyPnK2yY
TAZARA's Managing Director, Eng. Bruno Tandeo Ching’andu, shares insightful details about their ambitious plans and how they aim to improve rail freight and passenger services. Join us in exploring the future of rail transportation.

the Tanzania Zambia Railway Authority (TAZARA), a key player in regional freight services, gears up for the Southern African Railway Conference. TAZARA's railway line forms an integral link for cargo transportation from Dar es Salaam in Tanzania to New Kapiri Mposhi in Zambia, creating a vast network that connects Southern, Eastern, and Central African regions. This video delves into TAZARA's commitment to modernisation, the upcoming $558 million recapitalisation project, and how its participation in the SARA conference signals a move towards stronger partnerships, newer technologies, and enhanced operational capacities
 
27 September 2023​

NAIBU WAZIRI KIHENZILE - FURSA KIBAO BANDARI NA RELI

View: https://m.youtube.com/watch?v=AM6zDjBPKhA
Naibu waziri wa uchukuzi Mh. David Mwakiposa Kihenzile baada ya kutembelea bandari za Tanzania aelezea mzigo mkubwa wa kutoka DR Congo na Zambia unaoingia na kutoka bandarini Dar es Salaam lazima uongezeke zaidi ya bandari ya Durban ya South Africa na za Beira, Mombasa n.k
 
Nafikiri upigaji umeshusha ufanisi wa hii reli Kama wakati wa Trc na wahindi
 
29 September 2023
Dar es Salaam

SERIKALI YA TANZANIA KUIFANYIA MAGEUZI YA KIBABE TAZARA

View: https://m.youtube.com/watch?v=X3He41J2-ow

Azma hiyo imetolewa leo na naibu waziri wa uchukuzi wa Tanzania Mh. David Mwakiposa Kihenzile kuwa serikali ya Tanzania imejipanga kwa mageuzi sekta ya uchukuzi wa reli ili kuwezesha TAZARA kuongeza uwezo kufuatana na maono ya rais ya upanuzi wa bandari za Dar es Salaam na Bagamoyo hivyo inahitaji pia TAZARA kuongezewa uwezo na ufanisi kuweza kubeba mizigo zaidi

Reli ya TAZARA ilijengwa kusafirisha metric tani 5,000,000 kwa mwaka lakini sasa TAZARA ina safirisha mizigo tani 360,000 tu kwa mwaka, kiasi ambacho naibu waziri David Mwakiposa Kihenzile anasisitiza siyo sawa.
 
watanzania ndio tulitakiwa kuwa wa kwanza kuliongea hili, wala sio wazambia. reli ya Tazara inatakiwa iwe ya umeme, itoke dsm hadi kaprimposhi, hapo tutakuwa tumeua kabisa bandari za south africa na beira kwasababu kama itakuwa ya umeme tutasafirisha mizigo kwa siku moja tu toka dsm hadi kaprimposhi zambia. kama barabara ya reli ipo, mahandaki yapo, ni kurekebisha tu reli iwe sgr na kusindika nguzo za umeme basi.
Uko nyuma sana na maendeleo ya mama Samia, unakumbuka shuka kumeshakucha? Jionee:

Tanzania, Zambia zakubaliana kuipandisha daraja Tazara kwa kiwango cha SGR​

Jumatano, Agosti 03, 2022
1696038244512.png

Rais Samia Suluhu Hassan akikabidhi vitabu vya Kiswahili kwa mwenzake wa Zambia, Hakainde Hichilema Ikulu jijini Dar es Salaam
 
29 September 2023
Dar es Salaam

SERIKALI YA TANZANIA KUIFANYIA MAGEUZI YA KIBABE TAZARA

View: https://m.youtube.com/watch?v=X3He41J2-ow

Azma hiyo imetolewa leo na waziri wa uchukuzi wa Tanzania Mh. David Mwakiposa Kihenzile kuwa serikali ya Tanzania imejipanga kwa mageuzi sekta ya uchukuzi wa reli ili kuwezesha TAZARA kuongeza uwezo kufuatana na maono ya rais ya upanuzi wa bandari za Dar es Salaam na Bagamoyo hivyo inahitaji pia TAZARA kuongezewa uwezo na ufanisi kuweza kubeba mizigo zaidi

Reli ya TAZARA ilijengwa kusafirisha metric tani 5,000,000 kwa mwaka lakini sasa TAZARA ina safirisha mizigo tani 360,000 tu kwa mwaka, kiasi ambacho waziri David Mwakiposa Kihenzile anasisitiza siyo sawa.

"Azma" haikutolewa eo, hiyo azma tayari ilishakubaliwa na Tanzania tokea mwaka jana, huyo kaenda kutafuta mikopo China. Tanzania haina hata wasiwasi, mikataba islishasainiwa na Wachina mbona wapo kazini na wameshakuja kutembelea, kwa upande wa Tanzania, anangojwa Zambia tu.

1696038809930.png

Hivi mnamuelewa mama Samia anavyochapa kazi au mnamsikia tu?

Wewe mpaka ufikirie leo mama Samia kishafanya toka mwaka jana.
Soma zaidi: Weiterleitungshinweis
 
Ujio wa utawala wa Mh. Rais Hakainde Hichilema wa Zambia mtukazi anayetaka vitu kufanyika kwa wakati, ni muda muafaka sasa serikali ya Tanzania kuhakikisha nchi mbili za Afrika kulifufua shirika la TAZARA kwa vitendo .

Ziara ya mh. Rais Hakainde Hichilema nchini China ktk mahojiano exclusive anaonesha nia thabiti TAZARA ifanikiwe

23 September 2023

The Tazara Railway, linking Dar es Salaam in Tanzania with Kapiri Mposhi in Zambia, immediately springs to mind.

View: https://m.youtube.com/watch?v=zxRFh7Ow-Ho&pp=ygUNQ0dUTiBIQUlLQU5ERQ%3D%3D

Five decades on, the friendship between China and Zambia withstands the test of time. In this edition of Leaders Talk, CMG's Li Tongtong sat down with Zambian President Hakainde Hichilema during his six-day state visit to China. From Shenzhen's high-octane development in southern China to the Jinggangshan Red Army Base in Jiangxi Province, from Fu'an in Fujian Province where China's poverty alleviation efforts have brought substantive results, to Beijing, where he met with President Xi Jinping,

Source : CGTN
 
Back
Top Bottom