Stories of Change - 2022 Competition

Esq NeyB

Member
Mar 26, 2017
5
5
NAOGOPA

Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na kuchukua Kiyakini chake alichonunuliwa na Baba yake ambae kwasa ni mstaafu. Anafungua kwa kuingiza kinywila, Kiyakini kinafunguka. Anaunga mtandao ili aweze kuingia mtandaoni kutafuta kazi. Anaperuzi, anaona kazi za nafasi yake zilizotangazwa. Anaomba kupitia mtandao maalumu ulioelekezwa.

Anakumbuka… Alituma maombi kadha wa kadha, anapita kutazama kama amejibiwa. Anakuta mengine amejibiwa na mengine hajajibiwa. Amehudhulia mahojiano kadhaa kwaajili ya kazi ambayo hayakufanikisha yeye kupata kazi.

Anashika tama, anakumbuka alipokua mdogo, alikua akiulizwa, unataka kuwa nani ukiwa mkubwa, anajibu, Nahodha…mmh! Likini sasa anatamani kufanya kazi yoyote ili apate fedha kwaajili ya kujimu. Anakumbuka maneno aliyosikia kutoka kwa bwana mmoja “vijana acheni uvivu, mnatakiwa kujiari, ajira hakuna” …anashusha pumzi ndefu, sina mtaji, sijui najiari vipi!

Anaendelea kuperuzi, anakutana na Habari inayohusu wastaafu wanaodai malipo yao amabayo bado yanafanyiwa kazi. Anamkumbuka Baba yake tangu miaka miwili iliyopita alipostaafu, amefatilia fedha zake bila mafanikio. Anatafakari, nivipi kijana aliyemaliza chuo anaweza pata mtaji na kujiajiri.

Ni vipi kama muda wa kustaafu utapunguzwa ili kuwapisha vijana kwa kuwapa ajira ili nawao wapate mitaji na kuwapisha vizazi vinavyofuata. Mmh anamkumbuka Mjomba wake ambae ni muajiliwa mahali fulani anavyoweza kuendesha maisha na familia yake.

Anawaza, nitawezaje kukubali kuanzisha familia kama sitaweza kuitunza kama mimi siwezi kujikimu. Mmmh Hapana. Naogopa. Anaamua kumpigia simu rafiki yake anayeitwa Juliana.

Simu…ikiita {anasubiri ipokelewe}

Juliana: Hallo

Elli: wakisalimiana…

Elli: Rafiki yangu, nimetoka kutuma maombi ya kazi, mmh sijui nitapa wakati huu maana nimetafuta sana bila mafanikio.

Juliana: akicheka” ooh Elli unaomba kazi, unamtu wakukushika mkono ili uweze kupata!

Elli: Hapana.

Juliana: Sasa unaombaje, hata kama vyeti vyako vipo sawa, unahitaji mtu wakukuvusha.

Elli: Lakini…si tunaomba kupitia mtandaoni…mtandao haudanganyi.

Juliana: Ohoooo! Pole sana rafiki yangu, haudanganyi vipi wakati wanaofanyia kazi ni watu? Juzi tu nimeona watu ambao walifanya mahojiano wamekosa kazi na ambao hawakufanya wamepata.

Elli: Inawezekana vipi hayo?

Juliana: Achana na mambo ya kuomba kazi kama huna wakukusaidia kuipata. Mwenzako nimeona nifungue genge kwa fedha kichele alizonipa mama ili niweze kujikimu kwa maahitaji madogo madogo.

Elli: Basi rafiki yangu, ngoja niendelee kutafakari jinsi ya kufanya.

Simu ikakatwa.

Elly akiendelea kutafakari, kama mambo yapo hivi, ni vipi kwa vijana ambao hawana wazazi au watu wa kuwapa mtaji ili waweze kufanya biashara.

Simu inaita…Hallo Mjomba. Akizungumza na mjomba wake kwa kirefu na anamuahidi kumpa fedha kwaajili ya kufanya biashara.

Elli anafungua biashara ya kuuza nguo za mitumba ya watoto. Biashara inakwenda vizuri, anaweza kuiendesha kutokana na masomo aliyosomea chuo.

Elli…akiwa kwenye kibanda chake kilichopo kando ya barabara, ameweka redio yake inayoimba kwa kujirudia “mpende mwanao kwa shilingi elfu mbili” “mpende mwanao kwa shilingi elfu mbaili”.

Mteja: {akichagua nguo} …. Nimechukua nguo kumi.

Elli: Hizo ni shilingi elfu 20,000/=

Mteja: Nipunguzie bei, nimechukua nguo nyingi sana kwa Pamoja.

Elli: Hapo nitakupunguzia mia tano.

Mteja: Nipunguzie elfu mbili

Elly: mabalo yamepanda bei kutokana na mafuta kupanda bei hivyo nitapunguza elfu moja badala ya mia tano.

Mteja: sawa.

Baada ya muda, wanasikia Tangazo Tangazo… kuanzia Jumatatu vibanda vyote vilivyopo kando ya barabara viondolewe kutoka kwa utawala. Elli akiwa amesimama anapigwa na butwaa. Ooh biashara ilikua inakwenda vizuri hapa, lakini inabidi niondoke. Jioni ilipofika, alifungasha kila kitu na kurudi nyumbani. Anajaribu kutazama tena kama kuna nafasi ya kazi amepata. Anaona ameitwa kwenye usahili mkoani Dodoma. Akiwa amefurahi sana, anapanga safari yake ya Kwenda Dodoma. Siku ilipofika, akatumia fedha ya faida aliyoipata kwenye biashara yake kwa nauli, maradhi na chakula akiwa Dodoma. Baada ya usahili akarudi Dar es Salaam kusubiri Majibu. La haula! majibu yalitoka kuwa amefanikiwa kupita usahili wa kwanza wa maandishi hivyo ameitwa kwenye usahili wa pili ambao niwamahojiano ya ana kwa ana. Elli akajiandaa tena Kwenda Dodoma, na sasa akachukua sehemu ya fedha ya mtaji ili kujikimu atakapokua safarini. Alipofika Dodoma, alifanikiwa kuingia kwenye chumba cha usahili, baada ya mahojiano aliambiwa “Asante Elli…utajulishwa kama umepata nafasi uliyoomba, usiache kupita kwenye mtandao kutazama”. Elli alihisi kama ameshapata nafasi hiyo kwa tumaini alilopewa.

Akarudi Dar es Salaam kwaajili ya kusbiri majibu, ilipita wiki, ikapita miezi bila majibu. Elli aligundua kuwa hakuipata nafasi ile ingawaa alikua na kila kigezo cha kuipata. Akaenda kutafuta eneo jingine la biashara ambalo litakua salama Zaidi kwake, lakini kodi ya pango inakua kubwa kuliko uwezo wake. La haula! anakutana na mwenyekiti ambae anamshauli Kwenda kufanya biashara kwenye maeneo yaliyotengwa na selikali, Elly anakwenda kufanya utafiti kuona ataendeshaje biashara yake huko, ooh maskini, maeneo hayo yamejaa na hakuna nafasi kwaajili yake. Fedha ya mtaji inazidi kupungua kutokana na malipo ya nauli na mahitaji mbali mbali.

Akiwaza… “kwanini Selikali isitenge fungu kwaajili ya vijana wanaomaliza chuo kwaajili ya mtaji ili kupunguza tatizo la ajira. Maskini, swali lake linakosa jibu. Anaamua kumpigia simu tena mjomba wake ambaye alimpa mtaji na kumueleza yaliyomsibu ili amsaidie tena.

Mwisho.
 
Nimependa hii stori yako yenye uhalisia halisi wa nchi yetu hii ngumu
 
Akiwaza… “kwanini Selikali isitenge fungu kwaajili ya vijana wanaomaliza chuo kwaajili ya mtaji ili kupunguza tatizo la ajira. Maskini, swali lake linakosa jibu. Anaamua kumpigia simu tena mjomba wake ambaye alimpa mtaji na kumueleza yaliyomsibu ili amsaidie tena

Somo zuri sana, kura yangu umepata na ww kasome langu.
 
Back
Top Bottom