tatizo la ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yudasti

    Suluhisho la tatizo la Ajira Nchini

    Wadau ni siku nyingine tena, nimekuwa nikiona post za watu humu kulalamika juu ya ukosefu wa ajira pamoja na hali ya biashara kwa ujumla. Ni wazi kuwa watihitimu wanamaliza wengi kila mwaka ila ajira ni chache, hivi tujiulize kidogo, tumewahi kubuni ajira ambazo hazijafikiriwa bado? Ni wazi...
  2. N

    Tatizo la ajira linaendelea kutatuliwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema tumshukuru sana Rais Samia Suluhu kwasababu alipoingia madarakani aliamua kwanza kufungua fursa za ajira nchi nzima alitoa vibali vya ajira zaidi ya elfu 55 nchi nzima. Lakini pia aliongezea...
  3. MKEHA

    Inawezekana tatizo la ajira likawa la ukanda

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wabunge wengi waliochangia kamati ndogo ya sheria na ajira kuna kubebana sana kwenye SECRETARIAT ya ajira. Wabunge wamesema siku hizi kuna kanda watu wake hawaajiriwi kabisa. Kuna vimemo vinawataka wabunge watie mkono ili ajira zitoke. Je NEPOTISM inatokea ndani...
  4. Mwande na Mndewa

    Tatizo la ajira ni tokeo la mfumo wa elimu uliokosa fikra bunifu

    Fikra ni namna mtu anavyochukulia jambo fulani, fikra ni mawazo ya mtu juu ya kitu fulani katika maisha kwa ujumla wake, mara nyingi kabla ya kumshauri mtu, tunaanza na fikra, start with mindset, fikra ni dhana, fikra, umasikini na utajiri vinaenda sambamba,lakini tujiulize nini chanzo cha...
  5. T

    SoC02 Mbinu za kuondokana na tatizo la Ajira nchini

    Tanzania ni moja Kati ya nchi nyingi duniani ambazo zimekubwa na tatizo la ukosefu wa ajira, Hali ambayo imepelekea matatizo ya kiuchumi na kijamii. Ukosefu wa ajira rasmi hupelekea makundi ya vijana wasomi wasio na kazi kuongezeka katika jamii zetu, hali inayopelekea kuongezeka kwa makundi ya...
  6. Stranger94

    SoC02 Tatizo la Ajira Tanzania: Nini Kifanyike

    UTANGULIZI Tatizo la ajira limekua mtambuka duniani Kwa sasa, nchi nyingi duniani zimekua zikikutana na changamoto hii hususani katika kipindi hiki ambacho dunia inashuhudua anguko la uchumi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo athari za ugonjwa wa virusi vya Corona pamoja na vita...
  7. M

    SoC02 Tatizo la ajira nchini ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji haya...
  8. P

    SoC02 Kutumia elimu kupunguza tatizo la ajira

    Elimu kama kama zilivyo sekta muhimu kwa maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla,ni muhimu sana.Jamii nyingi na mataifa mengine yameitumia vizuri na wamefanikiwa sana. Ili elimu yetu iweze kutumika kupunguza tatizo la ajira inapaswa kufanya yafuatayo; (1)Kabla ya kutoa elimu kwa mtoto inapaswa...
  9. Philombe Jr

    SoC02 Jibu la kitendawili cha tatizo la ajira nchini kupitia mfumo wetu wa elimu

    Tatizo la ajira nchini limekua kitendawili kwa muda mrefu sasa bila ya kupata majibu. Taasisi zetu za elimu hutoa wahitimu wengi ambao hutegemea ajira ili waweze kujikwamua kiuchumi. Takriban kila mwaka watu wanaokadiriwa 800000 huwa tayari kuingia kwenye soko la ajira lakini wanaopata ajira...
  10. E

    SoC02 Vijana na tatizo la ajira

    NAOGOPA Kijana Elli akiamshwa na king’ora cha simu alichotega kabla ya kujilaza kitandani kwake huko Kimara Dar es Salaam, anakoishi kwa wazazi wake. Ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Anaamka na kujiandaa Kwenda kutafuta kitu chochote ili kuburudisha tumbo lake. Anarudi chumbani kwake na...
  11. Charamba

    SoC02 Namna bora ya kukabiliana na tatizo la ajira kwa Wahitimu wa Vyuo Vikuu nchini

    UTANGULIZI: Chuo kikuu ni ngazi ya juu zaidi ya elimu nchini tanzania na duniani kwa ujumla ambayo inamuwezesha mwanafunzi(Mwanachuo) kupata maarifa na ujuzi maalumu. Mfano;Udaktari, Ualimu, Sheria, Masuala ya uchumi na biashara, Masuala ya habari, na mengine mengi yatolewayo vyuoni. MJADALA...
  12. CM 1774858

    Shaka: Rais Samia ameongeza TZS 700B kwenye kilimo ilikulikabili tatizo la ajira kwa vijana wetu, Bajeti yafikia TZS 954B toka TZS254B

    MABILIONI YA RAIS SAMIA YAMPA IMANI SHAKA KUWAKOMBOA VIJANA KATIKA KILIMO KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema dhamira ya dhati ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuitazama kwa karibu sekta ya kilimo, ikiwemo kuongeza bajeti ya Wizara Kilimo...
  13. EzekielEmanuel1997

    SoC02 Ajira mpya Serikalini ziwe ni kwa miaka kumikumi, itasaidia kupunguza tatizo la ajira na ugumu ya maisha

    1.0 Ikisiri Nchi nyingi duniani zinakumbana na changamoto ya ajira kwa vijana. Hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya wahitimu katika ngazi mbalimbali za elimu ingali hapajatengenezwa mazingira rafiki kwa ajili ya kuwaajiri au kujiajiri vijana hao. Pamoja na kuonekana madhara makubwa...
  14. Equation x

    Mtazamo wangu wa namna ya kumaliza tatizo la ajira

    Tuanze na hivi vitu viwili, kwanza:- Ajira za kudumu zifutwe, na badala yake zipewe mikataba ya miaka 10 Hii itasaidia idadi ya watu wengi kuajiriwa Wengi watakula keki ya taifa Itaongeza ubunifu na ujenzi wa viwanda Sekta binafsi zitakuwa kwa kasi Uchumi utakuwa kwa kasi n.k Watu waajiriwe...
  15. Amina68

    Kweli kuna tatizo la ajira, nafasi 2 zagombaniwa na watu 890+, wote wameitwa Dodoma (Chakula, usafiri, kulala juu ya muombaji) F6 Leavers JIFUNZENI

    Kweli kuna tatizo la AJIRA, NAFASI 2 zagombaniwa na watu 890+ Kuna nafasi zilitangazwa kwenye magazeti ya Serikali TSN , aisee... Ktk nafasi ya accountant II ,wameomba watu 7600, interview wameitwa 900+. Nafasi zipo mbili ,wazazi tunajambo la kufanya kwa Watoto wetu.
  16. beth

    ILO: Umasikini unachangia tatizo la ajira kwa Watoto

    Bila kuwepo Mikakati, Shirika la Kazi Duniani (ILO) linakadiria kuwa, Idadi ya Watoto wanaotumikishwa inaweza kuongezeka kwa Milioni 8.9 ifikapo mwisho wa 2022, kutokana na umasikini pamoja na kuongezeka kwa mazingira magumu Hali ya Ajira kwa Watoto inatajwa kuwa mbaya zaidi katika Nchi...
  17. Equation x

    Vijana wakiwa waaminifu, na wakawa wanajituma ipasavyo bila kudokoa dokoa (kuiba iba), tatizo la ajira litakuwa halipo

    Watu wengi wanatamani kuanzisha biashara mbalimbali, zenye mitaji ya maelfu, laki, mamilioni n.k Changamoto inakuja, ni nani wa kumuajiri; au ni nani wa kusimamia hiyo biashara. Inapotokea ameajiriwa kijana; yule kijana anaanza kuhujumu biashara, kuiba kidogo kidogo ili aende akaanzishe ya...
  18. beth

    Japhet Hasunga (Mbunge wa Vwawa): Tatizo la Ajira litakuwa bomu kubwa lisipowekewa mikakati

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema Vijana wengi wana wamesoma hadi ngazi ya Chuo na kupata Elimu lakini Ajira imekuwa changamoto. Akizungumza Bungeni amesisitiza hatua zisipochukuliwa, litakuja kuwa bomu kubwa. Amefafanua, "Serikali imesema itatoa Ajira zaidi ya 32,000 lakini hiyo itakuwa...
  19. VAPS

    Tuwe wakweli na tuwe na mikakati endelevu Tatizo la Ajira

    Tutambue juhudi zote na mipango tukiyojiwekea kusongesha gurudumu la maendeleo ya taifa letu. Maboresho sector kilimo na ufugaji, miundombinu barabara, umeme, huduma za afya, viwanja michezo. Mikopo Halmashauri ichagize viwanda vidogo kuzalisha na kuongeza thamani. Tuachane na mikopo midogo...
  20. K

    Kwa Takwimu hizi, nalazimika kuamini Zanzibar hawana tatizo la Ajira

    Poleni na majukumu wakuu na hope mko na afya njema, wanaosumbulia na maradhi namuomba mwenyezi MUNGU awaponye na warudi kwenye hali zao za kawaida. Basi bhana! Wazo la kuandika uzi huu limekuja baada ya kuingia huko ajira portal nikiwa ninadhumuni la kuangalia matokeo ya written interview ya...
Back
Top Bottom