• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

fikra

 1. chagu wa malunde

  Upumbavu ni hali ya kutotumia fikra vizuri na kufanya maamuzi mabaya. Je, Rais kuwaeleze ukweli watendaji wake ni wapumbavu anakosea?

  Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako. Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha...
 2. K

  Mkopo wa Benki ya Dunia umeonyesha upinzani sio idadi ya ubunge, ni fikra

  Kama kuna watu walikuwa wanafikiria kwamba kuwabana upinzani, wanahabari na watoa maoni kutafanya chochote kiweze kufanyika wafiliri tena. Dunia ya siku hizi tunategemeana sana kiasi kwamba mtu wa kawaida tu ana uwezo mkubwa sana kuleta na kuzuia mambo mengi kama hamjakubaliana pamoja kama nchi...
 3. M

  Bila wanasiasa kubadili fikra ni ngumu sana kuondokana na umasikini

  Leo ningependa kugusia a very dominant premise ya wanasiasa wetu, "Tuzaliane tuongezeke ili uchumi wetu ukue, au tukuze uchumi" kwa ufupi they believe there's a strong correlation between population increase/growth and economic development/growth. Binafsi siamini suala kuongeza idadi ya watu...
 4. K

  Upinzani ni fikra sio chama, haufi

  Kuna wanaofikiria vyama vya upinzani na fikra za upinzani ni kitu kimoja. Tanzania watu wana utamaduni na fikra za kupingana na ubishi hii hakuna mtu ataweza kuiondoa. Ilikuwepo kabla ya uhuru mpaka sasa. Vyama vitakufa kwasababu ni taasisi zinazoweza kubanwa lakini fikra ya upinzani ni kama...
 5. Azizi Mussa

  Kuhusu fikra ya kuua upinzani, “The Law of Polarity”

  Kumekuwa na mijadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuua au kutoua, kufa au kutokufa kwa upinzani Tanzania. Ukiangalia kwa ukaribu jambo hili; kuna watu wanafikiri upinzani ukifa litakuwa jambo la faida kwa taifa, ila kiuhalisia litakuwa ni jambo la hasara kwa watu wote na pengine la hatari...
 6. W

  Ndege hizi zinazonunuliwa cash zina faida gani kwa Mtanzania?

  *Na Emmanuel J. Shilatu* Tangu Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli iingie madarakani imekazania kununua ndege kwa ajili ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL). Baadhi ya Watu wanahoji kwanini pesa hizo za kununulia ndege aina...
 7. isajorsergio

  Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

  Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?! Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa. Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
Top