ajira kwa vijana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kitachoiondoa CCM madarakani ni Ukosefu wa ajira kwa vijana Kiburi, dharau na Propaganda za Maji taka ndo aguko la CCM

    Ukosefu wa ajira kwa vijana amabo ni GenZ hawa ndo wanafanya ccm wanalala macho wazi pamoja na vitisho vyote lakini vijana wa Ge-z waliweza kutoka nje October 29 bila kuogopa. Kwa mbegu iliyopandwa October 29 wasifikiri Gen Z wamekubali yaishe pamoja na kuona wenzao wanapigwa risasi marafi...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemtaka Naibu Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Ajira na Mahusiano, Evaline Munisi kusimamia kwa karibu masuala ya haki za wafanyakazi, ajira kwa vijana na kuimarisha mahusiano kazini. Rais Samia amebainisha hayo Jumatano Mei 6...
  3. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Money sunction effector (MSE) ni suluhisho la ajira kwa vijana hapa Tanzania

    Habari wakuu Natumai wote humu ndani ni wazima wa afya kabisa. Week mbili hizi nimefanya research ambayo naimani kama ikifanyiwa kazi basi tunaweza pata matokeo chanya kwa taifa letu na hata tutajikomboa katika wombi la ukosefu wa ajira kwa vijana na umaskini kwa ujumla. Nitangulize pia...
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ili la Serikali kutangaza nafasi za Ajira kwa vijana kwenda Nchi za Uarabuni limekaaje?

    Jana kuna mwamba aliweka tangazo humu kwamba serikali imetoa nafasi zaidi ya elfu 1 za wapishi kwenda Uarabuni. Nikajua tu ni utapeli. Serikali haiwezi fanya ivo. Pia email ya kutuma CV ilikua na domain ya gmail.com namba za simu zilikua private nikahisi ujanja ujanja. Ila leo nikaingia kwenye...
  5. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kitila: Serikali yatangaza mikakati 8 ya kupanua ajira kwa vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo ametangaza mikakati mahsusi nane ya Serikali katika kuvutia uwekezaji na kupanua fursa za ajira kwa vijana nchini. Mikakati hiyo imetangazwa leo, Novemba 28, 2025 mkoani Dar es Salaam wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya...
  6. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aisha Madoga: Nikiwa mbunge wa Dodoma Mjini nitalitatua tatizo la ajira kwa vijana

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Bi. Aisha Madoga, amesema kuwa endapo atapewa ridhaa na wananchi, atahakikisha anashughulikia tatizo la ajira kwa vijana kwa kuongeza tija na thamani ya mazao, ikiwemo zao la zabibu. Akizungumza katika mikutano...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi: Sera mama katika awamu ijayo ya uongozi itakuwa ni kutengeneza ajira kwa vijana

    Mgombea Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Mwinyi, amesema serikali yake itaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara, shule, viwanja vya michezo na kuboresha sekta ya afya endapo atapewa ridhaa ya kuongoza kwa...
  8. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musa: Nitatoa ajira kwa vijana wa Mbarali

    Katika kupunguza tatizo la ajira kwa vijana wa kata ya Lugelele, Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Mgombea Udiwani wa Kata hiyo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Musa Musa ameahidi kutoa ajira kwa vijana wa kata hiyo endapo atapewa idhini ya kuwa Diwani. Musa ametaja ajira kwa...
  9. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea wasiishie tu kutoa ahadi za Ajira kwa vijana Uchaguzi 2025. Je watalitekelezaje hili?

    Miaka nenda miaka rudi kila mgombea akiwa ananadi sera zake wanatumia tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana iliw achaguliwe. Lakini viongozi hawahawa tukishawapeleka bungeni ndo wanaorudi na kusema "Vijana mjiajiri serikali haiwezi kuajiri kila mtu." Wananchi tunaposikiliza tunatakiwa kuuliza...
  10. Patriot

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa vijana, Samia hana lolote! Mmiradi inayotajwa ilianzishwa na Hayati Magufuli

    Tunauliza mkakati wa ajira kwa vijana wa TZ. Hiyo ni kazi ya serikali duniani kote. Hatutaki kusikia eti vijana wajiajiri. Eti tunaweka mazingira mazuri ya ajira, NOOO! Ktk kipindi cha miaka 4 akiwa madarakani nini amekiona ktk ajira na nini atafanya? Hatujasahau yaliyofanya na Magufuli...
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video Rais Ruto wakati wa kampeni akiahidi kutoa Ajira kwa vijana Vs Uhalisia kwa sasa

    Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya. Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana. Limekuwa tatizo kubwa nchini humo, lakini Rais Ruto anasema tatizo hili halijaanza na yeye. Source: TRT AFRIKA
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yaitaka Serikali kuzalisha ajira 350,000 kwa vijana nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Ilani ya Chama Cha Mapinduzi nchini Tanzania Prof. Kitila Mkumbo amebainisha kuwa katika kulinda mafanikio makubwa yaliopatikana wakati wa utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020/25,katika kukuza uchumi jumuishi na kuimarisha ustawi wa wananchi wote, serikali imetakiwa...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lusinde alia wanaoomba ajira kufanyiwa mitihani, atoa pendekezo haya Bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Mvumi (CCM) Livingstone Lusinde (Kibajaji) amekosoa mfumo unaotumika kutoa ajira nchini kwa madai mfumo huo umekuwa hauwatendei haki Watanzania na unachangia kuleta mawazo kwa vijana. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  14. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Panya ana ajira, Kijana hana — na anasafiri kwa ndege!

    Jamani jamani… dunia hii kweli ni kitendawili kigumu! Leo tena nimerudi na habari mpya — panya mmoja anaitwa Ronin, si tu ana ajira ya kudumu ya kutegua mabomu, bali tayari ameshapanda ndege, amesafirishwa kwa heshima mpaka Cambodia! Wewe kijana, umesoma mpaka ukakariri chati za periodic...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche amjibu Makalla kuhusu kubeti (betting), adai "Nataka watanzania wapate ajira za kudumu, betting sio ajira"

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, ameendelea kushambulia vikali kauli ya Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, kuhusu betting, akidai kuwa CCM inawaelekeza vijana kwenye michezo ya kubahatisha badala ya...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: CHADEMA ikishika dola itakuwa ni mwisho wa vijana kufanya betting, tutabadilisha maisha yenu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche amewataka vijana na Watanzania kwa ujumla kuiunga mkono CHADEMA katika mchakato na dhamira yake ya kuiletea nchi maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. Heche ameyasema hayo hivi karibuni katika Jimbo la...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Ili nchi ikue ikuchumi inatakiwa kuwekeza kwenye viwanda kwani vitatengeneza ajira kwa vijana wengi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Heche ili nchi ikue ikuchumi inatakiwa kuwekeza kwenye viwanda kwani vitatengeneza ajira kwa vijana wengi.
  18. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Ushauri & mapendekezo: Ili kuboresha uchumi wa nchi kuongeza ajira kwa vijana, ufanisi na kuboresha maisha ya watanzania serikali ifanye haya

    Najua haiwezi kuwa Rahisi Hivyo ila ili Kuboresha uchumi wa nchi, kuongeza ajira, ufanisi, na maisha ya Watanzania kunahitaji mkakati mpana unaohusisha sekta mbalimbali. Hapa kuna ushauri na mapendekezo kwa serikali Ambao kwangu Nimeona Unafaa na Nitakuwa naweza na Fedha kwa Makadirio ya Chini...
  19. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nawashauri Ccm kuhusu swala la ajira kwa vijana endeleeni kukaa kimya kwakuwa hama maarifa wala akili za kutatua hili tatizo.

    Sio jambo jema mkaendelea kuropoka . Huwa nashangaa Sana hawa viongozi wa Ccm wasiokuwa na akili wanavyowashauri vijana . Utasikia wanakuambia Afisa usafirishaji , Afisa ubashiri , Mama lishe na Baba lishe.
  20. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kazi Ridhiwani Kikwete - Ajira kwa Vijana Watanzania na Ukiritimba wa Wachina

    Mheshimiwa Waziri wa Kazi, Mh. Ridhiwani Kikwete, Najiuliza, je, tunafahamu hali halisi ya ajira kwa vijana wa Kitanzania, hasa wanapokuwa wanatumikishwa na wawekezaji kutoka nchi za nje, kama vile wachina? Hali hii imefikia hatua ya kutisha ambapo vijana wa Kitanzania wananyanyaswa na kuzidi...
Back
Top Bottom