kitendawili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha ugumu wa maisha Afrika ya Mashariki.

  2. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Umaskini wa kujitakia na kitendawili cha mchango

    66 UMASKINI WA KUJITAKIA NA KITENDAWILI CHA MCHANGO, UCHAGUZI NGUVU YETU Hebu tushirikiane kutafuta jibu la hili fumbo: Chama cha siasa Afrika kinaingia mtaani na kuwapa wananchi somo la ulaghai kwamba serikali imewafanya maskini. Wananchi wanaitikia kwa huzuni, 'Kweli kabisa!' CHAMA KINAWEZA...
  3. UTPC

    JamiiForums Tanzania Haki za mtoto bado kitendawili Shinyanga

    LICHA ya kuwapo kwa maofisa wa Serikali wenye dhamana ya kulinda ustawi wa watoto kikatiba, kisheria na kisera, idadi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu na hatarishi mkoani Shinyanga inaendelea kuwa kubwa. Uchunguzi wa Nipashe uliofanyika kwa takriban miezi mitatu umebaini kuwa watoto...
  4. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha "mkono wa kwaheri": Kilio cha Wastaafu 600 wa Shirika la Reli (TRC)

    Inasikitisha na kutia simanzi kuona wazee wetu, waliotumikia nchi hii kwa uaminifu kwa zaidi ya mimiaka 30, wakisota mtaani bila kupata stahiki zao za kisheria. Hali ya wastaafu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) walioajiriwa na kustaafu kati ya mwaka 2012 na 2022 ni ya kuhuzunisha mno. Hoja za...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania CCM looh CCM kitendawili katima maana na matendo!!!

    CCM, kwa sasa, inaweza kuwakilisha vitu vingi mfano: Chama cha mauaji Chama cha machawa Chama cha manywinywinywi Chama cha mafisadi Chama cha Matapeli Chama cha maimla Chama cha mamluki Chama cha mazwazwa Chama cha majambazi Chama cha magabacholi Chama cha maajabu Chama cha madhambi Chama cha...
  6. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Mh. Bwege ategua kitendawili cha Anna Komu wa WADEMA na Monalisa Ndala wa ACT

    https://vm.tiktok.com/ZMArjpvGV/ https://vm.tiktok.com/ZMArjvR83/ https://vm.tiktok.com/ZMArjpXkm/
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kurudisha fomu kwa Samia bado kitendawili

    Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wagombea mbalimbali wakichukua na hata kurudisha fomu zao za kugombea urais kupitia vyama vyao. Lakini jambo la kushangaza ni ukimya mzito ndani ya CCM kuhusu lini Mwenyekiti wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atarudisha...
  8. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi wa nane kitendawili

    Wakuu kuna madeni chungu nzima watu wamekopa ila mshahara wa mwezi huu August ni kitendawili, ofisi moja ila kuna wengine wamepata wengine bado. Mwenye majibu ya kutia moyo aje awafariji wasiopata mshahara adi sasa: maana hali ni tetee
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania CCM nisaidieni kutegua hiki kitendawili

    Kuna jambo limekuwa kama kitendawili kwangu, na sielewi tafsiri yake ni nini! Kwenye maisha ya kawaida ya watanzania na huku kwenye mitandao ya kijamii, watu hupata wasiwasi na hatima ya mtu anayeikosoa CCM kuliko anayeikosoa CHADEMA. Imekuwa ni kawaida mtu kuonywa ama watu kuandika maneno...
  10. Chancel Mbemba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeishi na mwanamke miaka mitatu bila kupata mtoto, nifanyaje

    Nimekuja hapa JamiiForums kuomba ushauri na msaada Kwa namna moja au nyingine, hapa nimekuwa nikisoma tu nyuzi za watu nilikuwa sina account na mimi nimeona nijiunge nitoe yanayonisibu labda nitapata msaada, hapa naamini ni sehemu sahihi japo kuna ambao sometimes wanaleta masikhara. Ishu...
  11. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Kagoma na kitendawili cha kiungo mkabaji

    Nimeona mjadala watu wakilalamika kuhusiana na yusuph kagoma kwamba kiungo chake ni outdated na kwamba anacheza kizamani tuangalie kwanza aina za DM halafu tuwekane sawa Defensive midfielder(DM)Huyu ni ni kiungo mkabaji ambaye majukumu yake purely ni majukumu ya ulinzi ambapo anasaidia kulinda...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu watatu wamekamatwa baada ya Rais William Ruto kurushiwa kiatu katika Kaunti ya Migori

    Takriban watu watatu wamekamatwa kufuatia tukio la kutupwa kiatu kuelekea kwa Rais William Ruto katika eneo la Kuria Magharibi, Kaunti ya Migori. Soma Pia: VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu usoni akihutubia Wananchi wa Kehancha Tukio hilo lilitokea Jumapili jioni wakati Rais Ruto alikuwa...
  13. Bueno

    JamiiForums Tanzania Haya Maisha ni Kitendawili Kigumu kweli kukitegua na Mambo yamebadirika sana

    ...... Mods msi-edit huu uzi
  14. Mr Mjs

    JamiiForums Tanzania Uhamisho wa watumishi kwenye mfumo wa ESS ni kitendawili kisicho na mteguo

    Kuna jamaa yangu ameomba uhamisho wa kubadirishana kupitia kwenye mfumo wa ESS toka mwaka jana mwezi wa nne ila cha kushangaza hadi sasa status inasoma TAMISEMI na hakuna jibu na hajui ni lini ataweza kujibiwa. Ikumbukwe kuwa Serikali iliamua kuachana na Uhamisho wa manual na kuanzisha ufumo wa...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme ni kitendawili kingine

    Iombee sana Tanganyika. Tanganyika haijawahi kuingia kwenye mgao wa umeme sababu ya "kurekebisha miundombinu". Sababu pekee huko nyuma zilikua ni maji kupungua, Megawatt kuwa chache. Leo hii tuna bwawa la nyerere Megawatt zaidi ya 3000 mpaka zingine zinataka kuuzwa nje, lakini kwa mara ya...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Kitendawili: Kashinda wiki hii lakini hana furaha!

    Alishinda wiki hii lakini hana furaha. tuone atakayepatia
  17. Kson Investment

    JamiiForums Tanzania KITENDAWILI KITENDAWILIII

    1.Haina miguu ila inasimama jibu ni......................(marks 20) 2.ina miguu minne ila haiendi..........(20marks)
  18. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha BAKWATA na Serikali BAKWATA na Waislam 1968 - 2024

    Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika. Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya Bibi Titi Mohamed na Julius Nyerere kuhusu EAMWS. Haukupita muda mrefu Baraza la Wazee wa TANU...
  19. KikulachoChako

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kweli mapenzi ni uchafu. Wewe ungefanyaje?

    Leo nimekumbuka kiss hiki cha miaka kadhaa nyuma..... Nilikuwa na rafiki yangu mpendwa alikuwa na mchumba ambaye ni shemeji yangu ambapo walikuwa mbioni kufunga ndoa.....na maandalizi na harakati za hapa na pale yalishaanza..... Ni Shem ambaye tulizoeana kwa kuwa mara kadhaa nilikuwa nikifika...
  20. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Kijana SATIVA anayesemekana alitekwa na watu wasiojulikana kitendawili chake kinateguliwa na filamu ya IRIS?

    Kwa mlio wahi kuiona hii filamu ya kikorea mtakubaliana na mimi, Katika idara ya Usalama wa Taifa kwenye filamu hiyo kunaonekana kuwepo idara nyingine ya usalama wa taifa itwayo NATIONAL SECURITY SERVICE (NSS), Hii ni idara ya siri inaofisi na miundo mbinu yote, agents wa kutosha na tactical...
Back
Top Bottom