samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. mama D

    Mgawo mkali wa umeme na maji unaoendelea nchini ni wazi kabisa watendaji wa Serikali mnaihujumu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Hiki kinachoendelea kimyakimya ni mchakato wa kuturudisha kuleee miaka ilee ya 2005, 2006, 2007...... miaka ambayo Dar Es Salaam na Tanzania kwa ujumla ilikua imepambwa na mikokoteni ilishosheheni madumu ya korie yaliyobeba maji na magari yenye matank ya maji kila kona. Kwa kasi ya ajabu...
  2. T

    Tunauomba uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukarabati wa uwanja wa Jamuhuri mkoani Morogoro ili mechi za Ligi Kuu zirudi kuchezwa mkoani hapo

    Amani iwe nanyi. Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa katika ardhi ya nchi ya Tanzania yenye wapenzi wengi wa Soka. Wachezaji wengi mahiri wametoka katika mkoa wa Morogoro. Ni muda sasa umepita toka dimba la Jamuhuri lilipofungiwa kutumika kwa michezo ya Ligi Kuu nchini Tanzania, kutokana na...
  3. L

    Endelee Kupumzika Kwa Amani Baba Wa Taifa, Tanzania Ipo katika mikono Salama Ya Mwanao Mama Samia Suluhu Hasssan

    Ndugu zangu ni miaka Sasa Tangia Baba Wa Taifa Hayati Baba wa Taifa atutoke, Hakika lilikuwa Ni pigo kubwa Sana kwa Taifa letu kuondokewa na Baba Wa Taifa Mlezi wa Taifa, maktaba ya Taifa, Rejea ya Taifa, Mfariji wa Taifa, Mwongozo Wa Taifa, Mwenye kauli iliyosikilizwa na kuheshimika na kila...
  4. Pfizer

    Shaka amemtia shime Rais Samia Suluhu Hassan azidi kukanyaga na kupiga hatua za maendeleo

    SHAKA:RAIS SAMIA KANYAGA TWENDE,CHAMA KINARIDHISHWA, WANANCHI WANAKUELEWA KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amemtia shime Rais Samia Suluhu Hassan azidi kukanyaga na kupiga hatua za maendeleo kwa kuwa Chama na wananchi wanaona na kuridhishwa...
  5. Poppy Hatonn

    CCM ya Samia Suluhu inatupeleka wapi?

    Watanzania siku za karibuni wamekuwa more and more evi,more and more degenerate. Kuna matatizo makubwa sana ya wealth distribution. Watu wachache Ni matajiri na wengi ni maskini. Hivi ndio nchi zinavyoanguka. Ukitazama Civilization za zamani za Greece and Rome,zilianguka kwa sababu hizi hizi...
  6. Justdr

    Samia Suluhu Scholarships

    Samia scholarship ni definition sahihi ya mwenye nacho ataongezewa. Ask me how?
  7. Rashda Zunde

    Rais Samia Suluhu alituliza Taifa

    Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama. Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje? Lakini kwa uwezo wa Mungu na utendaji kazi wake kwa kuzingatia maadili na uongozi bora, Rais Samia...
  8. Rashda Zunde

    Mambo Matano Ziara ya Rais Samia Suluhu Msumbiji

    Amani Rais Samia alisema amani iliyopo kati ya nchi hizo, inatokana na vyama vilivyopo madarakani hivyo aliomba tunu hiyo ilindwe. “Sasa ili tuendelee kudumu madarakani lazima tuje na fikra mpya, tujifunze kwa vyama vilivyoondolewa madarakani…amani na utulivu ni matokeo ya vyama vyetu kuendelea...
  9. BARD AI

    Tsh. Bilioni 3 kutumika kusaidia Samia Scholarship

    Jumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha sita. Ufadhili huo ambao unaanza mwaka 2022/2023 unafanyika chini ya mpango unaojulikana kama Samia Scholarship. Akizungumza hayo leo Jumapili...
  10. CM 1774858

    Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha Kamati Kuu, Ikulu

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya Chamwino, Jijini Dodoma leo Jumatatu tarehe 26 Septemba, 2022. Rais wa Zanzibar na Mjumbe wa...
  11. Getrude Mollel

    Maboresho ya Bandari ya Mtwara chini ya Serikali ya Rais Samia Suluhu yazaa matunda.

    Serikali ya Rais Samia Suluhu iliwekeza kiasi cha TZS 157.8bn/- mnamo mwaka 2021 kwa lengo la kuboresha uwezo wa bandari ya Mtwara ikiwamo kuongeza kina cha bahari ili iweze kupokea meli zinazoweza kubeba shehena kubwa zaidi za mizigo. Baada ya ujenzi huo kukamilika mapema mwaka huu, bandari...
  12. Rashda Zunde

    Rais Samia Suluhu Hassan, Mwanademokrasia bora

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, imekuwa mstari wa mbele kutekeleza kwa vitendo dhana halisi ya demokrasia hususan katika tafsiri ya demokrasia kuwa ni nguzo ya kisiasa inayoendesha serikali ya kidemokrasia. Amekuwa kiongozi msikivu aliyekuja na mbinu mbadala ya...
  13. Roving Journalist

    Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan - Zanzibar, leo Septemba 2, 2022

    Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan - Zanzibar, leo Septemba 2, 2022 Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe. Hamad Masauni amesema kuwa kupitia mfuko wa tozo, Wizara ya hiyo inajipanga kujenga vituo vya polisi na makazi ya askari 51780 nchi nzima. Mpango wa awali wa wizara hiyo ilikuwa ni kukamilisha...
  14. R

    Samia Suluhu: Nyumba isiyolongwa haimei

    Kwamba nyumba ambayo makosa yake hayasemwi na kufunikwa nyumba hiyo haiishi. Bila ya kusema makosa hayo ipo siku yatakuwa mengi na madhara yake yatakuwa makubwa lakini yakisemwa basi utapatikana muda wa kujirekebisha. Asipojirekebisha je, basi anaamishwa sehemu nyingine akaendeleze madudu yake...
  15. L

    Pongezi kwa Rais Samia na Dr Hussein Mwinyi Kuifanya Tanzania Bara na visiwani kuwa Salama na Tulivu na kutujengea Matumaini

    Ndugu zangu ,muunganiko wa Mh mama Samia suluhu Hassani Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania pamoja na Dr Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar umejenga Taswira ya kipekeee ya kiuongozi na namna ya kuongoza kwao, Ndugu zangu, kwanza wote wawili Ni viongozi wanaoamini katika Maridhiano na...
  16. L

    Rais Samia atakumbukwa kwa kujenga uchumi unaowagusa Watanzania

    Ndugu zangu, wanasema uchumi mzuri ni ule unao gusa maisha ya watu wengi. Ukimfuatilia vizuri Mh. Rais wetu utagundua kuwa anajenga uchumi wenye kumgusa kila Mtanzania. Kwanza Mh. Rais ametambua kuwa kilimo ndio sekta iliyo ajiri watanzania wengi wa makundi tofauti tofauti. Hivyo juhudi zozote...
  17. L

    Rais Samia songa mbele, wengine watakushukuru na kuacha kelele za lawama tukifika Kanaani

    Mh. Rais, najua unatambua kuwa safari ya kuyafikia maendeleo siyo nyepesi, siyo tambalale wala mteremko. Mh Rais sisi watanzania huwa tunalalamika sana linapoanza jambo fulani na kuinua sauti za kelele kila mahali ili mradi tu kila mtu kaongea. Mh. Rais wetu, umekuwa muwazi sana katika serikali...
  18. L

    Rais Samia anayo kiu ya kuipeleka mbele Tanzania kimaendeleo, tumpe muda tutafurahi na kushangilia

    Ndugu zangu ukimsikiliza mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza, ukimuangalia namna anavyotenda utagundua kuwa amedhamiria na anayo kiu ya kuipekeka mbele nchi hii kimaendeleo. Mh. Rais anayo kiu ya kuona kuwa, hakuna mama mjamzito anasafiri umbali mrefu kufuata kituo cha afya au...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Licha ya Rais kujitahidi kuchapa kazi lakini bado Wananchi hawamuelewi!

    Sabato Njema! Tangu Rais arithi kiti cha Urais mwaka Jana hajapumzika wala sijasikia Kama alipata likizo. Anachapa kazi, Leo yupo huku kesho yupo Kule. Anachapa kazi. Lakini licha ya jitihada zake zote katika kulitumikia taifa hili bado Wananchi hawamuelewi. Hii inasababishwa na nini? Kuna...
  20. kyagata

    Rais Samia, ni lini utateua Mkuu Mpya wa Magereza?

    Ni takribani mwezi mmoja sasa toka umuondoe aliyekua mkuu wa Jeshi la Magereza. Je, lini utateua mkuu mpya?
Back
Top Bottom