samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

    Sheikh Farid: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kiufupi tunashukuru sisi tumeachiwa lakini huu ni mwanzo mwema ya busara ya marais wetu, Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi mkuu, mama Samia Suluhu. Wamefanya busara kubwa sana kuondoa hii hali ya mtanziko ya muda mrefu sana wa hii Kesi...
  2. vvm

    Mkutano wa Rais wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan na Vijana, Uwanja wa Nyamagana Mwanza

    Huu ni uzi huru (sio rasmi) Kumulika Ziara ya Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan mkoani Mwanza ambapo ataongea na vijana wa Kanda ya ziwa kwa niaba ya vijana watanzania yote. Huu ni muendelezo wa Rais Samia kukutana na kuongea na Makundi Mbali mbali katika jamii. Ikumbukwa...
  3. tpaul

    MATAGA wadhibitiwe, wanamkwamisha Rais Samia Suluhu

    Naingia kwenye mada moja kwa moja nisiwachoshe. Baada ya mwendazake kufanikiwa kuiharibu hii nchi kwa kubaka Uchaguzi Mkuu wa 2020, sasa CCM inaongoza nchi nzima kuanzia Balozi hadi Rais. Mwendazake aliwahi kusema kwamba CHADEMA ndio wanamkwamisha kuwaletea wananchi maendeleo, hivyo akaamua hata...
  4. kipara kipya

    Rais Samia Suluhu azindua mtambo wa kisasa taasisi ya moyo Jakaya Kikwete. Asema Kazi ilifanyika Awamu ya Tano

    Mambo yanaendelea huko tufuatilie kasi ni ile ile kazi iendelee. ======== Rais Samia Suluhu ameongoza shughuli za kuzindua Mitambo na kwa sasa zoezi linaloendelea salamu za watu mbali mbali. Alianza Professa Janabi ambae ametambulisha watu wote anaofanya nao kazi kila siku. Dkt. Janabi...
  5. Geza Ulole

    Rais Samia Suluhu Hassan; naomba umpe Ubunge Flaviana Matata Ubunge wa Kuteuliwa

    Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya...
  6. DustBin

    Ni mapema sana kumlaumu Rais Samia Suluhu Hassani

    Mama bado yupo kwenye hatua ya awali ya kuweka mambo sawa, hivyo ni mapema kuanza mpa lawama kwa hili na lile. Kwa namna ratiba ya Mhe. Madam President ilivyo tight isingewezekana mtu akiomba kukutana nae kwa tarehe anayooitaka ndio iwe. Muda wa kuwa Mhe. Raisi ameahidi kukaa na watu wa vyama...
  7. JOYOPAPASI

    Mafanikio ya rais Samia siku 78 tangu ashike madaraka

    YALIYOJIRI LEO JUNI 5, 2021 DODOMA, WAKATI MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MASUALA MBALIMBALI YA SERIKALI. Namshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa imani yake kwangu na kuniteua kuwa Mkurugenzi wa Idara ya...
  8. Relief Mirzska

    Asante Maxence Melo kwa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan Katiba Mpya LIVE

    Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi. Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo tutamtambua kama prominent figure wa kwanza kabisa kutoka hadharani na kumuomba Mheshimiwa Rais Mama yetu...
  9. EMMANUEL JASIRI

    Raisi samia Suluhu Hassan tumwache aifanye kazi yake kwa amani, vinginevyo tutajikwamisha kwa namna hii

    Sasa hivi katika mitandao ya kijamii Kuna kundi ambalo linaweka mijadala mingi ya kumlinganisha Raisi huyu utendaji wa Marehemu Magufuli Hili kundi linaongozwa na Veronica France Ni kama kundi hili lipo kinyume,halijaridhika kuona Samia Suluhu akiwa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  10. FaizaFoxy

    Wazee wa Madrassa wampiku Mama Samia Suluhu?

    Leo nimezikuta habari za Mzee wa Madrassatul Abraar ambae pia ni member wa JF kwenye group la kuwezeshana ujenzi zilizonifurahisha sana na nikajiuliza, hawa wazee wa Madrassa wamempiku hatua moja Mama Samia Suluhu? Mama Samia Suluhu juzi alipokuwa akiwaapisha Makatibu Tawala alisema "asilimia...
  11. B

    Wazazi wa Azory Gwanda watuma barua kwa Rais Samia Suluhu Hassani

    04 June 2021 Baada ya kauli za kupingana kati ya ile ya waziri Prof. Palamagamba Kabudi wa serikali ya Tanzania alipohojiwa na BBC Swahili na ya msemaji wa Mkuu serikali ya Tanzania Dr. Hassan Abbas kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda hapo mwezi November 2017. Msemaji wa...
  12. Baraka Mina

    DONDOO & NUKUU: ALIYOYASEMA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA UAPISHO WA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA NA WAKUU WA TAASISI.

    Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Samia Suluhu Hassan leo jumatano Juni 02, 2021 amewaapisha makatibu tawala wa mikoa (RAC) pamoja na wakuu wa taaisisi katika hafla iliyofanyika katika ikulu ya Chamwino jijini Dodoma. Zifuatazo ni dondoo na nukuu kutoka katika hotuba ya...
  13. Replica

    Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  14. Poppy Hatonn

    Sera ya 'Maridhiano' ya Samia Suluhu inarudisha wizi Serikalini

    Watanzania wanajua rais wanayemtaka. Wanataka rais ambaye ata- sacrifice maisha yake kulinda rasilmali za nchi lakini hapa tunaye rais anayeongea kuhusu maridhiano na anawawezesha watu kuiba tena. Si ndio maana watu walikuwa wanauliza kama mwanamke anaiweza hii kazi ya urais. Rais hachaguliwi...
Back
Top Bottom