Jambo ambalo lipo wazi hakuna watu WAONGO kama polisi wa Tanzania na ni kama uongo wao unalindwa na sheria .
Changamoto nyingine Polisi wengi wa Tanzania ni form four failures just as Muliro Jumanne . Nadhani kwa sasa tuna degree holders wengi tutoke kwenye form four failures !
Hatujaona...
Wengi wetu, wazazi wetu walishatangulia mbele za haki. Kwa hiyo tunabaki tunayaishi yale mafundisho mazuri waliotuelekeza na kama kuna ambao hawakutuelekeza, basi tunafundishwa na dunia. Lakini ni siku nzuri kujadili masuala ambayo pengine ni ya msingi sana mustakabali wa taifa, jamii, familia...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Katambi amempa onyo kali sana kwa Msanii Afande Sele baada ya kujirekodi video akitoa kauli pia akimwambia asifanye mzaha.
Soma Pia: Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga
Wote tunajua Dudu baya anapinga ushoga kwa kauli mbiu ya You better watch your back
Afande amekosea kitendo cha Waziri wa mambo ya ndani, kuwaita mashoga kwamba ni Wasanii na akawaita wakutane naye. Humo humo kwenye mashoga akaita na wasanii ambao ni kioo cha jamii. Pia kuna watu si wasanii...
Hii ya Leo Kali, yaani AFANDE Mafwele amempa dhamana Advocate Madeleka na kuaidi kumpeleka nyumbani kwake Leo kabla ya saa sita usiku, hii ni kweli, 😅 siamini ILA Kuna msemo usemao shetani akizeeka uwa anakuwa Malaika.
Naomba kuwajuza tu, Madeleka yupo salama salimini mikononi mwa Mafwele sjui...
Msanii wa Bongo Fleva Selemani Msindi(Afande Sele), amesema Tarehe 7/7/2026 kulikuwa na Utulivu sio amani.
Amesisitiza watu wapewe kilichofanya watake kuandamana.
Kasema wanaingiziwa Posho na Mishahara ndo Wanasema kulikuwa na amani. Lakini wanaotegemea miguu ili kula wanasema kulikuwa na...
Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar.
Alafu tunaumizwa sana. Maana utekaji umekuwa ukiumiza amani ya mioyo ya watu.
Angalia tukio la Sativa. Kwenda kutupwa porini na...
Kabla ya mkutano wa Berlin dola ya Ottoman ilitawala Misri na Sudan. Kwa kituruki neno bwana au Sir ni Effendi. So askari wao wenye vyeo walikuwa adressed kama Effendi. Askari wa Sudan wakaingiza neno hilo Uganda, Kenya na Africa mashariki. Effendi ya Kituruki likawa Afande ya kiswahili.
Hbr za muda wakuu wangu ! ...ni kweli nimeadimika sana humu ndani ila tupo pamoja ni majukumu ya kitaifa na shughuli zangu binafsi vinanibana sana hadi kukosa muda wa kuja kuwatembelea na kuwa tia moyo kwa yale mnayo yapitia us individual au groups poleni san wanangu ama hakika Mungu yupo...
Machache kuhusu mamba
Ingawa mamba ana meno mengi na yenye nguvu, meno hayo hayajajengwa kwa ajili ya kusaga au kutafuna chakula; badala yake, hutumika kwa ajili ya kukamata, kushikilia, na kurarua mawimagumu
Hapa kuna mambo muhimu kuhusu jinsi mamba anavyokula:
Kumeza Mazima: Kama windo ni...
Afande amesema itakapotea msafara wa Rais ukakutana na gari ya kubeba wagonjwa basi msafara wa Rais utaendelea ila gari ya wagonjwa itasimamishwa.
Na amesema kwa sekunde hizo aziwezi kuondoa uhia wa mgonjwa na hata akifariki basi itakuwa siku yake imefika. Maana wao wapo kwaajili ya kumlinda...
WATU PORI - USINICHUKIE
Afande sele.( Verse)..
"inshallah kama umenisamehe
Kama bado basi Ewallah
Yote namuachia Allah
Kwani tulipo , Tupo kwa vile ametaka Tuwepo/
Anatupenda Sawa sawa kabisa/
Wote anatupa Mvua,misikiti na makanisa/
Na wote anawapa jua masikini na Wenye pesa/
Kama kuvuta...
Mlinzi mmoja wa usalama jijini Houston amepata heshima kubwa mitandaoni baada ya video kuonyesha akipambana na wanaume wawili tofauti—mmoja baada ya mwingine—na kuondoka akiwa amesalimiana nao kwa mikono, badala ya kuwakamata au kuwafunga pingu.
Tukio hilo lilitokea karibu na gari la chakula...
Imetoka kwenye official page ya X-Twitter ya Hilda Newton
===============================================
TAARIFA KUTOKA KWA MMOJA WA POLISI MWANDANI WETU OYSTERBAY POLICE STATION - DSM
Kuna ofisa wa Jeshi la Polisi anaitwa Hamza, anashikiliwa kituo cha Polisi Oysterbay tangu Novemba 6...
Asajile Mwanjala amechukuliwa usiku wa jana Kijiji cha Ihemi kata ya Mgama, Nimeongea nae amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda na Afande Razaro Polisi wa Iringa mjini. Fikeni hapo kituoni Ifunda haraka.
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu imeendelea tena leo, Jumatatu Oktoba 06.2025 kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam chini ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Danstan Ndunguru
Kesi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.