samia suluhu

Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. Getrude Mollel

    Serikali kutumia Bil. 169/- kujenga VETA 60 nchi nzima

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imewekeza Tsh 169bn/- kwenye ujenzi wa vyuo vya ufundi (VETA) 60 nchi nzima.
  2. Getrude Mollel

    Rais Samia Suluhu anafanya makubwa sekta ya usafiri wa anga

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali ya Rais Samia Suluhu imetenga Sh. 86.1bn/- kwa ajili ya ujenzi na marekebisho ya viwanja vya ndege mbalimbali nchi nzima. Lengo ni kuboresha sekta ya usafiri wa anga na pia kuimarisha sekta ya utalii ambayo imekuwa ikichangia kiasi kikubwa sana cha fedha...
  3. L

    Kauli na matendo ya Rais Samia yameituliza nchi na kuwaunganisha Watanzania katika kuijenga Tanzania Yetu

    Ndugu zangu Ni Ukweli usiopingika kuwa Mama yetu mh Samia alichukua nchi katika wakati ambao nchi na wananchi walikuwa wamegawanyika,. Mama alikuta watanzania wengine wakijihisi kuwa hawana nafasi katika ujenzi wa nchi hii, wakijihisi kutengwa, ilifika muda maeneo...
  4. saidoo25

    Viongozi wanaojikweza alioomba Rais Samia tuwataje

    Wana Bodi Rais wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Njombe ametuomba watanzania kumpatia orodha ya wateule wake ambao wanajikweza na hawatekelezi kikamilifu majukumu yao kwa mujibu wa viapo vyao ili aweze kuwachukua hatua. Namba tutumie fursa hii tutaja majina ya viongozi ambao...
  5. Rashda Zunde

    Mafuriko ya watalii nchini, nampongeza Rais Samia Suluhu

    Tanzania kama ilivyo baadhi ya mataifa, imejaliwa kuwa na vivutio mbalimbali vya utalii ikiwemo Hifadhi ya Ngorongoro ambayo inatajwa kuwa miongoni mwa zilizo katika maajabu saba ya dunia kwa kuwa na wanyama adimu duniani. Filamu ya Royal Tour inaonesha vivutio vya utalii vilivyoko Tanzania...
  6. N

    Mambo aliyoyafanya Rais Samia Suluhu yanayomgusa moja kwa moja Mtanzania

    Haya ni baadhi ya mambo yaliyofanywa na Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan; Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo mengi sana likiwemo lile la elimu bure kutoka primary mpaka advance pia amesema kwa wanafunzi wa kidato cha sita watakao faulu vizuri masomo ya sayansi watapata ufadhili wa...
  7. Peter Madukwa

    Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassani, amemteua Meja Jenerali Suleimani Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara na kutengua uteuzi wa Dr. Raphaeli Chegeni. Kabla ya uteuzi huo, Meja Jenerali Suleimani Mzee alikuwa Kamishina Jenerali wa...
  8. Jesusie

    KINANA: Rais Samia anaongea polepole ila matendo yake ni mazito

    Chama Cha Mapinduzi kimesema licha ya Rais samia suluhu Hassan huzungumza polepole lakini vitendo vyake katika utekelezaji wa sera za maendeleo zimekuwa motomoto. Pia, serikali yake kwa muda mfupi imeaminika na kuheshimika kikanda na kimataifa. Matamshi hayo yametamkwa jana na Makamu...
  9. Getrude Mollel

    Tanzania ina maeneo 50 yanayoweza kuzalisha 5000MW za umeme wa joto ardhi (geothermal)

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imedhamira kwa dhati kuzalisha umeme Megawati 6000 hadi ifikapo mwaka 2025. Nishati hiyo itakuwa mchanganyiko endapo itazishwa na rasilimali tofati kama vile maji, upepo, jua na hojo ardhi. Katika kufanikisha hili kufikia azma hiyo, kupita...
  10. Mwanahabari wa Taifa

    Simiyu: Baada ya kutenguliwa Ukuu wa Mkoa, Kafulila amshukuru Rais Samia kwa kumpa nafasi ya kulitumikia Taifa

    Kafulila amshukuru Rais Samia, awaaga wananchi wa Simiyu Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila amemshukuru Rais Samia Suluhu kwa kumpa nafasi ya kulitumikia taifa. Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya...
  11. Monica Mgeni

    Rais Samia Suluhu Hassan na mfumo wa 'contrarian approach'

    Rais Mhe. SAMIA SULUHU HASSAN anatumia mfumo wa 'Contrarian approach' kwenye teuzi ambao kisiasa unawapa fursa Viongozi wa juu kufanya uamuzi ambao hautarajiwi na wananchi walio wengi, Mfumo huu umetajwa kuwa ni mzuri katika kupata matokeo ya haraka na yanayotarajiwa na kiongozi husika. Hivi...
  12. Getrude Mollel

    Serikali ya Rais Samia yatenga tsh. Bil 83.4/- kuinua wachimbaji wadogo nchi zima

    Waziri wa Madini Mh. Doto Biteko chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza neema kubwa kwa wachimbaji wadogo nchi nzima. Neema ambayo inakwenda kuwakomboa kabisa kimaisha. Hatua hii imekuja baada ya kuonekana kwamba wachimbaji wadogo na sekta nzima ya madini imekuwa na mchango mkubwa sana katika...
  13. Getrude Mollel

    Sio mafuta tu, Rais Samia Suluhu aweka ruzuku na kwenye mbolea

    Serikali imetenga Bil 150 kugharamia ruzuku ya mbolea itakayotolewa kwa wakulima nchini kwa ajili ya kupunguzwa makali ya bei ya mbolea. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua mpango wa utoaji wa ruzuku ya mbolea katika kilele cha maonyesho ya Nanenane, yatakayofanyika mkoani Mbeya...
  14. Getrude Mollel

    Magufuli akifufuka atampongeza sana Samia Suluhu kwa haya anayofanya

    Ikitokea JPM anafufuka leo na kukuta mambo ambayo Rais Samia Suluhu anayafanya, basi atajawa na tabasamu kubwa sana usoni mwaka na kuona kweli aliacha mtu. Magufuli atakuta watumishi wa kima cha chini cha mshahara wameongezewa 23.3% kwenye mishahara yao kitu ambacho hajawahi kukifanya ndani ya...
  15. Getrude Mollel

    Nina sababu milioni 1 za kumsapoti Rais Samia Suluhu

    Ukimchukia au kama humpendi Rais Samia Suluhu uwe na sababu. Sio sababu tu, bali sababu za msingi ambazo unaweza kuzijengea hoja nzito na kila mja akakuelewa. Kimsingi Rais Samia ndani ya siku 495 za Urais wake, amefanya makubwa katika kila sekta, wazungu wanasema 'No stone left unturned'...
  16. Mwanahabari wa Taifa

    Je, ni kwanini leo mabenki yote ya biashara Tanzania hayataki kuikopesha Serikali kama ilivyokuwa wakati Hayati Rais Magufuli?

    Sikiliza hii kwa makini mpaka mwisho Serikali ya Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali kwake wanyonge imeendelea na jitihada zake za kuwapunguzia riba wakopaji wadogo wakati na wakubwa (MSEs, SMEs & Cooperate) Akihojiwa na kituo cha Utangazaji cha E-FM redio, Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe David...
  17. Roving Journalist

    Rais Samia, asema kuna mabadiliko makubwa zaidi yanafuata, ameanza na Jeshi la Polisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule wafuatao: 1. Inspekta Jenerali CAMILLUS MWONGOSO WAMBURA, kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) 2. Aliyekuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi (GP) SIMON NYAKORO SIRRO, kuwa Balozi Wa Tanzania Nchini Zimbabwe 3. Balozi...
  18. Getrude Mollel

    Rais Samia Suluhu Sh. Trilioni 2/- za IMF anaweza kuzitumia wapi?

    Bodi ya Shirika la Fedha Duniain (IMF) hapo jana iliidhinisha mkopo wa dola za Kimarekani Bilioni 1.046 ambazo ni sawa na shiliingi Trilini 2.4/- za kitanzania katika kipindi cha miezi 40 ili kusaidia katika kupambana na athari za viizotokana na vita ya Urusi na Ukraine. Huu mkopo Tanzania...
  19. Rashda Zunde

    Imani yangu kwa Rais Samia Suluhu

    Mimi ni miongoni mwa wanaoamini utendaji kazi wa Rais Samia Suluhu katika muda mfupi aliokaa madarakani, umefanikiwa kubadili taswira ya Taifa letu kiuchumi, kijamii, kidemokrasia na hata kuiletea heshima nchi yetu katika suala zima la utawala bora na haki za binadamu.
  20. M

    KWELI Samia Suluhu Hassan: Rais Magufuli anawasalimia, anasema tuchape kazi tulete tija kwa Taifa letu

    Leo, Machi 15, 2021 Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania ameanza ziara mkoani Tanga na akiwa kwenye kiwanda kimojawapo alichozindua kinachoshughulika na matunda wilayani Korogwe, alipata nafasi ya kusalimu wananchi baada ya kuombwa na mkuu wa mkoa wa Tanga ambapo alianza na salamu...
Back
Top Bottom