Mtandao wa Tigo uliongoza Kurekodi Majaribio Mengi ya Vitendo vya Udanganyifu mwaka 2023

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1706177175444.png

1706177209168.png

Ripoti ya Ribo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2023 kulikuwa na Majaribio ya Udanganyifu 21,788 katika Mikoa 29 huku Mkoa wa #Rukwa ukiongoza kwa majaribio 7,666.

Aidha, Mtandao wa #Tigo umeongoza kwa kurekodi idadi kubwa ya Majaribio ya Vitendo vya Udanganyifu ikiwa na Matukio 8,163 (38.5%), ukifuatiwa na #Airtel majaribio 6,580 (32.3%), Vodacom 2,876 (13.6%), TTCL 2,704 (12.7%) na Halotel 616 (2.9).

1706177241370.png

1706177267504.png

===========
 
Back
Top Bottom