Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Bukimau iliyopo Kata ya Bumilayinga, Halmashauri ya Mji wa Mafinga, Wilaya ya Mufindi, Kojak Emily Ungele (19), amefariki dunia katika tukio lililotokea usiku wa kuamkia Jumatatu, Juni 1, 2026, baada ya kile kinachodaiwa kuwa kushambuliwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema kuwa, zoezi la kubadilisha tahasusi na kozi za vyuo vya kati kwa wanafunzi waliohitimu kidato cha nne mwaka 2025 limeanza rasmi Aprili 11, 2026 na litahitimishwa Mei 10, 2026.
Prof. Shemdoe amesema hayo leo Aprili 11...
Mimi ni mwalimu wa Shule ya Sekondari katika Halmashauri ya Arusha DC.
Hivi karibuni wanafunzi wa kidato cha nne walifanya mitihani ya pre-mock, ambapo kila mwanafunzi alitozwa shilingi 12,000 kwa madai ya kugharamia usahihishaji wa mitihani hiyo.
Cha kushangaza na kusikitisha ni kwamba...
Anonymous
Thread
arusha
halmashauri
karibuni
katika
kidatokidatochanne
mimi
mitihani
mwalimu
sekondari
shule
shule ya sekondari
wanafunzi
Ni mmoja wa wazazi wa mtoto anae soma shule ya Sekondari Makurunge iliyopo mkoa wa Pwani, wilaya ya kisarawe kata ya Kiluvya.
Walimu wa shule hii ya Sekondari wameanzisha mradi binafsi wa kujenga hostel za kukaa wanafunzi hivyo wamekua wakilazimisha wanafunzi hasa wa kidato Cha pili na nne...
Anonymous
Thread
hostel
katika
kidatokidatochanne
kisarawe
kulazimishwa
makurunge
mimi
mkoa
mwanafunzi
mzazi
pili
sekondari
shule
shule ya sekondari
wanafunzi
Ufaulu Umepanda.
Futatilia hapa.
https://www.youtube.com/live/uwbLeIIRXOc?si=m-Iyj06qeAYHlPCl
Kupata Matokeo fungua link hii: https://matokeo.necta.go.tz/results/2025/csee/index.htm
---
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia...
Kwa mujibu wa Prof. Suleiman mjinga au mpumbavu hupimwa kwa namna anavyokubali jambo.
Ikiwa atakubali kila jambo analosikia huyo ni mpumbavu na ikiwa atahoji kila jambo kabla ya kuamini huyo si mjinga.
Sasa vijana wa Tanzania huamini kila jambo. Yaani wewe anzisha tu jambo lolote kisha sambaza...
Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne.
Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
Wanafunzi 595,816 wanatarajia kuanza mtihani wa kumaliza elimu ya sekondari kuanzia kesho Jumatatu, Novemba 17, 2025, ikiwa ni kukamilisha safari yao ya miaka minne.
Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kuketi hiyo kesho ni sawa na asilimia 65.63 ya wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na kidato...
Mnahamasisha maandamano hamjui wiki ijayo baada ya hiyo TAREHE yenu watoto wanatakiwa kufanya mitihani Kwa utulivu nchi nzima? Tumia akili mtanzania usiendeshwe na mihemko.
Ninaishi na kijana hapa kwangu anakaribia kuhitimu form 4
Tulishapanga akimaliza form 4 aende chuo, (sijaona faida ya form 6 nje ya kozi za afya)
Ninakumbuka enzi zangu nilipoteza sana muda baada ya kumaliza form 4 - ntaamka saa moja ntafanya kazi za nyumbani hadi saa tatu baada ya hapo hakuna...
Salaam!
Tumelalamika humu mara nyingi kwamba wasomi sasa ni wengi, tunaweza kuajiri polisi kwa kigezo Cha degree na wakatosha, sababu mtaani kuna wasomi wengi,
Sasa hili la kuajiri wagombea wa kisiasa wa Nafasi nyeti kabisa za juu wakiwa na Elimu ya kidato Cha nne failure tusirusu.
Yaani...
Mwalimu Makoba Open School inawakaribisha kufanya mitihani ya kujipima na mtihani wenu wa mwisho wa kidato cha nne, Sita na QT
Hakuna gharama yoyote katika mitihani hii.
Mambo Yaliyopo:
Utafanya mtihani
Utasahihishwa
Utafanyiwa masahihisho na kuelekezwa namna bora ya kujibu mtihani wako...
Hizi ni ishara za kuwa na watu waliovimbewa na kujiona wanaweza kutuwekea vigezo vya uongozi kulingana na sifa za wanafamilia wao. Hivi kweli Mtunga sera, mchambuzi wa maswala ya kijamii na mtetezi wa katiba ya nchi awe anajua kusoma na kuandika pekee huku Karani mwongoza wapiga kura awe na...
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa maana mwaka mmoja Certificate na mwaka wa pili Diploma.
Hili ni jambo jema swali langu ikiwa...
Achana na ufaulu kwakuwa unaweza kuchora duara na bado mambo yako yakawa supa sana.. Kikubwa uwe kada mtiifu halafu usiwe mchoyo...! Halafu ujue kuwanyenyekea wakubwa!
Kule kwa wavimba macho na wengineo wameweza kutoboa kwa sababu engine haikuwa mbovu... Walihakikisha ofisi kubwa inakamatwa na...
Kama umepoteza cheti cha kidato cha nne na 6 naweza kukusaidia mchakato wa maombi na ukapata ndani ya siku 40 za kazi bila longolongo
Kwa msaada zaidi njoo dm
Jamani naomba nisaidieni location ya ofisi ya polisi wanapofanyia usaili (kuanzia kesho) kwa watu wa kidato cha nne na sita wilaya ya ilala. siku na muda kamili kwa ziada ya maelezo nitashukuru
SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itakayomwandaa kuwa na utaalamu stahiki katika maisha yao ya baadaye.
Utaratibu huo umeanza Machi 31 hadi Aprili 30 mwaka huu.
Akizungumza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.