Hongera Rais Samia kwa hotuba fupi inayotoa mwanga kuhusu maono ya serikali yako kwa mwaka, 2024

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
880
4,125
Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi.

Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa umeme ni jambo lakuponhezwa

Kikubwa zaidi ambacho ningeomba ukiongeze kuelekea 2024 ni ukali dhidi ya wateule wako. Wengi wamechukulia heshima na uvumilivu unaowapa wateule wako kama upole. Nafahamu upole una tija ila kwa Tanzania ambayo tunataka kukimbia tunapaswa kukimbizwa. We are to slow kwenye kazi, tumerelux sana na sasa tunahitaji kuchapwa viboko bila kujali umri.

Nikutakie kila la kheri kufikia malengo yako 2024
 
Hakuna maendeleo yoyote kama wenye nchi hawapo huru , mara kutekwa ,mara kupigwa na marisasi ,
2024 ni mwaka wa rahana kuu kwa utawala wa ccm hata mkitubu haitasaidia asema Bwana

Jiandaeni na ghalika toka pande za dunia .

Ni mwaka wa Watanzania shikana sana maana Bwana asema vilio ,majonzi vitatawala katika koo zenu ,familia zenu msipo shikamana.

Baadhi ya watumishi hasa Walim na waina iyo watafanya usaliti mkubwa tena kwa matanzania wenzao.

Viongozi wengi nje ya ccm watafanyiwa zengwe sana ila watashinda.

Ni mwaka wa kufunga mkanda na kujaa ujasiri ili kabiliana na yote yajayo ya kheli na ya uzuni , na imekua
 
Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi.

Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa umeme ni jambo lakuponhezwa

Kikubwa zaidi ambacho ningeomba ukiongeze kuelekea 2024 ni ukali dhidi ya wateule wako. Wengi wamechukulia heshima na uvumilivu unaowapa wateule wako kama upole. Nafahamu upole una tija ila kwa Tanzania ambayo tunataka kukimbia tunapaswa kukimbizwa. We are to slow kwenye kazi, tumerelux sana na sasa tunahitaji kuchapwa viboko bila kujali umri.

Nikutakie kila la kheri kufikia malengo yako 2024
MAONO ni KATIBA MPYA na TUME HURU ya UCHAGUZI

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi.

Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa umeme ni jambo lakuponhezwa

Kikubwa zaidi ambacho ningeomba ukiongeze kuelekea 2024 ni ukali dhidi ya wateule wako. Wengi wamechukulia heshima na uvumilivu unaowapa wateule wako kama upole. Nafahamu upole una tija ila kwa Tanzania ambayo tunataka kukimbia tunapaswa kukimbizwa. We are to slow kwenye kazi, tumerelux sana na sasa tunahitaji kuchapwa viboko bila kujali umri.

Nikutakie kila la kheri kufikia malengo yako 2024
Hatari sana
Screenshot_20231231_232221.jpg

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi.

Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa umeme ni jambo lakuponhezwa

Kikubwa zaidi ambacho ningeomba ukiongeze kuelekea 2024 ni ukali dhidi ya wateule wako. Wengi wamechukulia heshima na uvumilivu unaowapa wateule wako kama upole. Nafahamu upole una tija ila kwa Tanzania ambayo tunataka kukimbia tunapaswa kukimbizwa. We are to slow kwenye kazi, tumerelux sana na sasa tunahitaji kuchapwa viboko bila kujali umri.

Nikutakie kila la kheri kufikia malengo yako 2024
Sio kwamba hotuba fupi, actually Hana cha maana cha kuwaambia wa Tz. Automatically lazima hotuba iwe fupi. Ila mna moyo sana mliopoteza muda wenu kumsikiliza.
 
Ameongelea dialysis centre...
Tuko hapa wataalamu lakini dili zinakwenda kwa wapigaji....
Tunaweza kuwa na hii huduma kila hospitali ni gharama ndogo sana kwa wataalamu tunavyojua lakini mchwa ni wengi kwenye kichuguu....
 
Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi.

Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa umeme ni jambo lakuponhezwa

Kikubwa zaidi ambacho ningeomba ukiongeze kuelekea 2024 ni ukali dhidi ya wateule wako. Wengi wamechukulia heshima na uvumilivu unaowapa wateule wako kama upole. Nafahamu upole una tija ila kwa Tanzania ambayo tunataka kukimbia tunapaswa kukimbizwa. We are to slow kwenye kazi, tumerelux sana na sasa tunahitaji kuchapwa viboko bila kujali umri.

Nikutakie kila la kheri kufikia malengo yako 2024
Naunga mkono hoja
P
 
Ndugu Teknocrat ,naomba umwage hapa jinsi ya kuwa na dialysis centre,tutachukua hatua madhubuti kwa ajili ya maslahi mapana ya Watanzania
 
Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi.

Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa umeme ni jambo lakuponhezwa

Kikubwa zaidi ambacho ningeomba ukiongeze kuelekea 2024 ni ukali dhidi ya wateule wako. Wengi wamechukulia heshima na uvumilivu unaowapa wateule wako kama upole. Nafahamu upole una tija ila kwa Tanzania ambayo tunataka kukimbia tunapaswa kukimbizwa. We are to slow kwenye kazi, tumerelux sana na sasa tunahitaji kuchapwa viboko bila kujali umri.

Nikutakie kila la kheri kufikia malengo yako 2024
Wa kupongezwa ni wewe unayeweza kuacha mambo mengine na kusikiliza ngonjera na maigizo ya Mzanzibari
 
Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi.

Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa umeme ni jambo lakuponhezwa

Kikubwa zaidi ambacho ningeomba ukiongeze kuelekea 2024 ni ukali dhidi ya wateule wako. Wengi wamechukulia heshima na uvumilivu unaowapa wateule wako kama upole. Nafahamu upole una tija ila kwa Tanzania ambayo tunataka kukimbia tunapaswa kukimbizwa. We are to slow kwenye kazi, tumerelux sana na sasa tunahitaji kuchapwa viboko bila kujali umri.

Nikutakie kila la kheri kufikia malengo yako 2024
Kato hotuba nzuri sana tena yenye kuanzisha mafanikio, Changamoto na nini kitafanyika.

Mama tayari keshaweza kushika hatamu vilivyo.

View: https://www.instagram.com/p/C1h5wizIrhm/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
 
na kudhibiti kukati kwa umeme ni jambo lakuponhezwa
Kwa hii comment inaonesha wazi weweni walewale tu(mapambio).

Hali ya umeme ni mbaya na tunapata hasara kubwa kwenye shughuli zetu wewe unasifu Kwamba eti AMEDHIBITI...!!.

Hizi njaa zenu zitaiangamiza hii nchi.
 
Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi.

Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa umeme ni jambo lakuponhezwa

Kikubwa zaidi ambacho ningeomba ukiongeze kuelekea 2024 ni ukali dhidi ya wateule wako. Wengi wamechukulia heshima na uvumilivu unaowapa wateule wako kama upole. Nafahamu upole una tija ila kwa Tanzania ambayo tunataka kukimbia tunapaswa kukimbizwa. We are to slow kwenye kazi, tumerelux sana na sasa tunahitaji kuchapwa viboko bila kujali umri.

Nikutakie kila la kheri kufikia malengo yako 2024
Chama Cha Majizi, kuna wizi mkubwa serikalini na kwenye mashirika ya umma lakini hamna anayewajibishwa
 
Kwa mwaka 2024 kuna mambo ambayo serikali imejiwekea kuyafanyia kazi kwa lengo la kuboresha huduma lakini pia kukuza uchumi.

Kujenga miundombinu ya elimu na afya ni lengo la kila mwananchi. Lakini pia kufungua njia ya uchumi kwa kuanza kutoa huduma kwa SGR 2024 sambamba na kudhibiti kukati kwa umeme ni jambo lakuponhezwa

Kikubwa zaidi ambacho ningeomba ukiongeze kuelekea 2024 ni ukali dhidi ya wateule wako. Wengi wamechukulia heshima na uvumilivu unaowapa wateule wako kama upole. Nafahamu upole una tija ila kwa Tanzania ambayo tunataka kukimbia tunapaswa kukimbizwa. We are to slow kwenye kazi, tumerelux sana na sasa tunahitaji kuchapwa viboko bila kujali umri.

Nikutakie kila la kheri kufikia malengo yako 2024
Kinachotoa mwanga ni maamuzi na siyo hotuba
 
Back
Top Bottom