Rais Samia kutoa Hotuba ya mwisho wa mwaka 2023 kwa Wananchi, saa 3:00 usiku

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,675
59,778
Leo saa tatu usiku kutakuwa na hotuba ya Mh. Rais Samia. Hotuba ya kufunga mwaka
319405ad-9d57-4438-a65f-90992384442d.jpg
 
Ataongea kichawa zaidi badala ya u-address issues leading to solutions of our problems as a nation.

Hana skills za kuhutubia taifa kwahiyo sitarajii jipya lolote toka kwake.
 
Back
Top Bottom