mchanganuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Ni kweli kutokana na Sera za PBS, Peter wa Royal Tour hakutakiwa kulipwa hata senti 5? Mchanganuo wa Bil. 7 zilizotumika ukoje?

    Wakuu Kwema? Nimekutana na habari X huko inasema kutokana na Sera za PBS (Public Broadcasting Service) wanaofanya kipindi cha Royal Tour, Peter hakutakiwa kulipwa pesa yoyote kutoka serikali ya Tanzania, sababu uhusika wake unakuwa umelipiwa kutoka kwa ufadhili wa kampuni kwenye kipindi...
  2. Tommy 911

    Mchanganuo wa biashara ya vitumbua

    Habarini wana jf. kam kichwa kinavyosem nahitaji kujua mchanganuo wa hii biashara ikiwemo mtaji na ushauri mwngne. Asanteni
  3. Masokotz

    Mchanganuo wa Kuanzisha TRADING COMPANY

    Habari za wakati huu; Ni matumaini yangu kwamba unendelea salama na shughuli zako za ujenzi wa Taifa. Leo nimeleta Mjada kuhusu aina ya Biashara inayohusisha zaidi na Ununuaji na Uuzaji wa bidhaa na huduma.Biashara hii ambayo ni biashara maarufu zaidi ulimwenguni huwa inahusisha mnunuzi...
  4. Masokotz

    Fahamu Kuhusu Mchanganuo wa biashara

    Mchanganuo wa biashara ni hatua muhimu katika mchakato wa kuanzisha au kuendeleza biashara. Inahusisha uchambuzi wa kina wa mambo mbalimbali yanayohusiana na biashara yako, na inaweza kusaidia kutoa mwongozo wa kufanikiwa kwa biashara yako. Unaweza kuwa na mchanganuo wa biashara ambayo tayari ni...
  5. K

    Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie HD/4K

    Habari ya uzima wana jamii forum Naomba msaada juu ya mchanganuo wa kufungua library classic ya movie na series HD/4K ipoje na imekaaje soko lake kwa sasa. 1. Mahitaji kiujumla 2. Faida na hasara(changamoto) 3. Ushauri na maoni yanapokelewa Naomba msaada wenu
  6. Meneja Wa Makampuni

    Mchanganuo wa bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa Mei 2022

    Kwanza, kuna gharama za mafuta ambayo ni bei ya mafuta katika soko la dunia na gharama ya uagizaji wa mafuta hayo inayojumuisha gharama za usafirishaji, bima na faida ya mletaji wa mafuta (supplier). Katika bei za Mei 2022 gharama hizi zilikuwa ni kama ifuatavyo: (i) Petroli – bei ya soko la...
  7. R-K-O

    Mwajiriwa nataka nifungue biashara ya ps, mchanganuo wangu huu hapa, naombani mnirekebishe na kunipa ushauri

    Habari zenu, Nimechoka kusubiri mshahara wa kila mwezi nimeona nijiongeze, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya Ps nipo Mbeya. naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine MCHANGANUO WANGU MTAJI WA KUANZIA PS4 nne zenye games 2,500,000 tv nne 1,500,000 pad...
  8. Mhina Martin

    Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa

    Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa Kwa duka la vyakula Yaan vitu vya nyumban na mitandao Ya Pesa Frames Location mkoani ,Mtaji 3.5M Nipate Picha wa mchanganuo wa bidhaa Kwa Mtaji huo wa 3.5M ukiondoa shelfu Zipo,mizani ,meza,kiti na Frizer ziko...
  9. saidoo25

    Wabunge unganisheni nguvu muitake Serikali iwasilishe Bungeni mchanganuo wa fedha ilizokopa nje

    HILI suala la mikopo tusipoliangalia litugawa kama Taifa, alianza Ndugai tukaona ni utani akapoteza nafasi ya Uspika, akaja kulizungumzia bungeni Luhaga Mpina naye akapoteza nafasi ya kuteuliwa kugombea nafasi ya NEC aliyoomba kupitia CCM. Akazungumza tena bungeni Oran Njeza Mbunge wa Mbeya...
  10. dongbei

    Msaada: Mchanganuo wa gharama za kujenga poles/nguzo na slab ya juu chumba cha 2.5m*2.8m size

    Poleni na mapambano wakuu. Twende kwenye mada, nahitaji kujenga chumba kimoja chenye size tajwa hapo juu. Halafu baadae nitajenga chumba/rest room juu yake. Kinaunganishwa toka kwenye nyumba kubwa. Kwa maana ukuta mmoja itakuwa wa nyumba kubwa ambayo tayari ipo. Naomba kufahamu uchanganuzi wa...
  11. Suley2019

    Mchanganuo wa bei za vifurushi vya mitandao mbalimbali

    Tazama hapa mchanganuo wa bei za vifurushi kwenye mitandao mbalimbali nchini
  12. Black Thought

    Unaweza kujenga “Apartment” yenye nyumba tano kwa mchanganuo huu

    Habari wakuu. Hapa nimeleta mchanganuo wa KuJenga Apartment yenye nyumba Tano (mbili za vyumba viwili, sebule, jiko na Choo na Tatu za chumba kimoja, sebule, jiko na choo) Tofali za msingi = 2856 (kwa kozi sita) Tofali za Boma = 5015 Bati (za 0.9m X 3m) = 175 pc Nime’attach picha yenye...
  13. Mwande na Mndewa

    Ndugu Nape pokea mchanganuo wangu wa dola 9 billioni alizokula Magufuli

    NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM. Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo...
  14. Southern Giant

    Kwanini sadaka katika nyumba za ibada hazitolewi mchanganuo wa matumizi?

    Habari zenu wakuu, Naomba kupata muongozo katika hili. Katika nyumba za ibada makusanyo ya sadaka huwa wanasema ni kiasi kadha lakini linapo kuja swala la matumizi hawatolei mchanganuo wa matumizi ya pesa hizo. Je, kuna ubadhilifu nyuma ya hili?
  15. makofia360

    Mchanganuo kwa mwenye uelewa

    Nilimsikia waziri mwenye dhamana na Wizara ya mambo ya ndani ambaye alitangaza kuhusu mh Rais kutoa Ajira katika idara mbali mbali za Mambo ya ndani Akasema Uhamiaji wamepewa 350 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamepewa 250 Magereza 700 Na polisi 1000 Jumla wizara nzima 2300 Kabla ya hapo IGP...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Royal Tour: Serikali itoe mchanganuo wa gharama

    Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa? Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi. Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi...
  17. From Sir With Love

    Usitume mchanganuo wa malipo yako ya LUKU hapa jamvini kama hutaki kujulikana kirahisi

    Baada ya kuanza kulipia kodi ya majengo kwenye mfumo wa LUKU, watu wengi hapa jamvini wamekuwa wakipost screenshot au mtiririko wa sms waliyolipia LUKU ikionyesha makato. Kitu walichosahau wakati wanatuma hizo screenshot au mtiririko wa malipo, ni kwamba wameanika LUKU meter number zao kwa kila...
  18. Kasomi

    TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

    Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami. Rejea hapa. LUKU 37212843355 990022123320138178 1.5KWH 0029 2493 0496 3524 7260 Cost 409.84 VAT 18% 73.77 EWURA 1% 4.10 REA 3% 12.29 Debt Collected 4,500.00 TOTAL 5,000.00 Kweli Umeme...
  19. Black Thought

    Bado unawaza utaanzaje ujenzi? Anza na hii kwa mchanganuo huu

    Bado unajiuliza unaanzaje ujenzi? Unaweza kuanza na ramani kama hii ya vyumba vitatu (master, self, na plain bedroom) kujenga. KUJENGA BOMA tofali (jumla) ...... Tsh. 3,100,000 mchanga ......... Tsh. 300,000 saruji ................ Tsh. 1,500,000 kokoto ..................Tsh...
Back
Top Bottom