mchanganuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwande na Mndewa

    Ndugu Nape pokea mchanganuo wangu wa dola 9 billioni alizokula Magufuli

    NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM. Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo...
  2. Southern Giant

    Kwanini sadaka katika nyumba za ibada hazitolewi mchanganuo wa matumizi?

    Habari zenu wakuu, Naomba kupata muongozo katika hili. Katika nyumba za ibada makusanyo ya sadaka huwa wanasema ni kiasi kadha lakini linapo kuja swala la matumizi hawatolei mchanganuo wa matumizi ya pesa hizo. Je, kuna ubadhilifu nyuma ya hili?
  3. makofia360

    Mchanganuo kwa mwenye uelewa

    Nilimsikia waziri mwenye dhamana na Wizara ya mambo ya ndani ambaye alitangaza kuhusu mh Rais kutoa Ajira katika idara mbali mbali za Mambo ya ndani Akasema Uhamiaji wamepewa 350 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wamepewa 250 Magereza 700 Na polisi 1000 Jumla wizara nzima 2300 Kabla ya hapo IGP...
  4. Kipenzi Changu

    Royal Tour: Serikali itoe mchanganuo wa gharama

    Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa? Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi. Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi...
  5. From Sir With Love

    Usitume mchanganuo wa malipo yako ya LUKU hapa jamvini kama hutaki kujulikana kirahisi

    Baada ya kuanza kulipia kodi ya majengo kwenye mfumo wa LUKU, watu wengi hapa jamvini wamekuwa wakipost screenshot au mtiririko wa sms waliyolipia LUKU ikionyesha makato. Kitu walichosahau wakati wanatuma hizo screenshot au mtiririko wa malipo, ni kwamba wameanika LUKU meter number zao kwa kila...
  6. Kasomi

    TANESCO na TRA Huu ni wizi wa kiwango cha lami

    Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami. Rejea hapa. LUKU 37212843355 990022123320138178 1.5KWH 0029 2493 0496 3524 7260 Cost 409.84 VAT 18% 73.77 EWURA 1% 4.10 REA 3% 12.29 Debt Collected 4,500.00 TOTAL 5,000.00 Kweli Umeme...
  7. Black Thought

    Bado unawaza utaanzaje ujenzi? Anza na hii kwa mchanganuo huu

    Bado unajiuliza unaanzaje ujenzi? Unaweza kuanza na ramani kama hii ya vyumba vitatu (master, self, na plain bedroom) kujenga. KUJENGA BOMA tofali (jumla) ...... Tsh. 3,100,000 mchanga ......... Tsh. 300,000 saruji ................ Tsh. 1,500,000 kokoto ..................Tsh...
  8. Suley2019

    Picha: Tazama mchanganuo wa nafsi katika lugha ya kiswahili na Kiingereza

  9. S

    Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Ufugaji wa Kuku wa Kisasa

    Wakuu Kwema? Nahitahi kumfungulia mtu Biashara ya Kufuga Kuku wa Kisasa, ambapo kwa Kuanzia tumekubaliana kwanza aanze na Box moja. Sasa nilikua naomba mchahngahnuo wa kimahesabu juu ya gharama za kuwafuga hawa Kuku 100. Sababu ndio kwanza anaanza ningeomba Mchanganuo huo uwe katika mtiririko...
  10. GENTAMYCINE

    Wakati wana Yanga wakiwacheka wana Simba kwa Kutokufuzu, Mchanganuo huu Muhimu wa Alama unawahusu na wauelewe vyema pia

    Ufuatao ni Mchanganuo wa Alama wa kwanini Msimu ujao katika Michuano ya Kimataifa Tanzania inaingiza takribani Timu Nne. Simba SC imechangia Alama (Points) 24 kutokana na Kushiriki Kwake na Kufanya vyema kwa Kujitahidi Kufika hadi Robo Fainali kwa miaka Miwili. Namungo FC imechangia Alama...
  11. Shomary47

    Mchanganuo wa biashara ya kuingiza faida ya 150,000/= kwa siku/ 4,400,000 kwa mwezi

    Nawasalimu kwa jina la muungano wa Jamhuri ya Tanzania, Nimekua nikifatilia threads mbalimbali za biashara humu, Wengi naona wanasema ili kuingiza faida kubwa Kwa siku basi ni lazima Uwe na Mtaji Mkubwa, wengine walitoa mifano ya Anaemiliki duka la hardware ana mtaji nkubwa lakini hafikishi...
Back
Top Bottom