wazoefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Wazoefu naomba mnisaidie, nataka kuoa mwanamke wa kingoni, nini sifa zao kuanzia chumbani Hadi sebuleni?

    Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
  2. Pinda Nhenagula

    Kwa wafanyabiashara wa dhahabu wazoefu naomba ufafanuzi hapa

    Habari za wakati huu wanajulkwaa. Dhumuni kuu la kushusha uzi huu ni kupata muongozo juu ya biashara ya dhahabu naona ipo juu sana kwa bei kulingana na asilimia(%). Kwa hapa Buzwagi ndogo Igunga hali so poa kidogo vp huko ulipo uhali gani upepo wa mgodi na je kwa wale wazoefu au wakongwe wa...
  3. Y

    Wazoefu wa safari za Nairobi

    Habari za Jumapili wapedwa. Napenda kuuliza Wazoefu wa safari ya Nairobi kutokea Arusha. Mimi naitaji kuelekea West Land. Lakini sifahamu chochote. Kwanzia Nauli ya kwenda na kurudi. Gharama za hoteli rahisi na sehemu Salama. Pia chakula na hela nichanci nikiwa navuka kuingia Kenya? Msaada...
  4. LIKUD

    Hodi hodi Nachingwea: Wazoefu wa Nachingwea nipeni ABC za mji wa Nachingwea na vijiji vyake

    Kwema wakuu kama mnavyojua bado nipo kwenye ziara yangu ya mikoa ya kusini mwa Tanzania. Baada ya Newala na Mtwara na Masasi, ninaelekea Nachingwea nikitokea Masasi. Naomba watu mnaoijua Nachingwea vizuri mnipe ABC za wilaya ya Nachingwea na vijiji vyake. Mfano wenyeji wa Nachingwea ni kabila...
  5. Mganguzi

    Tuzo zinazotolewa kwa wasanii ndani na nje ya nchi huwa zinaambatana na zawadi za pesa taslimu? Ni kiasi gani?

    Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile tuzo ila huwa hawasemi thamani yake au fedha waliyopata kulingana na ushindi huo wa tuzo. Nataka pia...
  6. Gabby msafi

    Nina milioni 1, nawaza kufungua biashara kutuma na kutoa pesa. Je, inalipa?

    Nina 1.M nawaza kuwa Wakala wa kutoa pesa na ktuma pesa wazoefu inalipa kweli? Wenye experience na hii kazi Ina faida kweli
  7. Pascal Mayalla

    Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

    Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa...
  8. The bump

    Natafuta mafundi hawa Fundi Blandering, Fundi Gypsum, Fundi Skimming kwa wanaowajua wazoefu niunganisheni nao/nae

    Naombeni msaada ndugu zangu wa Mafundi wazuri wanaoweza kazi kwa bei nafuuu kabisa. Nyumba imeisha ila bado blandering, nyumba imepigwa plasta nnje na ndani ila bado haijafanyiwa skiming wala rangi. Nahitaji Fundi wa skiming na rangi kisha Blandering na Gypsum au Ceiling Board. Naomba...
  9. Mhina Martin

    Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa

    Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa Kwa duka la vyakula Yaan vitu vya nyumban na mitandao Ya Pesa Frames Location mkoani ,Mtaji 3.5M Nipate Picha wa mchanganuo wa bidhaa Kwa Mtaji huo wa 3.5M ukiondoa shelfu Zipo,mizani ,meza,kiti na Frizer ziko...
  10. Mwachiluwi

    Ushauri: Eneo gani kwa Dar linafaa kwa biashara ya car wash?

    Hello 👋 Natarajia kupata pesa kiasi, fulani sasa nilikuwa natamani kufungua biashara ya car wash. Napenda nijue ni eneo gani kwa Dar litafaa kwa car wash, na je, eneo hilo linakodishwa bei gani kwa mwezi? Pia vijana wa car wash wanalipwa bei gani kwa mwezi? Na vifaa vitanigharimu bei gani au...
  11. B

    LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

    Hoja hupingwa kwa hoja: Bandari zote bara zimeuzwa! Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
  12. Justine Marack

    Wazoefu wa mambo ya familia nipeni ushauri

    Huyu mwanamke tumekua kwenye mahusiano kwa zaidi ya mwaka. Katika kipindi hicho alikuwa anaishi kwao. Wakati tunaanza mahusiano alinieleza kuwa tayari ana mtoto wa kiume. Na kwasababu pia Mimi nilishapata Mtoto huko nyuma sikuona tatizo. Huyo mwanaye baba yake yupo na maisha yake mengine safi...
  13. B

    Nina Milioni moja: Shindano Nyimbo za Hamasa Katiba Mpya kwa wasanii chipukizi na Kongwe

    Mimi kama Mtanzania Mzalendo ninayependa Nchi yangu hii inayoongozwa na Mh Dr Rais Samia kwa sasa najitolea 1M cash kama mkulima tu wa mahindi hapa Dumila. Nawiwa kufanya hivyo ili kuvuta attention na hamasa kwa wananchi kuhusu ujio wa Katiba Mpya. Kwa kutambua umuhimu wa jambo lenyewe madai...
  14. Mcanada

    Nakosa usingizi kwa kuwaza hili jambo, Wazoefu naomba ushauri wenu

    Jamani wanaume wenzangu mimi mcanada nimeoa tayari mwanamke wa kichaga tuna miaka 6 kwenye ndoa na tumefanikiwa kupata watoto wawili katika harakati zangu za maisha nikafanikiwa kuja canada na baadae nikamvuta mke wangu na mtoto wetu wa kwanza wakafika canada na baada ya miaka miwili baadae...
  15. AbuuMaryam

    Changamoto nyingine kwa wazoefu na wataalamu kuhusu Binti yangu

    Binti yangu ana mwaka na miezi takribani miwili sasa yupo kakaa tu HATAMBAI... Ukimlaza atajigeuza geuza tu... Na hata ukimkaliza kwenye kochi anaweza kushuka na kuishia kusimamia tu miguu kwenye kochi... Anasimamia tu watu au vitu ila hatambai ukimlaza chini au ukimkaliza. Changamoto...
  16. R

    Wazoefu wa biashara ya parachichi nina swali

    Habari wakuu, Kuna mahali nataka kwenda kununua tani kadhaa za parachichi ila sasa huko kijijini wauzaji wanauza kwa kipimo cha ndoo (debe). Naomba kujua kwa wenye uzoefu, ndoo moja ya lita 20 ikijaa parachichi inaweza kuwa na wastani wa uzito wa kilo ngapi? Natanguliza shukrani.
  17. N

    Wazoefu naombeni mwongozo

    Ni matumaimi yangu wote wazima. Naombeni kujuzwa kwa kawaida inachukua muda gani kutoka siku ulipeleka barua ya posa ukweni mpaka siku ambayo utatakiwa kurudi kutoa mahari? Kama hakuna muda rasmi basi ile kibishi bishi unaweza ukawapiga kalenda wakwe kwa muda gani? Huyu binti siku moja...
  18. A

    Nataka kuconnect na Wataalamu wazoefu wa Interior design

    Kwa wale wataalamu na wazoefu wa interior design (commercial na villas) tuwasiliane, kampuni au freelancer
  19. IBRA wa PILI

    Nataka ingia kwenye biashara ya samaki

    Mambo vipi wakuu kichwa kinajieleza hapo juu nataka kwenda kwenye hiyo biashara. Mada kuu nikujua bwawa la mtera linafanya kazi kwa sasa? Mimi Nipo nje ya nchi Na je mtaji wake wa kuanzia changamoto zake n.k Zaidi sehemu ya kupata hao samaki nimeona ni bwawa mtera ndio pata nifaa.
  20. stevhinoz

    Kwa wazoefu wa Instagram na Facebook... Ni bidhaa gani zinauzika kwa haraka na uhakika ukiziweka uko kama winga?

    Naomba mawazo yenu mnaotumia Instagram na Facebook kuuza bidhaa. Kwa winga anaechukua vitu kariakoo ni bidhaa gani rahisi kuuzika ukiweka insta na FB alafu ukaipromote? Tusaidiane uzoefu, keki ni kubwa kila mtu walau apate kipande.
Back
Top Bottom