R-K-O
JF-Expert Member
- Jun 27, 2023
- 482
- 2,138
Habari zenu, Nimechoka kusubiri mshahara wa kila mwezi nimeona nijiongeze, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya Ps nipo Mbeya.
naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe mawazo mengine
MCHANGANUO WANGU
MTAJI WA KUANZIA
PS4 nne zenye games 2,500,000
tv nne 1,500,000
pad mtumba za ziada - 300,000
spea za kurekebishia padi - 200,000
viti 200,000
Chumba miez minne 800,000
ukarabati, kuchora, stabilizer, taa, n.k 500,000
cctv ipo tayari
Tin namba ya eneo la biashara - 0
Tax clearance ya Tra kodi ya kulipia kila baada ya miezi minne - 80,000
.
leseni ya biashara - elf 80 kwa mwaka
.
kibali cha afisa utamaduni na sanaa / gaming board - elf 20 kwa mwaka
Mtaji 6.180,000/=
.................................................................................................
MAPATO
Mechi moja dakika 10 shilingi 800
Naweza nikakadiria kila PS itachezeshwa masaa mawili kwa siku japo najua siku za weekend inazidi, hii inaleta elf 38 kwa siku, sawa na milioni 1 na laki 1 kwa mwezi
Mapato kwa mwezi 1,152,000
.............................................................
MATUMIZI
Kodi ya jengo - 200,000
Mshahara wa muhudumu 100,000
matumizi ya mhudumu(chakula, choo,usafiri) - 100,000
Luku - 30,000
TRA (80,000 gawanya miezi 4 - elf 20
Leseni (80,000 / miezi 12) - elf 7
Gharama zingine elf 23
Matumizi kwa mwezi 480,000
................................................................
FAIDA
1,152,000 - 480,000 = 672.000
Faida ya mwezi laki 6
...............................................................
Huu ni mchanganuo tu, naombeni mawazo ya ziada yaliyplenga uhalisia na uzoefu