Msaada: Mchanganuo wa gharama za kujenga poles/nguzo na slab ya juu chumba cha 2.5m*2.8m size

dongbei

Senior Member
Jan 18, 2013
151
140
Poleni na mapambano wakuu.

Twende kwenye mada, nahitaji kujenga chumba kimoja chenye size tajwa hapo juu. Halafu baadae nitajenga chumba/rest room juu yake. Kinaunganishwa toka kwenye nyumba kubwa. Kwa maana ukuta mmoja itakuwa wa nyumba kubwa ambayo tayari ipo.

Naomba kufahamu uchanganuzi wa material hasa ya nondo za kujengea nguzo kwa awamu ya kwanza i.e hadi level ya chumba cha kwanza(chini) nasema hivi kwa maana nakijenga kwa awamu. Nataka nianze chumba cha chini na baadae nitamalizia cha juu.

Pili, ghza arama ya nondo na cement za slab ya floor. Awamu ya kwanza nataka ikamilishe hadi slab. Hivyo naomba uchanganuzi wa gharama za vifaa hivyo hadi level hiyo. Ukipendekeza na material mfano ni nondo za aina gani zitumike kwa eeo lipi nitashukuru zaidi. Piaitu kama binding wire na stirrups, etc.

Natanguliza shukrani za dhati.

Dongbei!
 
Ningependa utumie NONDO mm16 , kokoto ambazo hazina udongo za inch1, penda ratio kali ili usije kukilaumu coz hautaibomoa 5ena
 
estimate halisi ya kaz kama hiyo ni bora ifanyike ukishaona site maana uangalie existing structure na hiyo structure unayo taka kujenga kwa uhalisia zaidi ili foundation iweze beba hicho chumba cha juu maana ni muhimu hata connection ya nymba hizo mbili zisipo angaliwa kwa ukaribu tangu awali inaweza tokea settlement na foundation ikaleta shida mm nko Moshi nitafute tufanye kaz chief 0783166050

narudia. nimuhimu kuona site kwanza kwa makadirio sahihi
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri, fundi yupo "fundi Michael". Lengo langu kuu nikufahamu material hasa ikiwezekana na mchanganuo wake. Ili nikianza kazi na fundi Michael niwe well informed asiniburuze au kujenga low standard.
 
Poleni na mapambano wakuu.

Twende kwenye mada, nahitaji kujenga chumba kimoja chenye size tajwa hapo juu. Halafu baadae nitajenga chumba/rest room juu yake. Kinaunganishwa toka kwenye nyumba kubwa. Kwa maana ukuta mmoja itakuwa wa nyumba kubwa ambayo tayari ipo.

Naomba kufahamu uchanganuzi wa material hasa ya nondo za kujengea nguzo kwa awamu ya kwanza i.e hadi level ya chumba cha kwanza(chini) nasema hivi kwa maana nakijenga kwa awamu. Nataka nianze chumba cha chini na baadae nitamalizia cha juu.

Pili, ghza arama ya nondo na cement za slab ya floor. Awamu ya kwanza nataka ikamilishe hadi slab. Hivyo naomba uchanganuzi wa gharama za vifaa hivyo hadi level hiyo. Ukipendekeza na material mfano ni nondo za aina gani zitumike kwa eeo lipi nitashukuru zaidi. Piaitu kama binding wire na stirrups, etc.

Natanguliza shukrani za dhati.

Dongbei!
Chumba 250cmx250cm kiko chini ya kiwango.
Au basi
 
standard ya chumba ni mita 3 kwa 3 kwendelea kinyume na hapo haifai kuwa chumba cha kulala
Ndio maana nikasema ...au basi.

Kuna tatizo kubwa sana kwa Watanzania.
Wanajifanya wataalam wa kila kitu.

Kabla hajataka ombi la makadirio alipaswa kuomba msaada au ushauri wa ki akiteki.

250cmx250cm hiyo ni sawa na stand ya tank tu.

Amewaza ngazi zitakaaje? Aaah
Endelea naye mkuu
 
Nashukuru mkuu kwa ushauri, fundi yupo "fundi Michael". Lengo langu kuu nikufahamu material hasa ikiwezekana na mchanganuo wake. Ili nikianza kazi na fundi Michael niwe well informed asiniburuze au kujenga low standard.
chief nikuambie kwa ushauri tu kutokana na maelezo yako usione kigorofa hata kachumba kamoja kamepanda ukafikiri nikupachika nondo na zege tu. kuna risk nyingi sana ndo maana ni vyema umpate mtaalam anayeijua kaz hiyo vizur maana garama ya kuvunja kitu na kukijenga upya ni kubwa mno kuliko kujenga kitu kwa ustadi mzur ni kushauri yafuatayo

1. kwanza hakuna chumba cha 2.5m kwa 2.8m duniani so muambie huyo fundi michael wako akujengee chmba standard kinachoanzia at least mika 3x3
2.tafuta mtaalam mlete site mpe picha ya unachotaka kukifanya muambie akutengenezee hata ka sketch kidogo na quotation ( idadi ya vifaa vinavyohitajika pamoja na bei). elewana nae kutokana na hiyo piece work unayotaka
Note. kaz za ufundi hazitaki janja janja garama ya kuvunja na kuanza upya ni kubwa zaidi kuliko kujenga kitu kizur. usichukulie poa taaluma za watu mlipe mtu muachane tutokana na makubaliano
3. mletee fundi michael wako vifaa kutokana na boq uliyotengenezewa. na hakikisha anafwata maelekezo aliyokushauri mtaalamu

kuna ujenz wa hovyo sana unafanyika kwa ajili ya kutokufwata protocol za kiufundi. trust me hata ukijenga banda la kuku km unapata protocol hautakaa wahi urundi nyuma kwa kubomoa au kujenga vitu vya ajabu ajabu
 
Ndio maana nikasema ...au basi.

Kuna tatizo kubwa sana kwa Watanzania.
Wanajifanya wataalam wa kila kitu.

Kabla hajataka ombi la makadirio alipaswa kuomba msaada au ushauri wa ki akiteki.

250cmx250cm hiyo ni sawa na stand ya tank tu.

Amewaza ngazi zitakaaje? Aaah
Endelea naye mkuu
Mkuu nashukuru kwa maoni yako, however ungesoma vizuri nilichoandika usingejichosha na kukosoa pasipo kosa. Sijasema ni chumba cha kulala. Ila umepatia lengo kuu kuweka tank la maji huko juu, chumba cha juu ni nimeeleza ni swhemu ya kupumzika tu. Chini ni store ya nje!
 
chief nikuambie kwa ushauri tu kutokana na maelezo yako usione kigorofa hata kachumba kamoja kamepanda ukafikiri nikupachika nondo na zege tu. kuna risk nyingi sana ndo maana ni vyema umpate mtaalam anayeijua kaz hiyo vizur maana garama ya kuvunja kitu na kukijenga upya ni kubwa mno kuliko kujenga kitu kwa ustadi mzur ni kushauri yafuatayo

1. kwanza hakuna chumba cha 2.5m kwa 2.8m duniani so muambie huyo fundi michael wako akujengee chmba standard kinachoanzia at least mika 3x3
2.tafuta mtaalam mlete site mpe picha ya unachotaka kukifanya muambie akutengenezee hata ka sketch kidogo na quotation ( idadi ya vifaa vinavyohitajika pamoja na bei). elewana nae kutokana na hiyo piece work unayotaka
Note. kaz za ufundi hazitaki janja janja garama ya kuvunja na kuanza upya ni kubwa zaidi kuliko kujenga kitu kizur. usichukulie poa taaluma za watu mlipe mtu muachane tutokana na makubaliano
3. mletee fundi michael wako vifaa kutokana na boq uliyotengenezewa. na hakikisha anafwata maelekezo aliyokushauri mtaalamu

kuna ujenz wa hovyo sana unafanyika kwa ajili ya kutokufwata protocol za kiufundi. trust me hata ukijenga banda la kuku km unapata protocol hautakaa wahi urundi nyuma kwa kubomoa au kujenga vitu vya ajabu ajabu
Asante sana mkuu, however;
1: Siyo chumba kwa ajili ya kulala, juu ni kupumzika na chini ni store. Slab ya juu kabisa ni tank la maji.

2: Ushauri mwingine wote unazingatiwa mkuu.

Bless!
 
Mkuu nashukuru kwa maoni yako, however ungesoma vizuri nilichoandika usingejichosha na kukosoa pasipo kosa. Sijasema ni chumba cha kulala. Ila umepatia lengo kuu kuweka tank la maji huko juu, chumba cha juu ni nimeeleza ni swhemu ya kupumzika tu. Chini ni store ya nje!
Chumba cha juu si kinategemea na size ya chini mkuu? Japo sio lazima vilingane.
Asante lkn
 
Hongera mkuu. Naona Unataka kutimiza ndoto ya kujenga ghorofa mkuu..nakumbuka zamani mama alikuwa ananambia kula ushibe ujue unijengee ghorofa
 
Nipe kazi nikufanyie from scratch mpaka slab.

Kuanzia Kitako(Basement) ,Column,slabs.

Materials yanayohitajika (BOQ).

Nipe roughly sketch ya ramani.
 
Screenshot_2022_1124_140314.jpg
 
Back
Top Bottom