Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa

Mhina Martin

Member
Apr 3, 2017
93
134
Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa Kwa duka la vyakula Yaan vitu vya nyumban na mitandao Ya Pesa Frames Location mkoani ,Mtaji 3.5M

Nipate Picha wa mchanganuo wa bidhaa Kwa Mtaji huo wa 3.5M ukiondoa shelfu Zipo,mizani ,meza,kiti na Frizer ziko tayari.

Yupi muuzaji/msimamizi atafaa zaidi kati kumuajir kijana wa kiume au kijana wa kike

Karibuni
Wadau mfunguke wazoefu walio kwenye hyo industry la Duka la Rejareja la vyakula Kwa Mbinu za kutosha Na ushauri
 
Aise biashara ya duka la rejareja ni biashara ambayo ninaifanya Mimi
Inalipa Sana mkuu mi nipo nayo mwaka wa pili huu lakini imeniinua Sana
Mtaji wa 3.5 Ni mtaji tosha kabisa tena utafanya biashara yako kwa upana zaidi kwa maelekezo haya hapa;
Location:hapa unatakiwa upate eneo lenye watu wengi wenye uhitajowa hudumu ili mzunguko uwe mkubwa
Muuzaji;kwa uhai wa biashara yako mkuu nakushauri muuzaji uwe wewe mkuu yaani hapo sina cha kuongeza
Cha mwisho usikae na hela ya mauzo hakikisha kila hela inayoingia unarudisha kwenye shelfu kwa kununua bidhaa
 
Ahsante Sana Kwa kunitia Moyo Ndugu,Nimepokea ushauri wako Na nimekuelewa Shida Location nzuri iliyochangamka Watu niliyoipata Iko kijiji Cha Tatu na Mimi ni mfanyakazi nafas yangu Ya kukaa dukan ni wikiend ambayo ni siku mbili tu , Hapo Ndo changamoto kumpata mtu Sahihi
Aise biashara ya duka la rejareja ni biashara ambayo ninaifanya Mimi
Inalipa Sana mkuu mi nipo nayo mwaka wa pili huu lakini imeniinua Sana
Mtaji wa 3.5 Ni mtaji tosha kabisa tena utafanya biashara yako kwa upana zaidi kwa maelekezo haya hapa;
Location:hapa unatakiwa upate eneo lenye watu wengi wenye uhitajowa hudumu ili mzunguko uwe mkubwa
Muuzaji;kwa uhai wa biashara yako mkuu nakushauri muuzaji uwe wewe mkuu yaani hapo sina cha kuongeza
Cha mwisho usikae na hela ya mauzo hakikisha kila hela inayoingia unarudisha kwenye shelfu kwa kununua bidhaa
 
Hii business ni nzuri ila kama huwezi kukaa mwenywe hapo dukan bas achana nayo vijana wanae tamaa Sana na hawajali uwekezaji au mtaji wa mtu
Kama huwezi kukaa mwenywe fikiria biashara nyingine
Goodluck
 
Back
Top Bottom