library


  1. R

    Tanzania Online Virtual Library ( TOVL ) - Waaachia toleo la kwanza la application ya android

    Habari JF. Ni habari njema kwa watumiaji wa service ya TOVL kwa ajili ya kusoma vitabu online, na sasa wameamua kuachia toleo lao kwa watumiaji wa simu platform ya android . Ni jambo jema sasa tutakuwa na uwezo wa kusoma vitabu popote. Hongeren sana team nzima ya TOVL Download : TOVL (...
  2. R

    TOVL - Maktaba ya mtandaoni inayohimiza matumizi ya kompyuta kwa watoto

    Habari wana JF .. Nimekutana na hii habari mwananchi nikaona ni vizuri kushare Rainer Mwashu, mtaalamu wa utengenezaji wa mifumo ya kompyuta, ambaye kwa sasa ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari, iliyo chini ya Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi , ametengeneza maktaba ya mtandaoni kwa...
Top