Serikali inapaswa kujua nini kinachotakiwa kufanyika ili kuongeza ufanisi wa mashirika yetu ya umma kama TANESCO, TTCL, ATCL, TRC, TPA, n.k. Ukichunguza sana utagundua kwa mashirika haya ambayo tayari tulishawekeza kama taifa kwenye miundombinu ya msingi hatuhitaji WAWEKEZAJI bali WAENDESHAJI...