Rais Samia asonga mbele na uwekezaji, sasa anayafuta mashirika yote yanayoendeshwa kihasara

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,915
109,308
Mama Samia anaupiga mwingi kweli kweli, bila kufoka bila makeke anafanya kazi kuliko tunavyofikiria.

Kila akiibuka anaibuka na mambo ambayo yanasongesha mbele gurudumu la maendeleo.

Jioneeni wenyewe:

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Mama Samia anaupiga mwingi kweli kweli, bila kufoka bila makeke anafanya kazi kuliko tunavyofikiria.

Kila akiibuka anaibuka na mambo ambayo yanasongesha mbele gurudumu la maendeleo.

Jioneeni wenyewe:

<iframe width="560" height="315" src="" title="YouTube video player" frameborder="0" allow="accelerometer; autoplay; clipboard-write; encrypted-media; gyroscope; picture-in-picture; web-share" allowfullscreen></iframe>

Mama uzi huohuo, mashirika hayo mengi yanawasaidia wezi na wabadhirifu. Kama shirika la umma haliiletei nchi faida futa, au binfsisha, wape watu au mashirika yenye uwezo wa kuyaendesha.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Mama Samia anaupiga mwingi kweli kweli, bila kufoka bila makeke anafanya kazi kuliko tunavyofikiria.

Kila akiibuka anaibuka na mambo ambayo yanasongesha mbele gurudumu la maendeleo.

Jioneeni wenyewe:

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Hayapo kwenye ripoti ya CAG?
 
Taasisi za umma zinalenga kutoa huduma na siyo kufanya biashara, sijui kama unalijua hili bibi.
 
Mama Samia anaupiga mwingi kweli kweli, bila kufoka bila makeke anafanya kazi kuliko tunavyofikiria.

Kila akiibuka anaibuka na mambo ambayo yanasongesha mbele gurudumu la maendeleo.

Jioneeni wenyewe:

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Mama kashindwa kulea Watoto wake mwenyewe,Sasa anaamua kuwagawa kwa Watu wengine wamlelee!! Alafu Mama anasubiri Watoto wakiwa wakubwa waje wamsaidie! Haya malezi sijui ni ya aina gani sijapata owna!!
 
Angejifuta na yeye urais.maana anaiendesha kihasara.toka aingie deni la taifa limeongezeka na kuingia mikataba ya hovyo na dp word.hasara tupu kila sehemu ya nchi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom