Kama Dollar inapanda kila siku Nchi huwa inalipaje Mikopo kutoka Mashirika ya Kimataifa

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,300
Nimejaribu kufuatilia trend ya kupanda kwa dollar inshort inasikitisha na sijui tunaelekea wapi.... Wakubwa fedha zao nyingi zipo interms of dollars ko wanazidi kufurahia tu.

Na pale awamu mmoja ya uongozi inapoingia na nyingine kutoka kuna uchakachuaji mkubwa sana wa kupanda kwa dollar.

Katika list hii hapa chini angalia miaka yote ya fedha 4/5 Utagundua kitu fulani. Hali mbaya zaidi ilikuwa ni 2014/2015 dolar ilipanda kwa TZS 600 hatari sana.

Mi najiuliza kama Nchi ilichukuwa mkopo bank mfano WB kwa miaka 20 enzi hizo dollar let us say ilikuwa 1200 na sasa ni 2500. Je italipa kwa rate ya 1200 au 2500?. Nahisi hawa wazungu wanstupiga sana....

Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966
(1966-1972) 1 USD = 5 TZS,
(1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976,,1 USD=12 TZS
1977, 1 USD =12 TZS
(1978-82)-1USD-20TZS
1983- 1USD:22 TZS
1984-1 USD: 23TZS
1985- 1USD: 102 TZS
1986- 1USD: 205 TZS
1987- 1USD: 207 TZS
1988- 1USD :220 TZS
1989- 1 USD: 226 TZS
1990- 1 USD: 265 TZS
1991- 1USD: 300 TZS
1992 - 1 USD: 385 TZS
1993- 1USD: 434 TZS
1994-1USD: 465 TZS
1995 - 1USD: 500 TZS
1996- 1USD: 580 TZS
1997- 1USD : 665 TZS
1998- 1USD: 720 TZS
1999-1USD : 800 TZS
2000- 1USD: 820 TZS
2001- 1USD : 880 TZS
2002- 1USD : 900 TZS
2003- 1 USD: 900 TZS
2004- 1 USD: 910 TZS
2005-1USD : 1050 TZS
2006- 1 USD: 1100 TZS
2007-1 USD: 1150 TZS
2008- 1USD : 1200 TZS
2009 - 1USD: 1250 TZS
2010- 1 USD: 1260 TZS
2011- 1USD: 1300 TZS
2012- 1USD =1450 TZS
2013- 1USD=1620 TZS
2014- 1USD= 1650 TZS
2015- 1USD = 2210TZS
2016- 1 USD= 2200TZS
2017- 1 USD= 2310 TZS
2018-1USD =. 2300 TZS
2019- 1USD = 2320 TZS
2020- 1USD= 2323 TZS
2021- 1USD= 2340 TZS
2022- 1USD= 2410 TZS
2023- 1USD =2487 TZS
 
Nadhani inalipwa kulingana na makubaliano ya awali,yaani kama huu mwaka dola moja ni sh.2450 inamaana mikopo italipwa kulingana na makubaliano ya kweny mkataba hata kama mkopo utalipwa kipind ambacho dollar imeongezeka thamani
 
hapana boss..rate ilioko sokoni mda unarejesha mkopo ndio wanadeal nayo... ingekua hvo unavyosema basi mikopo ya nyuma tungelipa Kwa wepesi nyakati hzi.
 
Nimejaribu kufuatilia trend ya kupanda kwa dollar inshort inasikitisha na sijui tunaelekea wapi.... Wakubwa fedha zao nyingi zipo interms of dollars ko wanazidi kufurahia tu.

Na pale awamu mmoja ya uongozi inapoingia na nyingine kutoka kuna uchakachuaji mkubwa sana wa kupanda kwa dollar.

Katika list hii hapa chini angalia miaka yote ya fedha 4/5 Utagundua kitu fulani. Hali mbaya zaidi ilikuwa ni 2014/2015 dolar ilipanda kwa TZS 600 hatari sana.

Mi najiuliza kama Nchi ilichukuwa mkopo bank mfano WB kwa miaka 20 enzi hizo dollar let us say ilikuwa 1200 na sasa ni 2500. Je italipa kwa rate ya 1200 au 2500?. Nahisi hawa wazungu wanstupiga sana....

Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha na Dolla ya Marekani Toka Mwaka 1966
(1966-1972) 1 USD = 5 TZS,
(1973-1975) 1 USD =7 TZS,
1976,,1 USD=12 TZS
1977, 1 USD =12 TZS
(1978-82)-1USD-20TZS
1983- 1USD:22 TZS
1984-1 USD: 23TZS
1985- 1USD: 102 TZS
1986- 1USD: 205 TZS
1987- 1USD: 207 TZS
1988- 1USD :220 TZS
1989- 1 USD: 226 TZS
1990- 1 USD: 265 TZS
1991- 1USD: 300 TZS
1992 - 1 USD: 385 TZS
1993- 1USD: 434 TZS
1994-1USD: 465 TZS
1995 - 1USD: 500 TZS
1996- 1USD: 580 TZS
1997- 1USD : 665 TZS
1998- 1USD: 720 TZS
1999-1USD : 800 TZS
2000- 1USD: 820 TZS
2001- 1USD : 880 TZS
2002- 1USD : 900 TZS
2003- 1 USD: 900 TZS
2004- 1 USD: 910 TZS
2005-1USD : 1050 TZS
2006- 1 USD: 1100 TZS
2007-1 USD: 1150 TZS
2008- 1USD : 1200 TZS
2009 - 1USD: 1250 TZS
2010- 1 USD: 1260 TZS
2011- 1USD: 1300 TZS
2012- 1USD =1450 TZS
2013- 1USD=1620 TZS
2014- 1USD= 1650 TZS
2015- 1USD = 2210TZS
2016- 1 USD= 2200TZS
2017- 1 USD= 2310 TZS
2018-1USD =. 2300 TZS
2019- 1USD = 2320 TZS
2020- 1USD= 2323 TZS
2021- 1USD= 2340 TZS
2022- 1USD= 2410 TZS
2023- 1USD =2487 TZS
Devaluation of local currency agnest the dollar is one of IMF structural adjustment program advised to the third world countries to attract more foreign investors and promote more exports and reduce imports.

This will bring favourable balance of trade and increase more foreign currency in LdCs to buy essential goods and pay their foreign debts agreed upon at the exchange rate of the time of execution.
 
Mikopo huwa, hailipiki, linakuwa Deni kubwa sana,
Kulimaliza haiwezekani, mpaka mpewe msamaha,
Ni Mkapa peke yake aliyeweza japo kulipa madeni,kenge waliofata wote waliishia kutikisa makalio tu,
 
Devaluation of local currency agnest the dollar is one of IMF structural adjustment program advised to the third world countries to attract more foreign investors and promote more exports and reduce imports.

This will bring favourable balance of trade and increase more foreign currency in LdCs to buy essential goods and pay their foreign debts agreed upon at the exchange rate of the time of execution.
What

Then if this is the case. We are in trouble. Because i can't see any reasonable initiatives which have been taken by our countries.
Instead we have been addictive to loans.
 
Its bcz of poor governance corruption and embezzlement of public funds that has made many African countries to fail to meet their international financial obligations.

The same policy was applied in Malaysia Indonesia Singapore and UAE and yielded results, here the one to be blamed is the Tanzanian them selves for failing to put their elected leaders to ba accountable for their actions not IMF or donnor country
 
Who is aware of this most local people are blinded and poor. The government officials are taking advantage of this...

That it is the reason we need more MAGUFULis in Tanzania for more than 100 years
 
You mean Tz has no elite class? All people are peasants poor and illeterate can't reflect what is taking place.........while are the same people who vote them to power, but can't vote them out that's ridiculous.
 
Back
Top Bottom