Msaada kwa wanaofahamu: Hizi scale za walimu katika mashirika ya umma PSTS zikoje

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,664
18,039
Mashiirika ya umma kama vile Kibaha Education Centre yanayomiliki shule, walimu wake hutumia ngazi za mishahara za PSTS tofauti na walimu chini ya Tamisemi wanaotumia ngazi za TGTS.

Mwalimu anayeanza huko kwenye mashirika huanzia PSTS 3, wakati huko Tamisemi huanzia TGTS D1 771,000/= kwa mwezi.

Nilitaka kufahamu hao wa PSTS 3 huanzia shilingi ngapi?
 
Back
Top Bottom