Rais Samia: Naona aibu kuwachukulia hatua viongozi Walionizidi Umri

busar

JF-Expert Member
Dec 22, 2011
1,068
1,061
Asalam,

Msiopenda utaratibu wa mimi kufuatilia na kusoma kwa makini hotuba za Rais wangu Mpendwa mtanisamehe.
Mwaka 2021 Fatma Karume (Shangazi wa Taifa ) aliandika andiko moja muhimu sana juu ya namna ya kumfahamu vema Rais wetu, naomba kumnukuu "Ukitaka kumwelewa Rais Samia na Hotuba Zake sikiliza anapoongea yale ambayo hayako katika hotuba rasmi anayoisoma, msikilize yale anayotupia katikati ya hotuba lakini nje ya yaliyoandikwa"

Tokea hapo nimekuwa makini sana kumsikiliza Rais kila ninapopata muda ajiwa mubashara na kama sina muda basi naitafuta recorded na maandishi. Huwa ninapita pia katika vyanzo mbali mbali kujaribu kuelewa alichosema, hasa kama sikumsikiliza mubashara.

Leo Asbh nimeamka na kupitia hotuba na maongezi ya Rais akiwa Arusha kwenye kikao cha wakuu wa mashirika ya Umma na Wenyeviti wa Bodi wa Mashirika husika. Kwa ujumla Mh. Rais ameongea mambo mazuri sana, amekemea sana matumizi mabaya ya mali za Umma katika mashirika ya Umma. Lkn katika hotuba na maongezi yake mengi, kuna kipengelee kimenigusa, anasema

"NAONA (nawaonea) AIBU KUWACHUKULIA HATUA WALIONIZIDI UMRI"

Ktika maongezi hayo wanaonekana Wazee wengi wastaafu wakifurahi na kutabasamu.

Sasa, Maongezi haya ya Rais dhidi ya wanaotapanya mali za umma yanatuweka katika muktadha gani dhidi ya mapambano ya Rushwa, Uongozi Bora, Uzalishaji na nidhamu katika kusimamia maendeleo ya Taifa.

Je, kama Rais anaona AIBU, anawatazama na kuwaacha TAKUKURU, POLISI, WATAWAWEZA KWELI HAWA?

Kesho nitapitia hotuba zake nyingine. Asalam
 
Kama amirijeshi anamwonea aibu raia, unategemea nini mbele yamwarabu?
 
Hapa hatuna Rais. Samia kwa sasa ana miaka 70 halafu anatuambia eti kuna viongozi wanamzidi umri (70+). Kwani alilazimishwa kuwateua hao wazee wenzake mbona taifa hili lina vijana wengi tu? Aache kutupotezea muda ilhali suala la DPW halijapata ufumbuzi. Hii nchi ni ya kijinga sana.
 
Asalam,
Msiopenda utaratibu wa mimi kufuatilia na kusoma kwa makini hotuba za Rais wangu Mpendwa mtanisamehe.
Mwaka 2021 Fatma Karume (Shangazi wa Taifa ) aliandika andiko moja muhimu sana juu ya namna ya kumfahamu vema Rais wetu, naomba kumnukuu "Ukitaka kumwelewa Rais Samia na Hotuba Zake sikiliza anapoongea yale ambayo hayako katika hotuba rasmi anayoisoma, msikilize yale anayotupia katikati ya hotuba lakini nje ya yaliyoandikwa"

Tokea hapo nimekuwa makini sana kumsikiliza Rais kila ninapopata muda ajiwa mubashara na kama sina muda basi naitafuta recorded na maandishi. Huwa ninapita pia katika vyanzo mbali mbali kujaribu kuelewa alichosema, hasa kama sikumsikiliza mubashara.

Leo Asbh nimeamka na kupitia hotuba na maongezi ya Rais akiwa Arusha kwenye kikao cha wakuu wa mashirika ya Umma na Wenyeviti wa Bodi wa Mashirika husika. Kwa ujumla Mh. Rais ameongea mambo mazuri sana, amekemea sana matumizi mabaya ya mali za Umma katika mashirika ya Umma. Lkn katika hotuba na maongezi yake mengi, kuna kipengelee kimenigusa, anasema

"NAONA (nawaonea) AIBU KUWACHUKULIA HATUA WALIONIZIDI UMRI"

Ktika maongezi hayo wanaonekana Wazee wengi wastaafu wakifurahi na kutabasamu.

Sasa, Maongezi haya ya Rais dhidi ya wanaotapanya mali za umma yanatuweka katika muktadha gani dhidi ya mapambano ya Rushwa, Uongozi Bora, Uzalishaji na nidhamu katika kusimamia maendeleo ya Taifa.

Je, kama Rais anaona AIBU, anawatazama na kuwaacha TAKUKURU, POLISI, WATAWAWEZA KWELI HAWA?

Kesho nitapitia hotuba zake nyingine. Asalam
Huyu ni rais wa katiba ila anaweza kulidhuru taifa sana kwa kuharibu msingi mzuri uliyowekwa awamu ya 5. Inabidi kila wakati raia ndio tumsaidie kwa ushauri na kupinga yale hayafai kama wasaidizi wake nao wanamuonea aibu kumshauri au wanafurahia udhaifu wake ili kuendeleza maslahi yao.
 
Sasa, Maongezi haya ya Rais dhidi ya wanaotapanya mali za umma yanatuweka katika muktadha gani dhidi ya mapambano ya Rushwa, Uongozi Bora, Uzalishaji na nidhamu katika kusimamia maendeleo ya Taifa.

Je, kama Rais anaona AIBU, anawatazama na kuwaacha TAKUKURU, POLISI, WATAWAWEZA KWELI HAWA?
Huez tenganisha wizi, ubadhirifu na ufisadi dhidi ya CCM!! Hao ni Ndugu moja na hawakamatani wala kutesana kwa tuhuma zinazohusiana na hayo hapo niliyoainisha!!! NB: Hao ni ndugu moja!!
 
Asalam,
Msiopenda utaratibu wa mimi kufuatilia na kusoma kwa makini hotuba za Rais wangu Mpendwa mtanisamehe.
Mwaka 2021 Fatma Karume (Shangazi wa Taifa ) aliandika andiko moja muhimu sana juu ya namna ya kumfahamu vema Rais wetu, naomba kumnukuu "Ukitaka kumwelewa Rais Samia na Hotuba Zake sikiliza anapoongea yale ambayo hayako katika hotuba rasmi anayoisoma, msikilize yale anayotupia katikati ya hotuba lakini nje ya yaliyoandikwa"

Tokea hapo nimekuwa makini sana kumsikiliza Rais kila ninapopata muda ajiwa mubashara na kama sina muda basi naitafuta recorded na maandishi. Huwa ninapita pia katika vyanzo mbali mbali kujaribu kuelewa alichosema, hasa kama sikumsikiliza mubashara.

Leo Asbh nimeamka na kupitia hotuba na maongezi ya Rais akiwa Arusha kwenye kikao cha wakuu wa mashirika ya Umma na Wenyeviti wa Bodi wa Mashirika husika. Kwa ujumla Mh. Rais ameongea mambo mazuri sana, amekemea sana matumizi mabaya ya mali za Umma katika mashirika ya Umma. Lkn katika hotuba na maongezi yake mengi, kuna kipengelee kimenigusa, anasema

"NAONA (nawaonea) AIBU KUWACHUKULIA HATUA WALIONIZIDI UMRI"

Ktika maongezi hayo wanaonekana Wazee wengi wastaafu wakifurahi na kutabasamu.

Sasa, Maongezi haya ya Rais dhidi ya wanaotapanya mali za umma yanatuweka katika muktadha gani dhidi ya mapambano ya Rushwa, Uongozi Bora, Uzalishaji na nidhamu katika kusimamia maendeleo ya Taifa.

Je, kama Rais anaona AIBU, anawatazama na kuwaacha TAKUKURU, POLISI, WATAWAWEZA KWELI HAWA?

Kesho nitapitia hotuba zake nyingine. Asalam
Pascal Mayalla say something...
 
Yupo hapo kibahati mbaya tu hana lolote
 
Back
Top Bottom