malasusa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania BAKHRESA acha kutuibia watanzania Sinema zetu tumelipia ila imejaa matangazo, kila baada ya dk 5 matangazo, huu ni wizi. TCRA mko wapi? Basi iwe bure

    Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Alex Malasusa VC wa Tumaini University Makumira Prof. Faustine Mahaki ameshashindwa kuongoza, mnasubiri nini kitokee? Subirini kesi ya mabilioni

    Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na tunaambiwa we umehusika. Viongozi wa dini mmekuwa wahuni, makatili, tunajua hii serikali mmeiweka...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Malasusa nia yako ni kuiua Chuo Kikuu Tumaini Makumira, miezi 3 wahadhiri na wafanyakazi hawajalipwa mishahara, mnategemea wanaishije?

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kipo mkoani Arusha, kilikuwa chuo kizuri sana na kilishawahi kuwa ndani ya vyuo vikuu 10 Tanzania. Chuo kikuu hiki kimelea vyuo vikuu vishiriki ambavyo sahv ni vyuo vikuu kamili km University of Iringa, KCMC University, Dar Es Salaam Tumaini University(DarTU)...
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

    Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa...
  5. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Alex Malasusa linusuru kanisa na kashfa ya madeni ya Arusha Corridor Springs. Haipendezi watu wa Mungu kukimbia madeni.

    Suala la KKKT (Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania) na Hoteli ya Corridor Springs jijini Arusha linahusiana na mgogoro wa kifedha na madeni uliotokea katika Dayosisi ya Kaskazini Kati ya KKKT. Muhtasari wa Suala Hilo: Uwekezaji na Ujenzi: Hoteli ya Arusha Corridor Springs Hotel...
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Malasusa aje jimboni Busokelo 2030

    Ikiwa Malasusa anapenda Madaraka huko Jkkkkkt basi inafaa aje jimboni Busokelo tumfunze siasa za kumwaga pesa na kubadili katiba juu kwa juu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu mkuu wa KKKT Dr. Alex Malasusa kuendelea na Prof. Faustine Mahali km VC ni kuiangamiza na kufutwa Chuo Kikuu Makumira

    Chuo kikuu cha Tumaini Makumira kilichoko mkoani Arusha kinamilikiwa na KKKT ambacho mkuu wake ni Dr. Alex Malasusa. Chuo hiki kilikuwa kikiongozwa na Prof. Joseph Parsalaw, yule masai alikuwa kiongozi mzuri. Alikuwa mkali penye uzembe, alikuwa mwuungwana na aliyetimiza wajibu wake kwa weledi...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu katika vitu vitakuangusha ni Ulutheri. Sahivi Malasusa ana kibri mbaya sana. Hakika tutamkumbuka Magu

    Magufuli alisema tutamkumbuka, nq ni kweli! Sahivi hata uandike malalamiko hakuna wa kuzingatia wala kujali. Viongozi wa KKKT wana kiburi na dharau itafika watanzania watachoma zile taasisi zao Kuna mmoja MKINGA yuko pale TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA-ARUSHA, aliingia madarakani mwaka jana, yule...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Alex Malasusa unajua VC wa TUMA hajalipa mishara mpk leo wakati yeye akiwa anakula maisha?

    Yule bwana Faustine Mahali siyo mtu, amemtoa mtoto wake sadaka akiwa ana uhusiano na binti moja wa KIBENA ndg wa mke wake anaitwa KISAVYAKE. Mpaka leo hajalipa mishahara akiwa nje ya ofisi anakula maisha. Mwaka jana kuanzia mwezi wa 8 mpk wa 12 hakulipa mishahara. Hv kanisa KKKT ni la...
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa ameigeuza KKKT kuwa jumuiya ya CCM

    Inasikitisha na inahudhunisha sana Askofu mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), ndugu Alex Malasusa, ameligeuza kanisa hili pendwa kuwa kama jumuiya ya CCM. Wakati alipokuwa kwenye nafasi ya uaskofu mkuu kwa mara ya kwanza, Askofu huyu ambaye ni kada maarufu wa CCM...
  11. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Nimebarikiwa na mahubiri kutoka kwa mtumishi wa Mungu Dr. Alex G. Malasusa

    Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa. Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu. Malasusa anasimama pamoja na watumishi wa Mungu wote wenye mapenzi mema na mioyo ya watanzania mfano wa...
  12. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa KKKT Dr Malasusa (PhD) anastahili pongezi kwa uzalendo

    Mhashamu Dr Askofu Mkuu KKKT Alex Malasusa (PhD) . Pongezi kwa kupambania Tanzania na Kanisa lako
  13. Crimea

    JamiiForums Tanzania Wa KKKT wengi wana kinyongo na Malasusa wanatamani kuhamia RC

    Kiukweli inashangaza sana mkuu wa Kanisa upo kimya. Kama haitoshi ijumaa iliyopita watumishi wote wa madhababuni waliitwa pale msasani wakapigwa beat kwamba hawatakiwi kuongea lolote juu ya huu uchaguzi mbele ya waumini wao vinginevyo atakaesubutu anafukuzwa. Aliwambia hata akitokea mtu...
  14. sanalii

    JamiiForums Tanzania Malasusa hawakilishi wakristo wote, vilevile BAKWATA haiwakilishi waislam wote. Wakristo mnaoshambilia waislam acheni mara moja, mtaharibu NRNE

    Kuna kundi la wakristo wakisema waislam sio wapenda haki na kua wanatetea Samia, mara waseme tatiso ni elimu, hii yote ni kutokana na matamko ya BAKWATA, mkiendelea na utaratibu hii mtaifitinisha NO REFORMS NO ELECTION pakubwa sana. Acheni kejeli kuniona nyie mmesoma na kuona wengine hawana...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia achangia Milioni 150 na wafanyakazi ofisi yake wachangia milioni 100 Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maalum Kanisa la KKKT

    Rais Samia akishiriki Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye Mahitaji Maluum Kanisa la KKKT Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam, leo tarehe 5 Juni, 2025. =============================== RC Chalamila: "Nikupe pole Rais Samia. Tunaona kwenye mitandao wachache katika Taifa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Malasusa Umemkosea Mungu, tubu!

    Umewasaliti wenzako na umebariki utekaji, Uuaji, upotezwaji and the like! Uliwahi kusema hujalelewa kupingana na serikali! What kind of this statement! Anyway, Lakini una Mke na watoto lazima waende chooni hivyo lazima uwe chawa! Walutheli mlimchaguaje huyu mtu muovu! LEO WAMEITWA WATUMISHI...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kutoshiriki Maaskofu wa Dayosisi zingine za KKKT Harambee ya leo inatakiwa kumpa ujumbe mkubwa sana Mtawala na Askofu Malasusa

    Kiutaratibu na kikawaida, shughuli za KKKT zinazomhusisha Mkuu wa Nchi huwa zinahudhuriwa na Maaskofu wa Dayosisi zote za KKKT pamoja na Maaskofu Wastaafu. Shughuli hizi pia huwa zinahudhuriwa na washirika wakuu wa KKKT ambao ni Baraza la Maaskofu Katoliki ( TEC) Tofauti kubwa iliyoonekana leo...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Askofu Alex Malasusa: Tumeumizwa

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Gehaz Malasusa, amesema Kanisa limeshitushwa, kusikitishwa na kuumizwa kwa tukio la kushambuliwa na kujeruhiwa kwa Katibu Mkuu wa Baeaza la Maaskofu Katoliki Tanzania ( TEC), Pdri Dr Charles Kitima. Askofu Malasusa alendelea...
  19. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Je, Askofu Malasusa anafurahia kwa yanayoendelea nchini?

    Mpendwa Baba Askofu, Dr.Alex Malasusa (Honoris causa), nchi yetu imeshuhudia tukio baya zaidi kuwahi kutokea katika historia. Tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa baraza la Maaskofu, Fr.Dr.Charles Kitima (PhD). Baada ya tukio hilo viongozi mbalimbali wa kidini wametoa kauli za kulaani na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Mkuu wa KKKT, Askofu Alex Malasusa tukio la Padri Kitima unatia shaka

    Ukimya wa Mkuu wa KKKT,Askofu Alex Malasusa kukaa kimya hadi sasa tangu kutokea tukio lililomkumba Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, unaweza kuibua maswali mengi, hasa ikizingatiwa kuwa viongozi wa dini mara nyingi huonyesha mshikamano wanapokumbwa...
Back
Top Bottom