membe

Bernard Kamillius Membe (born 9 November 1953) is a Tanzanian ACT-Wazalendo politician who was Minister of Foreign Affairs of Tanzania from 2007 to 2015. He served as a Member of Parliament for Mtama constituency from 2000 to 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. Nsanzagee

    Nchi inaweza kusahau uwepo wa kina Membe na wenginewe wengi ila si kwa watu kama Magufuli n.k

    Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi Watanzania wasipomuenzi Magufuli, Waganda watamuenzi pindi wanapokuwa wakiliona bomba la mafuta kuyoka Hoima kuja...
  2. D

    Stephen Membe aiteka Mtama, Nape amuomba Rais Samia kuokoa jahazi

    Stephen Kamilius Membe ambaye ni mdogo wake marehemu Bernard Membe amemkalia kooni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye baada ya kuweka hadharani nia yake ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA. Upepo wa siasa hapa Mtama umegeuka ambapo kila kona ya Kijiji watu wanamuimba Membe tu mdomoni...
  3. D

    40 ya Membe yamvuruga Waziri Nape Nauye

    KWELI siasa ni mchezo wa ajabu. Tarehe 27/8/2023 kutafanyika maadhimisho ya kifo Cha utata wa Bernard Membe kijijini kwake Rondo-Chiponda mkoani Lindi. Waandalizi wa tukio hilo kutoka Dar es salaam wameamua kufanya hilo tukio la kishindo ambapo watu wapatao 1290 wanategemewa kuelekea Lindi...
  4. benzemah

    Rais Samia awatembelea Mzee Makamba, Mama Maria Nyerere pamoja na Familia ya Marehemu Membe leo 14 Julai 2023

    Kwa nyakati tofauti leo Julai 14 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kumfariji Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Rais Samia pia amemtembelea Katibu Mkuu...
  5. D

    Wazee wa Mtama wamgeuka Nape Nnauye. Kukutana 40 ya Membe kutoa laana!

    Wajumbe, hali ya siasa kwa Mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye inazidi kuwa mbaya kuelekea 2025 baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kuafikiana kuwa kijana huyo hawezi tena kuwa chaguo lao na badala yake wanahitaji mtu kutoka katika familia ya Hayati Bernard Membe kama hatua ya kumuenzi...
  6. D

    Nape Nnauye jiandae kisaikolojia, Mtama wanataka Steve Membe kuwaongoza!

    Wana wema! Siasa za Lindi Jimbo la Mtama zimeanza kushika kasi ambapo harakati za kumtaka mdogo wake Hayati Bernard Membe, Steve Membe anatajwa kutakiwa kumrithi kaka yake jimbo la Mtama kama hatua ya kumuenzi huyo Mwamba wa Kusini. Jitihada hizo inadaiwa kufanywa vigogo wa chama huku majina...
  7. T

    Mikataba 40 ya Dubai! Mmoja ndio tayari, tunangoja inatokuja!

    Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote! Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha! Nyaya zimeshagusana, moto...
  8. The Supreme Conqueror

    Hili la Luaga Mpina ni pt2 ya Vita ya Musiba na Membe. Nani yuko nyuma ya pazia?

    Wakuu kumekua na sintofahamu nyingi juu ya sakata la madai ya wanakijiji kudai kutapeliwa ardhi yao na muwekezaji Mbunge wa kisesa Luaga Mpina kuhusu ardhi yenye Ukubwa wa ekari 1000. Mengi yanazungumzwa na mwisho lililoongeza mjadala ni kuwa Waziri wa Fedha Dr Mwigulu Nchemba ndiye Yuko nyuma...
  9. Chaliifrancisco

    HATA BAADA YA KIFO CHA BERNARD MEMBE, DENI LA CYPRIAN MUSIBA LIKO PALEPALE

    Wataalamu wa mambo wana Msemo kwamba: "Actio Personalis Moritur Cum Persona"- a personal action dies with the person" - kwamba matendo ya kibinafsi ya mtu yanakufa na mtu. Yaani, Mtu akifariki, Madai yake dhidi ya Mtu flani nayo yanakufa, wanaobaki (Wasimamizi wa Mirathi) hawawezi kudai/kudaiwa...
  10. D

    Tofauti ya Legacy ya Magufuli na Membe hii hapa!

    Ijulikane kwamba Dikteta John Magufuli na Kachero Bernard Membe wote Sasa ni marehemu. Wote walikuwa ni wana-CCM. Wote wamehudumu kama Mawaziri chini ya Dk. Jakaya Kikwete. Wote waliutaka Urais 2015 lakini kwa isiyo bahati kwa Membe hakufanikiwa kuwa Mgombea wa chama chao, CCM. Toka 2015...
  11. Ngungenge

    Jaji Warioba nakutuma kwa kadinali na askofu waulize juu ya mpendwa wetu Membe

    Kutokana na kifo cha ndugu yetu Benard Membe maswali ni Mengi hatakama utawala wa mama umeamua kukalia kimya Nakutuma kwa Kadinali aliyetuma ujumbe kumsihi Membe amsamehe Musiba baada ya hukumu ya mahakama kutoka Pia nakutuma kwa askofu aliyetuma ujumbe kwa Membe siku chache kabla ya kifo...
  12. Chizi Maarifa

    Aliyoyapitia Membe yanatosha. Msiendelee kumuumiza

    Nyuzi zinaanzishwa za kumsingizia Membe mambo ya uongo kabisa. Yaani mtu anasema Membe alikuwa na ushawishi? Why mumsingizie marehemu uongo? Kama ana mabaya yake naye ni binadamu hakuna mkamilifu ila si vizuri kumsingizia uongo. Mwingine anasingizia Membe alikuwa smart kichwani... Unamtizama...
  13. Gan star

    Benard Membe kuwa Kachero mbobezi ni ishara ya udhaifu mkubwa idara ya usalama wa Taifa

    Inashangaza sana, hii nchi inawezekana hata sehemu zile nyeti kutakuwa na kundi kubwa la vilaza thus why mambo yanaendelea kuharibika kila uchwao , Nimesikia mara nyingi Bwana Membe akiitwa Kachero Mbobezi , sitaki kupinga kuhusu hii sifa na yawezekana kweli alikuwa na sifa hyo , Ila nipende...
  14. GENTAMYCINE

    Wale Wazee wa 'Kimwela' mlioomba mpewe Mwili wa Membe je, baada ya Kuukagua mmegundua nini?

    Halafu mbona Kipindi chote alichokuwa Hai hamkuwahi kutuambia Watanzania kuwa Yeye (Marehemu Membe) ni Chief (Mtemi) wa Kabila la Wamwela? GENTAMYCINE nasubiri majibu yenu juu ya kile mlichokikuta baada ya Kuomba sana mkabidhiwe huo Mwili wake. Imani za Kishirikina zitawamalizeni.
  15. Suzy Elias

    Kama ilivyokuwa kwa Membe kutokudhuria pia Bashiru, mke wa Magufuli na wengine wengi hawajahudhuria

    Membe hakupata kuhudhuria wala kumlilia Magufuli kwenye kifo chake jambo ambalo mke wa Magufuli naye hajafanya kuhusu kifo cha Membe. Ikumbukwe, wanazi wote wa upande wa Membe hawakuhudhuria ima ibada ama kuagwa kwa JPM vivyo hivyo wanazi wa JPM ukimwondoa (double agent Makonda)...
  16. M

    Watanzania sio watu wa kudanganyika tena. Kifo cha Membe ni uthibitisho kuwa sasa hakuna utapeli

    Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? Kumbe akaja kuharibu mpaka waosha magari na wasafisha viatu wakawa mabilionea kwa wizi wa mali za umma. Nani amesahau Salva Rweyemamu...
  17. Boss la DP World

    Watu wazuri hawafi: Mzee Makamba hajaonekana kwenye msiba wa Mzee Membe

    Huu uzi hauhusiani na uzi wowote, ni kama ule wa watu wazuri hawafi. Amakweli nimeamini mzee Makamba alimaanisha alichokisema maana hajaenda msibani, wala hajatoa salamu za rambirambi, nimeangaza angaza sijafanikiwa kumwona mwanawe msibani. Hongera mzee wangu kwa kusimamia kauli yako.
  18. ChoiceVariable

    Hapa Nape Anamaanisha Nini? Kwamba Membe Aliandika Mambo Mazito Sana au?

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema katika kitabu cha historia ya maisha ya Membe alichokiandika mwenyewe enzi za uhai wake huenda kuna sehemu kitawakwaza watu hivyo anaomba samahani kwa niaba ya marehemu. Nape ameyasema hayo wakati akitoa salamu za...
  19. R

    Kwangu mimi naona Zito ameongea vizuri kabisa, nasaha nzito Msiba wa Membe

    Amegusa pale ambapowengi kama siyo wote wanapaogopa! Bila kumungunya maneno but highly reserved not to mention names of culprits!
  20. comte

    Zitto Watanzania hatujasau mlivyomtosa Membe kwenye Urais 2020

    Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo Kauli yake inakuja baada ya Mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad kumuidhinisha Tundu Lissu (Chadema) kuwa mgombea wao wa urais wa Tanzania...
Back
Top Bottom