machafuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

    Wakuu, Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam Pasipo na shaka, kuwa matukio ya ghasia ya tarehe 29 Oktoba...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Msiwakandamize Gen Z, mnachokiona kama uchochezi kiuhalisia ni maswali yanayohitaji majibu

    Wakuu, Ameandika Mwabukusi kupitia ukurasa wake wa X tafsiri kwa msaada ya Gpt.... Msiwakandamize au kuwanyamazisha Gen Z. Hebu tujibu maswali yao. Kile mnachokiona kama machafuko kwenu, kiukweli ni maswali yanayohitaji majibu. Gen Z hawapaswi kuchukiwa, wao ni kizazi chenye kuhoji...
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Samia aambiwe bunduki haikuzuia machafuko bali ulangai wa jeshi la wananchi

    Hicho ndicho kilichozuia machafuko zaidi! Bunduki haijawahi, haitawahi na haiwezi kumzuia mwanadamu anayetaka kujinasua kwenye uovu wa mtesi. Jeshi la wananchi lilitumia mbinu ya ulaghai kuwashawishi wananchi warudi majumbani kisha wakawafanyia ambushi kitu ambacho hata wao wanalijua.
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Silaha: Ni Machafuko

    Sheria za kimataifa za kitaifa na kikanda, haziruhusu maandamano na waandamanaji kubeba silaha.. waandamanaji walibeba silaha mbali mbali za kijadi hivyo kuwa ni machafuko si maandamano
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Kauli Mbiu zilizochochea machafuko

    Baadhi ya kauli Mbiu zilizochangia machafuko ni Oktoba tunatiki, Oktoba tunatoka, no Reform no Election, Samia Must Go.. Jaji Chande
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Katambi: Machafuko na uhalifu unaoendelea leo duniani unatokana na mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema hayo leo Machi 16, 2026 wakati akiwatunuku zawadi Wakaguzi na Jeshi la Polisi, Jeshi la Magereza na Idara ya Uhamiaji waliofanya vizuri zaidi katika utendaji kazi.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Serikali, alikeni Emirates, Qatar Airways waweke temporary Hub JNIA wakati huu wa machafuko

    Ushauri wa bure kwa serikali, Ndege nyingi za mashirika ya Uarabuni zimepaki na zinakula hasara kutokana na vita vinavyoendelea, kwa nini msiondoe kodi zenu zenye utitiri mwingi na transit visa fees kisha kualika makampuni haya yaweke hub ya muda hapa Julius Nyerere International Airport? Tuna...
  8. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Machafuko ya Disemba 9 hayana sura ya Kisiasa bali ni chuki ya Mihemko ya kidini

    Naamu Hakuna Msiba unaokosa Matanga na ukiona Moshi ujue kuna Moto Utawaka au Umewaka. Bado Watanzania tupo katika Majonzi ya Ndugu zetu waliopata Maafa ya D29 ambapo ni masikitiko makubwa yanatokana na dhamira ya watu wachache kujitafutia umaarufu na Kujilimbikizia Mali kupitia Majukwaa...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Mh SPIKA Zungu, Kuna uwezekano Mama yake na zungu alikimbia machafuko uko South Africa akiwa na ujauzito wa Zungu je huyu ni Raia?

    Kwenye ibada ya KUMWAGA Jenista Mhagama, Mh Zungu alipewa nafasi ya kutoa shukurani kwa MH RAIS dhidi ya mchango wake kwa msiba ule, Akiwa mbele ya waombolezaji zungu alieleza jinsi alivyowai kuuliza na Hayati jenista mhagama, alivyowai muuliza dhidi ya Jina la zungu yakuwa alilipata wapi...
  10. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bila maandamano kuundiwa sheria na muongozo; basi tutegemee machafuko kutokea kila yakitokea maandamano

    Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano. Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana utajengeka kwa watanzania; kwa makundi mbalimbali kwenye jamii (wafanyakazi, wanafunzi, wazee, vijana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni nani katoa kibali kwa hii website kutengenezwa inayoonyesha picha na videos zaidi ya 600 za machafuko?

    Idara zetu zipo makini kweli ? nani katoa kibali kuruhusu website hii inayozagaa kwenye magroup kupewa ruhusa ya kuwekwa kwenye serva ? Pia kuna sehemu ya kurekodi majina, tuna uhakika gani hayo majina ni ya kweli na si ya kutunga ? https://tanzaniamassacre.org/Massacre Hii sio sawa...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lilikuwa na lengo la kuleta machafuko nchini DRC

    Katika Historia inaonyesha Kanisa Katoliki ni jadi yao kuchokonoa akiwepo Rais wasiyemtaka au akishinda wasoyemtaka. Hii sio Tanzania au DRC tu. Hata Rwanda mauaji ya 1994 vivyo hivyo. Kanisa Katoliki lilikua na lengo la kuleta machafuko nchini DRC kwa kutaka kumtangaza muumini wao.
  13. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka

    Kuna haja ya kuendelea kulinda Amani ya Taifa la Tanzania, Matatizo yanayotokea ni mkono unateleza bahati mbaya na kupelekea chupa ya Taifa kupasuka Tanzania ni Taifa bora sana duniani hasa pale linapolinganishwa kinidhamu, watu wake ni wapole na wakaribu na hii ndiyo sifa kubwa tuliyo nayo...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kurejesha na kulinda heshima ya Taifa letu Rais Samia ajiuzulu, uchaguzi urudiwe tukiwa na Katiba mpya

    Taifa letu limechafuka. Sio tu kuwa limepata doa kama yeye mwenyewe rais Samia alivyosema bali limechafuka. Anaonekana kuwa sio rais halali na ameingia madarakani kwa mtutu wa Bunduki kwa kumwaga damu za raia wasiomtaka kuwa kiongozi wao. Waangalizi toka jumuia ya SADC waliweka wazi kuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya habari vya nje vimechapisha na kutangaza taarifa za upande mmoja na kupotosha kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi

    Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi "Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Maneno yanayotamkwa na mashehe yanahamasisha machafuko nchini lakini hawachukuliwi hatua kwasababu tu wanawatetea CCM

    Kama Taifa tumefikia hatua mbaya ni Kama vile hatuna kiongozi kwa huyo kila mtu anajikuta kambale wanaongea chochote wanachojisikia. Hawa wanajiita waadhiri wa kiislamu kwa kweli kauli walizotoa si za kiungwana zinahamasisha machafuko ya kidini na mgawanyo wa kijamii lakini hakuna hatua...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana hii connection inayoendana sambamba kuleta machafuko na taharuki duniani. "UKOMNONISTI-MLENGWA WA KUSHOTO-ITIKADI KALI"

    Kila muoneaji na mkandamizaji hapa duniani ni rafiki mkubwa wa china na urusi na analindwa kimaslahi na wao. Kila machafuko yanayotokea dunia kwa asilimia kubwa yanafadhiria na syndicates za kutoka mashariki ya kati. Liberals sasa Wameona vitabu vya kishoga vimepigwa marafuku, sasa wameanza...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi bado hawana uelewa wa kujikinga na machafuko

    Chiefs heshima kwenu... 1 Poleni sana kwa kila mmoja aliyeguswa kwa namna moja ama nyingine kutokana na shughuri ya ukombozi wa taifa lenu wenyewe. 2 Nikiri kuwa kuna idadi kubwa ya waliopoteza maisha huku wakiwa si washiriki wa maandamano. 3 Pamoja na hayo ,nimegundua watu wengi hawana...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Siri ilyiojificha nyuma ya nafasi ya Kenya katika kuchochea machafuko nchini Tanzania chini ya kishawishi cha kupigania demokrasia

    Na Dkt. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 uliandika ukurasa mwingine muhimu katika safari ya kidemokrasia ya nchi tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992. Mamilioni ya Watanzania...
  20. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Hongera sana serikali kwa kuanzisha mkakati wa kuwasaka vinara wa machafuko

    Friends and Our Enemies... La mgambo limeliaaa,La mgambo limeliaa.. Serikali sasa imetangaza msako,dhidi ya wale wezi,walanguzi,wahaini na wanaohujumu miundombinu ya taifaa... Lilikuwa ni suala la muda tuh kabla ya mkono wa sheria kuwafikia hawa vibaka na wahamasishaji wao wa fujo na wizi kwa...
Back
Top Bottom