Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,812
- 11,987
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu Mteule wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa, katika Viwanja vya Kanisa Kuu la Azania Front, Dayosisi ya Mashariki na Pwani jijini Dar es Salaam leo Januari 21, 2024
View: https://www.youtube.com/live/6OsP_f43w1I?si=b6qep1mLEgibkmUn
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam 21 Januari, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya picha Mkuu wa kanisa la KKKT Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa mara baada ya kuingizwa kazini wakati wa Ibada Maalum iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam 21 Januari, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Maaskofu wa KKKT kabla ya kuanza kwa Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Mkuu Mpya wa Kanisa Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa mara baada ya kuingizwa kazini wakati wa Ibada Maalum iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024.