Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 397
- 993
Akitoa neno katisha sherehe ya kumkaribisha kwenye majukumu yake mapya Askofu Malasusa amesema:
"Tuapitia katika nyakati ngumu sana ambazo watu wengi hawapendi kuongozwa, kizazi hiki ni kizazi ambacho watu wengi hawapendwi sana kuongozwa tangu watoto pale nyumbani, katika kaya zetu, watu hawapendi kuongozwa na wangependa uhuru.
"Lakini uhuru usiokuwa na mipaka ni uhuru hatari sana, sasa watu hawapendi kuongozwa katika taratibu za binadamu lakini zaidi linalotisha watu hawapendi kuongozwa kwa taratibu za Mungu."
"Ninawaomba sana kupitia kusanyiko hili, kila mkristo na kila aliyeumbwa na Mungu katika dini zetu mbalimbali apende kusoma neno la Mungu kwa usahihi ili kuepukana na mafundisho potofu yanayoendelea kuenea na kuharibu kundi la bwana."